Mtu mbalimbali
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,126
- 2,306
Nilimkumbusha kinga akaniuliza
" uliona wapi pipi inaliwa kwenye ganda?"
" uliona wapi pipi inaliwa kwenye ganda?"
Duuu wee jamaa mbona hujipendTutasikiaje utamu raha
Kufa utakufa tu
Piga kavukavu na ukiwa unamwaga kaza makalio na uzamishe yote ndani utaona raha hadi udenda ukutoke
HaswaaaKila mtu hapa atadai anatumia kinga. Unafiki tupu.
Aisee 😅Nyama kwa nyama ni tamu sanaaaa
Mimi siwezi kondomu kabisaAisee 😅
Kuamini hii kauli kumeua wanetu wengi sanaNa huo ndio ukweli mkuu
Hawajari wala nini
Utasikiaga “me nnajiamini sijui wew” ukisikia hivyo kimbia
Kuna day tulikua na semina na doctor mmoja hivi
Akatoa pakiti ya condom..akapita ukumbi mzima akiuliza wadada wa mule kua “je kwenye box zinakaa ngapi?”
Wote wakajibu sijui
Isipokua mmoja tu akajibu na akapewa zawadi
Kisha doctor akasema ..wanaoongoza kusambaza ni wanawake kuzidi wanaume kwani hawajari
Malaya wana akili, manzi yako haijui chochote kuhusu hatari za kiafya inachojua ni kuvua chupi tu kwa kila mwanaume basi cha kukusaidia mwambie manzi yako ajifunze kwa malaya
Umesema vyemaKwa uzoefu mdogo tu, suala la kuamua condom itumike au la lipo kwa mwanaume, yaani kama mwanaume hajasema au hajavaa mdada wala hajali.
Binafsi sikumbuki aliyeniambia tutumie kinga, hapa ni bahati tu hatujatumbukia kwenye shimo la tewa hakyanani!!
UKIMWI una ladha gani?Potelea pwoteee.ila mpira hauna radha