Kifaa rahisi cha kupukuchua mahindi kutoka kwenye gunzi

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,778
Reaction score
8,232
Kila mmoja naomba apeleke ubunifu huu wa kijijini kwake ikawasaidie watu wasiumize mikono kupukuchua mahindi toka kwenye magunzi.
Kifaa hiki kimetengenezwa na vizibo vya soda misumari na ubao.
Huu ni ubunifu toka China kwa gharama nafuu kabisa.

Tukiwa wabunifu umasikini unakimbia
 
View attachment 3284201
Tukiwa wabunifu umasikini unakimbia
ubunifu wa kisasa sana na muhimu sana kwa mazingira ya wakulima wa Tz :NoGodNo:
 
Kila mmoja naomba apeleke ubunifu huu wa kijijini kwake ikawasaidie watu wasiumize mikono kupukuchua mahindi toka kwenye magunzi.
Kifaa hiki kimetengenezwa na vizibo vya soda misumari na ubao.
Huu ni ubunifu toka China kwa gharama nafuu kabisa.

View attachment 3284201
Tukiwa wabunifu umasikini unakimbia
Shukrani saana....kesho nianze kuzalisha na kuuza🤗🤗🤝🏾🤝🏾🤝🏾
 
Kila mmoja naomba apeleke ubunifu huu wa kijijini kwake ikawasaidie watu wasiumize mikono kupukuchua mahindi toka kwenye magunzi.
Kifaa hiki kimetengenezwa na vizibo vya soda misumari na ubao.
Huu ni ubunifu toka China kwa gharama nafuu kabisa.

View attachment 3284201
Tukiwa wabunifu umasikini unakimbia
Tutengeneze cheap machines zinazotumia motor
 
Kila mmoja naomba apeleke ubunifu huu wa kijijini kwake ikawasaidie watu wasiumize mikono kupukuchua mahindi toka kwenye magunzi.
Kifaa hiki kimetengenezwa na vizibo vya soda misumari na ubao.
Huu ni ubunifu toka China kwa gharama nafuu kabisa.

View attachment 3284201
Tukiwa wabunifu umasikini unakimbia
Nimeona Lakini,jinsi ya kutengeneza kipengere!
 
Back
Top Bottom