Kidini Kajala ni mke wa mtu, Harmonize atamuoaje?

Kidini Kajala ni mke wa mtu, Harmonize atamuoaje?

Nashangaa watu wanahangaika naye
Wanaomjua tokea kapok kumbukumbu primary,anasasambua club asset na kwenye mabeach party
Wala hawaumiz vichwa....
Ila naona hazeeki ....anaonekana mpya kwa wageni

Ova

Nakumbuka ilikuwa FM Club kiongozi na kichupi na sidiria tu, kuna rafiki yake alikuwa anaitwa Zuhura alikuwa anakaa mitaa ya stereo Kino.

Aisee umenikumbusha mbali wakina Agatha, Mc Track, LB Family et al
 
Binafsi Mwanamke akishakuwa Mzazi tu kwa maana akishazaa nakuwaga sinaga hata mzuka nae hata akiwa mzuri vipi,lakini Chinga yule kafa kaoza wakati kuna vibinti vibichi mtaani vizuri hatari na vina tabia safi kabisa,hakika tunatofautiana[emoji1787][emoji2]
 
Halafu humu unakuta wanaume ndio wanampondea Kajala wakati sisi wenyewe hatujatulia. To be honest akifunua mi napita bila kufumba macho, dhambi zake mwenyewe
 
Nakumbuka ilikuwa FM Club kiongozi na kichupi na sidiria tu, kuna rafiki yake alikuwa anaitwa Zuhura alikuwa anakaa mitaa ya stereo Kino.

Aisee umenikumbusha mbali wakina Agatha, Mc Track, LB Family et al
Nashanga hyo mmakonde anamuona mpya kmbe kilomita zimeenda
Duh...agatha, kndi lake walikuwa mcharuko balaaa
Zuhura namjuwa maana stereo nimekaa sana kitambo
Wale walianza kuliwa tokea wakiwa primary

Ova
 
Baada ya Kajala Kuachana na Majani, aliamua akaolewe, bila kupoteza wakati alikamilisha hilo na akaolewa kwa Ndoa ya kanisani kabisa.

Bwana Faraji Agustino ndio Mume halali wa Kajala. Alipopata kesi na Kajala then Kajala akafanikiwa kutoka Jela, Mme wake aliendelea kusota Jela huku Kajala Aliendelea kudate na Wanaume mbalimbali mfano, Quick Rocka, Msami, Mutra. Hii ni dharau kubwa mno, Mme wake yupo jela then yeye akaendelea kudate na wanaume mbalimbali.

TURUDI NYUMA.
Mwaka 2013, Faraji Agustiono alishitakiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) akidaiwa kutakatisha pesa haramu na kuuza nyumba iliyo kwenye zuio la kuuzwa kutoka kwa taasisi hiyo.

Kuuzwa kwa nyumba hiyo iliyopo Mbezi Beach, kunadaiwa ndio kuliko muingiza Kajala kwenye kesi hiyo maana na Saini yake ilikuwepo (Alishiriki na mme wake kuuza nyumba ambayo ipo chini ya kizuizi)

Hukumu ya kesi hii ilitoka kwa Kajala kufungwa miaka 5 jela au faini ya shilingi milioni 13 ambapo alilipa faini hiyo baada ya kupewa nguvu na Wema Sepetu. Mumewe alihukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au faini ya shilingi milioni 200 ambazo alishindwa kuzilipa. Hivyo alitumikia Jela na Mwaka 2017 akaachiwa.

Baada ya Faraji kutoka Jela alipata Skendo zote za Kajala na hakuweza kuendelea kuwa pamoja na kajala.

Lakini watu hawa hawajapeana Talaka, kwa mujibu wa ndoa za kikristo, mkioana ndio basi tena mpaka mungu awatenganishe, Sasa Harmonize ataanza vipi kumuoa kajala? Kwa wanaojua vizuri hizi sheria za kikristo, Je kajala atafanikiwa kweli kuolewa na Konde, wakati tayari ameshaoelewa na mme wake yupo hai?
Kiki tu hamna lolote wasanii wa bongo kunandoa za mkataba🙄🙄🙄
 
Nashanga hyo mmakonde anamuona mpya kmbe kilomita zimeenda
Duh...agatha, kndi lake walikuwa mcharuko balaaa
Zuhura namjuwa maana stereo nimekaa sana kitambo
Wale walianza kuliwa tokea wakiwa primary

Ova

Acha tu umenikumbusha back in those days bruh...!

RIP AIDEED.
 
Nashanga hyo mmakonde anamuona mpya kmbe kilomita zimeenda
Duh...agatha, kndi lake walikuwa mcharuko balaaa
Zuhura namjuwa maana stereo nimekaa sana kitambo
Wale walianza kuliwa tokea wakiwa primary

Ova
Ana umri gani kajala.
 
Hakuna kinachoshindikana anaolewa vizuri tu.

Anaweza kuamua kudai talaka mahakamani, ndoa nyingi za kikristo zimevunjwa na watu wanaoana tu.
Refer; Flora Mbasha
Hakuna ndoa hapo kajala yupo after money sio kwamba anampenda harmonize hiv pfunk majani alikuwa mjinga kumbwaga yupo manzi sibiri huyo harmonize apunguze kumuonga huyo manzi ataona rangi halisi ya huyo mwana bongo movies
 
Ukibadili dini ndoa ya kwanza inavunjika automatic naona atafanya hivyo.
Mkuu ndoa hazivunjiki kiautomatic ndoa inavunjwa mahakamani.
Hakunaga kuvunja ndoa kiautomatic katika sheria, kama hajaomba talaka kisheria huyo bado serikali inatambua ni mke wa mtu.

Kondeboi akioa basi kaoa mke wa mtu ikiwa ile ndoa ya kwanza haijavunjwa na mahakama.

Anaweza kuoa bila tabu kabisa ila huko mbele vikitokea visanga inaweza kuwaletea shida kisheria.
 
Back
Top Bottom