Kichwa cha dushe kinawasha sana

Kichwa cha dushe kinawasha sana

Sijui ni mambukizi maana nililala na manzi
Hadi sasa kinawasha mno hadi kubabuka, nilpata na vipele mapajan nikatumia scaboma ahueni ila kwa dushe avisikiii vinawasha mbaya mbovu

Pia kama kinaleta lenge lenge

Je si herpes kweli
Picha muhimu Sanaa mkuu ili tujue tuna anzia wapi kukushauri...
Hata ya msaada wa ki mtandao (wavuti)
 
Nina experience na huo ugonjwa nakumbuka kuna ndugu yangu alikuwa nao ...akavaa nguo yangu nami nikaupata vipi ukijikuna unajiskia raha sana hasa muda wa usiku ???

Kama ni huo basi usiogope nenda kitua cha kutolea huduma za afya utapata suluhisho matibabu sio chini ya 20,000
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom