Kidume kaza sana ukiwa na game uvae kinga. They don't care

Nilimkumbusha kinga akaniuliza
" uliona wapi pipi inaliwa kwenye ganda?"
 
Kuamini hii kauli kumeua wanetu wengi sana
 
Malaya wana akili, manzi yako haijui chochote kuhusu hatari za kiafya inachojua ni kuvua chupi tu kwa kila mwanaume basi cha kukusaidia mwambie manzi yako ajifunze kwa malaya
 
Kwa uzoefu mdogo tu, suala la kuamua condom itumike au la lipo kwa mwanaume, yaani kama mwanaume hajasema au hajavaa mdada wala hajali.
Binafsi sikumbuki aliyeniambia tutumie kinga, hapa ni bahati tu hatujatumbukia kwenye shimo la tewa hakyanani!!
Umesema vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…