Kidonda kina siku 12 hakikauki na kupona, natumia dawa

TAFUTA MMASAI AKUPE DAWA MOJA YA UTOMVU INAFANANA NA ASALI KIMIMINIKA CHAKE...INA NDIMWAI...PAKA HAPO..UJE KUNISHUKURU INBOX.
 
Nlienda juzi hospital nkasafishwa ndo nkawekewa dawa muprocini
 
Wound management
1.asafishe na hydrogen peroxide kuondoa debris.
2.then atumie Iodine tincture kusafishia,atie pamba kidogo afunge then afunge kisipate maji.
3.dressing ya kidonda afanye kila siku.


I'm not a doctor
Dressing yakidonda inafanyikaje
 
Yaan kidonda kilitokana nakupewa dawa ya bawasiri nawajapan ktk clinic zao hiyo dawa inawekwa ktk kidole hapo juu nlikua kidole kizima kabisa Sina donda ndo wakabia dawa Yao inawekwa juu ya kidole Kisha wanaichoma dawa inaungua Hadi iiishe ikiwa ktk kidole so ndio mwanzo wakidonda Sasa kutokea
 
Mbona kidole kama cha sokwe na si binadamu
Mkono wa mwanaume huo mlamba lips huwezi kuelewa.

Mleta mada fuata ushauri wa Dr PL utapona nenda hospital kisafishwe vizuri usitie shaka sana,hapo kilipo ni dhahiri kinaingia maji mara kwa mara ukinawa kipe likizo siku nne kisiguse kabisa maji matokeo yatakuwa mazuri.
 
Sasa mkuu haja kubwa ntajiaafishaje nanimkono wakushoto
 
Ushuhuda wangu wa matumizi ya unga wa mlonge kwenye matumizi ya chai inasaidia haraka sana kidonda kukauka haraka.
Inasemekana kijiko kimoja cha mlonge kina vitamin c mara sita zaidi ya chungwa, hakika binafsi nakushauri ujaribu kutumia mlonge na pia kama kuna anti biotics za hospitali nadhani ukizingatia na usaf kama ulivoshauriwa itakuwa poa,all the best,ugua pole!
 
mlonge utamchelewesha mambo hayaendi namna hiyo mkuu
 
Pole Sana kamanda...ugonjwa unaingia kirahis ila kutoka ndo shughuli..
 
Sasa mkuu haja kubwa ntajiaafishaje nanimkono wakushoto
Hizi ni nyakati unapitia zinahitaji ubunifu,kwenda choo ni lazima lakini pia ni lazima kidonda kipone nahisi pia vipo vyakula ukivizingatia vitapunguza route za chooni ikitokea umeenda beba tissue za kutosha chovya kwenye maji jifute hadi ujihisi msafi,jipe siku tano za kufanya hivi.

Suala la kuoga hii kazi ataifanya shemeji yetu huku mkono umeutenga kwa juu,kidonda kinahitaji matibabu siriaz ukikizembea kinaweza kikakuletea balaa
 
Sawa Dr,unamshauri afanye nini kipone?

Siyo muda wa lawama huu maana kimeshakuwa mpe muafaka
afike kituo cha afya huduma ataipata kisha afuate ushauri wa mlaamu

kidonda hicho kinahitaji usafi,kifungwe vizuri na kiwekewe mazingira sahihi kwa muda ili kipate kupona haraka
 
Safisha kidonda kwa maji ya kusafishia vidong " Usol", kabla ya hapo andaa: fragile 2, PNV 2, Ampiciline 2, vidonge uvisage pamoja vilainike sana, kisha changanya na hiyo ampiciline, ukiwq umeshasafisha kidonda, weka hiyo dawa, usikifunge maana kitatoa maji mepesi, kikisha acha kutoa hayo maji unaweza kufunga, ila nashauri ukiache kiwe wazi tu, utaweka mara moja au mbili tu kwishaaaa. Dawa ikiwa kwa kidonda usiruhusu maji yakilowanishe, usiache kuleta ushuhuda hapa ukipona
 
Bunda zima. Hapana.... Zisizidi punje 6.... Nafikiri hii Kitu ina kazi nyingi mwilini asije. Kupata shida nyingine wakati anatafuta tiba ya kitu kingine...
Kitunguu hakina shida, hata akila mabunda matatu.

Labda awe na matatizo mengine ya moyo n.k.

Otherwise, ale kwa kiasi cha kutosha ili kuwezesha tiba kwenda kwa kasi.
 

Kama ulikuwa hukiwekea dawa kuna uwezekano kimepata infection.. pengine hata ushapata tetenus..

Mwili Una uwezo wa kujitibu ukiona kidonda kidogo zaid ya siku 3 kinaanza kutengeneza maji na usaha ndani ujue kimepata infection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…