Kidume kaza sana ukiwa na game uvae kinga. They don't care

Maswali hayo yote mlikuwa wapi
 
Na huo ndio ukweli mkuu
Hawajari wala nini
Utasikiaga “me nnajiamini sijui wew” ukisikia hivyo kimbia

Kuna day tulikua na semina na doctor mmoja hivi

Akatoa pakiti ya condom..akapita ukumbi mzima akiuliza wadada wa mule kua “je kwenye box zinakaa ngapi?”
Wote wakajibu sijui
Isipokua mmoja tu akajibu na akapewa zawadi

Kisha doctor akasema ..wanaoongoza kusambaza ni wanawake kuzidi wanaume kwani hawajari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…