Ni hatari sana tuzilinde afya zetu ni muhimu sana kuliko furaha ya muda mfupi.Mkuu umesema vyema, wadada wamewaka ukipiga kavu umelikumbatia transfoma
Mbona una nisakama sanaNa ww kazana na mashimo ya nje
Malaya wana akili, manzi yako haijui chochote kuhusu hatari za kiafya inachojua ni kuvua chupi tu kwa kila mwanaume basi cha kukusaidia mwambie manzi yako ajifunze kwa malaya ila sio malaya wote wanapenda condoms wengine ndizo zinazosabaabisha wanakua wananuka kisamakiCha ajabu malaya wauza nyuchi wanakumbuka kinga kila game tofauti na hawa mnaowaita wapenzi au mademu zenu.
Asante👍👍👍Kwani huo ukimwi kajipa mwenyewe. Mna lawama za kindezi sana.
Kama wanaume wengi wanaambikizwa means wao ndo hawajali afya yako. Yaani wewe unataka mtu aijali afya yako wewe ili iweje? Jijali wewe kwanza..lawama zako hazina hata uzito yaani. Unatafuta mtu wa kumlaumu kwa uzembe wako.Wanaume wengi wanaambukizwa STDs na wanawake wasiojali afya zao
Wabaka mikono hua hamchezi mbali.Solution NI punyeto to
Ovaa
Sijawahi tumia kinga mimi ni yule wa kimoja chali na bao la kwanza hupati ukimwi....nyie mnaokaza matako kutafuta bao la tatu ndio mpo karibu sana kupata ukimwiKila mtu hapa atadai anatumia kinga. Unafiki tupu.
Kweli, siku hizi mabinti wanapenda kubeba mimba. Hata hawajali kuolewa kwanzaWa hivyo kuwa nae makini mkuu. Sio wote wana ngoma bali wengine wanakataa ndomu ili kutegeshea mimba hasa kama kakuelewa na una pesa mtego ndo huo
Kabisa mkuu, sijaelewa Numbisa anabisha kitu gani hapo ila ni wazi anaepanga tendo lifanyike wapi na vipi ni Me.Ulishawahi kutembea na wanaume wangapi? ( Sorry not sorry) Acha kuwasemea wanaume katika masuala ya sex. Historically, suala la ngono liko kwenye controll ya mwanaume 90% Kwa kiasi kikubwa atakacho ndio kitafanyika.
As a person niliyefanya kazi kwa ukaribu na social workers hasa sex educators hii hoja yako imekaa kinyume nyume.
Hata hivyo tunashukuru Mungu kama meza imeanza kupinduka na finally wanaume mmegeuka victims, itasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza maambikizi.
Kwa uzoefu mdogo tu, suala la kuamua condom itumike au la lipo kwa mwanaume, yaani kama mwanaume hajasema au hajavaa mdada wala hajali.
Binafsi sikumbuki aliyeniambia tutumie kinga, hapa ni bahati tu hatujatumbukia kwenye shimo la tewa hakyanani!!
Kabisa mkuu, sijaelewa Numbisa anabisha kitu gani hapo ila ni wazi anaepanga tendo lifanyike wapi na vipi ni Me.
Hivyo Xi Jinping anatuasa wapanga mipango kua makini maana sisi kwa asilimia kubwa ndio waamuzi.