Kichwa cha dushe kinawasha sana

Sijui ni mambukizi maana nililala na manzi
Hadi sasa kinawasha mno hadi kubabuka, nilpata na vipele mapajan nikatumia scaboma ahueni ila kwa dushe avisikiii vinawasha mbaya mbovu

Pia kama kinaleta lenge lenge

Je si herpes kweli
Picha muhimu Sanaa mkuu ili tujue tuna anzia wapi kukushauri...
Hata ya msaada wa ki mtandao (wavuti)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…