Kidume kaza sana ukiwa na game uvae kinga. They don't care

Wanakamsemo kao "unakulaje ndizi na maganda' kuhusu wauzao kutumia kinga ni kwa sababu wanajua watu wengi wanafahamu wao ni malaya, hivyo huenda wanamaladhi, hivyo wanatumia ili waonekane wapo makini kuepuka kukosa wateja, hawa wa kitaa kwa kuwa hawajitangazi hawawazi hilo na wao wapo kazini na malaya pia sema hawana kituo maalumu.
 
Ulishawahi kutembea na wanaume wangapi? ( Sorry not sorry) Acha kuwasemea wanaume katika masuala ya sex. Historically, suala la ngono liko kwenye controll ya mwanaume 90% Kwa kiasi kikubwa atakacho ndio kitafanyika.

As a person niliyefanya kazi kwa ukaribu na social workers hasa sex educators hii hoja yako imekaa kinyume nyume.

Hata hivyo tunashukuru Mungu kama meza imeanza kupinduka na finally wanaume mmegeuka victims, itasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza maambikizi.
 
Kwa hiyo unamaanisha nyinyi mko radhi wanaume wawatumie watakavyo kwenye sex? 🤔​
 
Iko hivi, ndomu unakuwa nayo ukiamini demu atakataa kavu, lakini ndio anakuwa wakwanza kupinga matumizi ya ndomu. Kwenye hatua za kuchukua tahadhari za maambukizi ya magonjwa ya zinaa wanawake wengi hawajali tofauti na wanaume.
 
Wa hivyo kuwa nae makini mkuu. Sio wote wana ngoma bali wengine wanakataa ndomu ili kutegeshea mimba hasa kama kakuelewa na una pesa mtego ndo huo
Iko hivi, ndomu unakuwa nayo ukiamini demu atakataa kavu, lakini ndio anakuwa wakwanza kupinga matumizi ya ndomu. Kwenye hatua za kuchukua tahadhari za maambukizi ya magonjwa ya zinaa wanawake wengi hawajali tofauti na wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…