Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Tutasikiaje utamu raha
Kufa utakufa tu
Piga kavukavu na ukiwa unamwaga kaza makalio na uzamishe yote ndani utaona raha hadi udenda ukutoke
Jukumu la kuvaa kinga likumbushwe kwa wenzi wote.
Naunga mkon hoja.Kwani huo ukimwi kajipa mwenyewe. Mna lawama za kindezi sana.
Umenikumbusha, Kuna mmoja akaniambia ndom kwake hasikii Raha yoyote anataka kavu. Nikamwambia sasa kavu nakuaminije ama unaniaminije Mimi? Akasema Kuna vipimo vya kupimia kwenye fizi, nikamuuliza vp kuhusu mimba? Akasema p2 zipo... Nikamuuliza vp kuhusu magonjwa mengine ya zinaa nje ya HIV? Hapo akakosa jibu
Shida ni kwamba wanawake mmekuwa njia ya kupitisha maambukizi kwa urahisi kwa sababu ya kujirahisishaKwani huo ukimwi kajipa mwenyewe. Mna lawama za kindezi sana.
Shida ni kwamba wanawake mmekuwa njia ya kupitisha maambukizi kwa urahisi kwa sababu ya kujirahisisha
Kikweli wanaume wengi tunakumbuka sana kuplay game salama.
Wewe hushangai manzi kamwalika mjuba akale pilau la sikukuu lakini mwamba anabeba ndomu kabisa, shida inakuja kwenu
Mnaenda round ya kwanza safe ya pili unashangaa manzi anataka kavu.
Yaani mwanaume usipokaza unaungwa grid ya taifa huku unajiona
Kwani huo ukimwi alijipa mwenyewe na kwanini ukurupukie mtu ukiwa haumuamini? Ukimwi unasambazwa kwa umalaya wa wanaume tena wengi wanaupeleka kwa wake zao kisha wanawalaumu kwa kuwaambukiza wakati sivyo
Kama wanaume mngekaza kusingekuwepo kina dadapoa.
Unaalikwa na mwanamke geto kwake na unaenda aiseee tena unakaa na kula alichopika wakati haufahamu aliyekinunua