TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,930
- 19,156
Sawa sister…. Zipo hata sa fisiTunalenga wa vijijini,
Za motor zipo laki saba kwa saa gunia kumi unapukuchua
Pia ekseli ya bike tu can do the job
Sawa sister…. Zipo hata sa fisiTunalenga wa vijijini,
Za motor zipo laki saba kwa saa gunia kumi unapukuchua
👿👿👿👿👿Vizibo vya soda na misumari vyote vinatoa kutu na sumu ambazo zitaingia kwenye mahindi
Una cheti cha vetaM naomben ajira yoyote tu😢
Vipo,hii kwa wasio na uwezo wa mashine hii gunia tatu hadi Tano kwa siku unapukuchuaUtapukuchua mahindi mangapi na kifaa hicho,, wakati tunataka kifaa ambacho utapukuchua mahindi 30 kwa wakati mmoja,, siyo mhindi 1
Watanzania halisi huwa hawapendi hzMada nzuri kama hizi zina uchangiaji mdogo😭
Kifaa chenyewe cha wachina......mkulima mpaka kimfikie ataambiwa mililoni tano na kodi juuMada nzuri kama hizi zina uchangiaji mdogo😭
Si hamtaki kwenda VETA ?Kifaa chenyewe cha wachina......mkulima mpaka kimfikie ataambiwa mililoni tano na kodi juu
Wasomi waende VETAKila mmoja naomba apeleke ubunifu huu wa kijijini kwake ikawasaidie watu wasiumize mikono kupukuchua mahindi toka kwenye magunzi.
Kifaa hiki kimetengenezwa na vizibo vya soda misumari na ubao.
Huu ni ubunifu toka China kwa gharama nafuu kabisa.
View attachment 3284201
Tukiwa wabunifu umasikini unakimbia
😅😅Si hamtaki kwenda VETA ?
Hivi huyu ni ww,,, prof chawa akiwa ameshiba posho za fisiemu kumbe anakuwaga na tuakiliubunifu wa kisasa sana na muhimu sana kwa mazingira ya wakulima wa Tz![]()
mtu kung'ang'ana na chuki moyoni kila aendako si mzigo sana gentleman?Hivi huyu ni ww,,, prof chawa akiwa ameshiba posho za fisiemu kumbe anakuwaga na tuakili
Chuma ndio hazitoi kutu?Vizibo vya soda na misumari vyote vinatoa kutu na sumu ambazo zitaingia kwenye mahindi
Apana Sina mm single mamaUna cheti cha veta
Ni ubunifu mzuri ila naona kuna changamoto zifuatazo:Kila mmoja naomba apeleke ubunifu huu wa kijijini kwake ikawasaidie watu wasiumize mikono kupukuchua mahindi toka kwenye magunzi.
Kifaa hiki kimetengenezwa na vizibo vya soda misumari na ubao.
Huu ni ubunifu toka China kwa gharama nafuu kabisa.
View attachment 3284201
Tukiwa wabunifu umasikini unakimbia
Siwezi poteza muda wangu kumchukia mtu asiejielwa wa kuelewa nini anata. PROF. Chawamtu kung'ang'ana na chuki moyoni kila aendako si mzigo sana gentleman?
mawezaje kua hivyo ndugu wadau?
badala ya kukusanya visoda ukatengeneza hicho kimashine kujiandaa na msimu wa mavuno, unakumbusha wadau chuki zako dhidi yangu,dah 🐒