cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Em sema kweliii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nawaambiaga vijana kinga ni bora kuliko tiba, wenyewe wanasema huwezi kula pipi na maganda.
Mimi juzi nilichagua kubaki na hamu zangu kuliko kuuza mechi.