Jambo usilolijua ni kama usiku wa Giza.Huyu Alfayo alikuwa rafiki na mshikaji wa JPM toka wapo wizara ya ardhi.Huyu jamaa alikuwa anampigia kampeni sana JPM kuwa lazima awe Rais.Labda nikwambie ni majungu tu yalitengenezwa ili kuwachonganisha.Nakumbuka huyu jamaa hata aliporudishwa kutoka Canada bado walikuwa wanawasiliana na JPM.Na akimpigia simu JPM wanaongea kishikaji na kucheka sana.
Huyu si ndiye alikuwa Balozi wetu Canada kisha akarudishwa kwa tuhuma za wizi na ufisadi mkubwa pale TRA?
Tai nyekundu ni nani na yupo wapi kwa sasa?Tunatest mitamboView attachment 1743586
ila kwa Kakoko ilikuwa rahisi !Ilikuwa ngumu kufanya kazi na Jiwe kama we ni mzembe, mla rushwa na Fisadi! Abadani katika watu ambao walipata shida wenye sifa hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshtushwa na VP Mpango, akiwa kanisani katoa speech kama rais kamili wa nchi.Bora umewaza kama mimi aisee tena kwa kutafakari sana.. mi naanza kukosa imani na Mama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama anamjua kuliko sisi niamini
Utekaji ndio nia njema ?Humpendi na tena sio kwa kuwa hapendiki Bali Siasa zako zimeharibu mpaka akili na utashi wako. Unapinga hata mambo ya msingi. Jiwe alikuwa na malengo na nia njema sana. Shida yako kubwa Ni ujinga wa uvyama. Muda utaongea sana.
Jiwe alichafua wengine ili ang'are yeye tu
Kama alitumbuliwa Nov 2018 kwanini miaka miwili na ushee baadaye apewe madaraka makubwa mengine? Tanzania ina watu 60 million kwanini hawa majizi na mafisadi waendelee kuwepo madarakani.
Nisaidie kujibu hili swali hapa juu
ila kwa Kakoko ilikuwa rahisi !
Hivi Mama anamaamuzi kweli?, au anaburuzwa tu,Mama... grow balls, wasije kukuharibia..
Hao ni wale majizi na mishen tauni waliopigwa pini na jpm, Sasa hivi anaanza kujipendekeza kwa kidata.Humpendi na tena sio kwa kuwa hapendiki Bali Siasa zako zimeharibu mpaka akili na utashi wako. Unapinga hata mambo ya msingi. Jiwe alikuwa na malengo na nia njema sana. Shida yako kubwa Ni ujinga wa uvyama. Muda utaongea sana.
Mama asifikiri Uraisi ni lele Mama, inatakiwa aongoze sio aongozwe.Mama anaburuzwa tu Mkuu sidhani kama alihusika kwenye huo uteuzi wa nafasi hizi zaidi ya kutia saini tu. Asipokuwa makini watampitishia madudu ya kutisha sana ili amwage wino.
Huyu ni pendekezo la makamu wa rais bila shaka, wako taiti sana hawa watu.Philip Mpango ndo anamjua vizuri huyu mtu
Ama Mama kapewa ushauri sahihi au kapotoshwa
Hauko NDANI hivyo hujui kitu... Mhede ni mtaalamu wa MAPISHIDotto James hakutakiwa tu kutoka wizara ya fedha, hakupaswa kuwa katibu popote pale.
Sikulitegemea hili.
Sijaona alipofeli kamishna Dr. Mhede.
Angeshauriwa tu kuhandle zile malalamiko za walipakodi maana zilikua nyingi sana. Naona hizo ndo alikua hazisikii, otherwise alikua kamishna mzuri.
Punguza chuki bro. Kwann tunapenda watu washindwe mara zote. Hii roho ya kimasikini sijui mnaitoa wapi. Utawala wa JPM uibe afu akuache hivihivi? Si mlikuwa mansema anachukia ufisadi?Kama alitumbuliwa Nov 2018 kwanini miaka miwili na ushee baadaye apewe madaraka makubwa mengine? Tanzania ina watu 60 million kwanini hawa majizi na mafisadi waendelee kuwepo madarakani.
Anatoka na kimada gani mtaani!Kuna kitu nakijua kuhusu huyu mtu