Kidume kaza sana ukiwa na game uvae kinga. They don't care

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
9,548
Reaction score
28,817
Hawa viumbe ni wauaji inapokuja kwenye suala la ngono salama hawajali kabisa.

Yaani manzi mnakubaliana ukaichape hata hakukumbushi ubebe ndomu. Usipojiongeza gono au waya linakulamba.

Ni mara chache sana manzi kukaza utumie kinga, na hata akikaza na wewe ukimkazia uende kavu hapingi.

Kuna wakati huwa najiuliza hivi wanawake mna shida gani? Kwa nini hamjali afya zenu?

Najua kwa mwanaume si rahisi kama manzi haonyeshi kukataa kumla kavu na anavutia.

Ila mwanangu normalize kuplay safe UKIMWI upo na wanausambaza kwa kujua au pasipo kujua

Cha ajabu malaya wauza nyuchi wanakumbuka kinga kila game tofauti na hawa mnaowaita wapenzi au mademu zenu.
​
 
Umenikumbusha, Kuna mmoja akaniambia ndom kwake hasikii Raha yoyote anataka kavu. Nikamwambia sasa kavu nakuaminije ama unaniaminije Mimi? Akasema Kuna vipimo vya kupimia kwenye fizi, nikamuuliza vp kuhusu mimba? Akasema p2 zipo... Nikamuuliza vp kuhusu magonjwa mengine ya zinaa nje ya HIV? Hapo akakosa jibu
 
Inasikitisha sana ona hajali kabisa.

Kwenye tumkoba twao hawakosi P2 ila kinga hukuti.

Wanaogopa mimba kuliko magonjwa ya zinaa.
​
 
Kwani huo ukimwi kajipa mwenyewe. Mna lawama za kindezi sana.
Shida ni kwamba wanawake mmekuwa njia ya kupitisha maambukizi kwa urahisi kwa sababu ya kujirahisisha

Kikweli wanaume wengi tunakumbuka sana kuplay game salama.

Wewe hushangai manzi kamwalika mjuba akale pilau la sikukuu lakini mwamba anabeba ndomu kabisa, shida inakuja kwenu

Mnaenda round ya kwanza safe ya pili unashangaa manzi anataka kavu.

Yaani mwanaume usipokaza unaungwa grid ya taifa huku unajiona
 
Kwani huo ukimwi alijipa mwenyewe na kwanini ukurupukie mtu ukiwa haumuamini? Ukimwi unasambazwa kwa umalaya wa wanaume tena wengi wanaupeleka kwa wake zao kisha wanawalaumu kwa kuwaambukiza wakati sivyo

Kama wanaume mngekaza kusingekuwepo kina dadapoa.

Unaalikwa na mwanamke geto kwake na unaenda aiseee tena unakaa na kula alichopika wakati haufahamu aliyekinunua

Wanaume wengi wanaambukizwa STDs na wanawake wasiojali afya zao​
 
Back
Top Bottom