Kichwa cha dushe kinawasha sana

Kichwa cha dushe kinawasha sana

Fanya hivi:-
1. Nunua dawa aina ya scaboma maana hao ni scabies
2. Vaa boksa safi kila mara
3. Oga maji ya uvuguvugu angalau mara tatu kwa siku
4. Kula mboga za majani na matunda hasa Machungwa kila siku Ili uimarishe Kinga Yako.
5. Kunywa tangawizi vikombe viwili kwa siku kwa wiki moja ( inazuia inflammation)
6. Punguza kutumia vinywaji au vyakula vya sukari nyingi.

ZINGATIA HAYO
 
***** kutomb,,,,a raha sana ila sasa likishakukuta aisee acha tu, oya mjuba pole sana ajali kazini sema nenda chap kituo cha afya ukapate tiba sahihi ilo tatizo dogo sana utapona tu wala usijai
 
Scabies hizo

Piga Ivemectin na jipake Scaboma mwili mzima
Mkuu mm nina BBE nmepewa na potasium pamanganate ila nmeshaushauriwa nisipake kwenye dushe ambko ndo kun vilengelenge ? Je ni kwel itasaidia?
 
Back
Top Bottom