Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa watu wanahangaika naye
Wanaomjua tokea kapok kumbukumbu primary,anasasambua club asset na kwenye mabeach party
Wala hawaumiz vichwa....
Ila naona hazeeki ....anaonekana mpya kwa wageni
Ova
Dogo kaonjeshwa[emoji1533] kaka halafu ikafinyiwa kwa ndani[emoji39][emoji1]Nashangaa watu wanahangaika naye
Wanaomjua tokea kapok kumbukumbu primary,anasasambua club asset na kwenye mabeach party
Wala hawaumiz vichwa....
Ila naona hazeeki ....anaonekana mpya kwa wageni
Ova
Mwanaume anayehangaika na Kajala huwa namuonea huruma...[emoji2827][emoji2827]Mwanaume anayehangaika na Kajala huwa namuonea huruma...
Binti mcharuko toka akiwa mduchu shule ya msingi
Nashanga hyo mmakonde anamuona mpya kmbe kilomita zimeendaNakumbuka ilikuwa FM Club kiongozi na kichupi na sidiria tu, kuna rafiki yake alikuwa anaitwa Zuhura alikuwa anakaa mitaa ya stereo Kino.
Aisee umenikumbusha mbali wakina Agatha, Mc Track, LB Family et al
Kufinyia ndani sahv ndy fashionDogo kaonjeshwa[emoji1533] kaka halafu ikafinyiwa kwa ndani[emoji39][emoji1]
Kiki tu hamna lolote wasanii wa bongo kunandoa za mkataba🙄🙄🙄Baada ya Kajala Kuachana na Majani, aliamua akaolewe, bila kupoteza wakati alikamilisha hilo na akaolewa kwa Ndoa ya kanisani kabisa.
Bwana Faraji Agustino ndio Mume halali wa Kajala. Alipopata kesi na Kajala then Kajala akafanikiwa kutoka Jela, Mme wake aliendelea kusota Jela huku Kajala Aliendelea kudate na Wanaume mbalimbali mfano, Quick Rocka, Msami, Mutra. Hii ni dharau kubwa mno, Mme wake yupo jela then yeye akaendelea kudate na wanaume mbalimbali.
TURUDI NYUMA.
Mwaka 2013, Faraji Agustiono alishitakiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) akidaiwa kutakatisha pesa haramu na kuuza nyumba iliyo kwenye zuio la kuuzwa kutoka kwa taasisi hiyo.
Kuuzwa kwa nyumba hiyo iliyopo Mbezi Beach, kunadaiwa ndio kuliko muingiza Kajala kwenye kesi hiyo maana na Saini yake ilikuwepo (Alishiriki na mme wake kuuza nyumba ambayo ipo chini ya kizuizi)
Hukumu ya kesi hii ilitoka kwa Kajala kufungwa miaka 5 jela au faini ya shilingi milioni 13 ambapo alilipa faini hiyo baada ya kupewa nguvu na Wema Sepetu. Mumewe alihukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au faini ya shilingi milioni 200 ambazo alishindwa kuzilipa. Hivyo alitumikia Jela na Mwaka 2017 akaachiwa.
Baada ya Faraji kutoka Jela alipata Skendo zote za Kajala na hakuweza kuendelea kuwa pamoja na kajala.
Lakini watu hawa hawajapeana Talaka, kwa mujibu wa ndoa za kikristo, mkioana ndio basi tena mpaka mungu awatenganishe, Sasa Harmonize ataanza vipi kumuoa kajala? Kwa wanaojua vizuri hizi sheria za kikristo, Je kajala atafanikiwa kweli kuolewa na Konde, wakati tayari ameshaoelewa na mme wake yupo hai?
Mmakonde bado mgeni Dar.Kajala ni wakubanduana nae tu na sio kumuoa
Mmakonde ile anafanya ni kickMmakonde bado mgeni Dar.
Wenzake wanapiga na kurudi kwa wake zao, yeye ndio kwanza anahonga gari.
Vipi wanabwia "Karanga?"Nakumbuka ilikuwa FM Club kiongozi na kichupi na sidiria tu, kuna rafiki yake alikuwa anaitwa Zuhura alikuwa anakaa mitaa ya stereo Kino.
Aisee umenikumbusha mbali wakina Agatha, Mc Track, LB Family et al
Tumuombee sana[emoji1]Kufinyia ndani sahv ndy fashion
Haha...kuna mtu nmemuacha hko mtwara kakabidhiwa mradi barabara
Ana mtoto anamfinyia ndani
Huo mradi sjui kma utaisha
Ova
Nashanga hyo mmakonde anamuona mpya kmbe kilomita zimeenda
Duh...agatha, kndi lake walikuwa mcharuko balaaa
Zuhura namjuwa maana stereo nimekaa sana kitambo
Wale walianza kuliwa tokea wakiwa primary
Ova
Vipi wanabwia "Karanga?"
Ana umri gani kajala.Nashanga hyo mmakonde anamuona mpya kmbe kilomita zimeenda
Duh...agatha, kndi lake walikuwa mcharuko balaaa
Zuhura namjuwa maana stereo nimekaa sana kitambo
Wale walianza kuliwa tokea wakiwa primary
Ova
Hakuna ndoa hapo kajala yupo after money sio kwamba anampenda harmonize hiv pfunk majani alikuwa mjinga kumbwaga yupo manzi sibiri huyo harmonize apunguze kumuonga huyo manzi ataona rangi halisi ya huyo mwana bongo moviesHakuna kinachoshindikana anaolewa vizuri tu.
Anaweza kuamua kudai talaka mahakamani, ndoa nyingi za kikristo zimevunjwa na watu wanaoana tu.
Refer; Flora Mbasha
Upo sahihi mademu wa namna hii sipendi kudate nao kanisa sema harmonize ana ulimbukeni wa mapenzi we subiri ankara zipungue hata ona rangi halisi ya huyo manziHiyo trending yao na Harmo atakayekuja kuumia ni Harmo... Kajala yupo kwa ajili cash na sivinginevyo
Mkuu ndoa hazivunjiki kiautomatic ndoa inavunjwa mahakamani.Ukibadili dini ndoa ya kwanza inavunjika automatic naona atafanya hivyo.