Kifaa rahisi cha kupukuchua mahindi kutoka kwenye gunzi

Kifaa rahisi cha kupukuchua mahindi kutoka kwenye gunzi

Niliwahi ona ubunifu wa mashine ndogo ya kupukuchua mahindi pale nane mbeya. Ilikuwa ya kusukuma kwa baiskeli. Mbunifu wake alitoka kilimanjaro. Mpaka leo haipo madukani na ni zaidi ya miaka 10 iliopita kabla hata vimashine vya mchina havijaja.
Niliongeaga na yule mbunifu kama mashine watu wengine wanaweza iboresha itumie injini akasema yupo tayari. ALipotea na ubunifu wake na pengine alisharudi kwa muumba.
Ngoja nitoe idea hapo chini mwenye sharp mind anaweza kuibuni japo inaweza isiwe kama ile
 
Mashine inskuwa kama umbo la spiral
Inssehemu kuu4.
Inlet ya muhind
Outlet ya gunzi
Outlet ya mahindi yaliyopukuchuliwa.
Gear system inaungwa kwenye hub ya baiskel.
Ilikuwa simple ipo hivyo kama wewe ni brighter mind unaweza kufungua code na kuibumba. Nadhan kwa miaka hii mchina an geiona angefyatua nyongi sana . Ile mashie ikizidi sana bei laki 2.
 
Back
Top Bottom