The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Mada nzuri kama hizi zina uchangiaji mdogo😭Kila mmoja naomba apeleke ubunifu huu wa kijijini kwake ikawasaidie watu wasiumize mikono kupukuchua mahindi toka kwenye magunzi.
Kifaa hiki kimetengenezwa na vizibo vya soda misumari na ubao.
Huu ni ubunifu toka China kwa gharama nafuu kabisa.
Tukiwa wabunifu umasikini unakimbia6M views · 18K reactions | Create this for your corn | Eke Precious
Create this for your cornwww.facebook.com
ubunifu wa kisasa sana na muhimu sana kwa mazingira ya wakulima wa TzKila mmoja naomba apeleke ubunifu huu wa kijijini kwake ikawasaidie watu wasiumize mikono kupukuchua mahindi toka kwenye magunzi.
Kifaa hiki kimetengenezwa na vizibo vya soda misumari na ubao.
Huu ni ubunifu toka China kwa gharama nafuu kabisa.
View attachment 3284201
Tukiwa wabunifu umasikini unakimbia
Wanataka zile za kulaumu ccmMada nzuri kama hizi zina uchangiaji mdogo😭
Shukrani saana....kesho nianze kuzalisha na kuuza🤗🤗🤝🏾🤝🏾🤝🏾Kila mmoja naomba apeleke ubunifu huu wa kijijini kwake ikawasaidie watu wasiumize mikono kupukuchua mahindi toka kwenye magunzi.
Kifaa hiki kimetengenezwa na vizibo vya soda misumari na ubao.
Huu ni ubunifu toka China kwa gharama nafuu kabisa.
View attachment 3284201
Tukiwa wabunifu umasikini unakimbia
Ila iliwekwa mada ya wowowo hapa inachangiwa mwezi mzina non stopMada nzuri kama hizi zina uchangiaji mdogo😭
Au ya skendo😀Ila iliwekwa mada ya wowowo hapa inachangiwa mwezi mzina non stop
🤣Au ya skendo😀
Tutengeneze cheap machines zinazotumia motorKila mmoja naomba apeleke ubunifu huu wa kijijini kwake ikawasaidie watu wasiumize mikono kupukuchua mahindi toka kwenye magunzi.
Kifaa hiki kimetengenezwa na vizibo vya soda misumari na ubao.
Huu ni ubunifu toka China kwa gharama nafuu kabisa.
View attachment 3284201
Tukiwa wabunifu umasikini unakimbia
Usiweke kwenye unyevu.Vizibo vya soda na misumari vyote vinatoa kutu na sumu ambazo zitaingia kwenye mahindi
Nimeona Lakini,jinsi ya kutengeneza kipengere!Kila mmoja naomba apeleke ubunifu huu wa kijijini kwake ikawasaidie watu wasiumize mikono kupukuchua mahindi toka kwenye magunzi.
Kifaa hiki kimetengenezwa na vizibo vya soda misumari na ubao.
Huu ni ubunifu toka China kwa gharama nafuu kabisa.
View attachment 3284201
Tukiwa wabunifu umasikini unakimbia
Simple unalaza vizibo kwenye ubao vitazame juu unagonga na misumari imeisha KAZI hioNimeona Lakini,jinsi ya kutengeneza kipengere!
Motor ya niniTuanze na vinavyowezekana kwa sasa....motor bado saana! Hatujawa "serious" kiasi hiko( viongozi wetu+ ubinafsi).
Tunalenga wa vijijini,Tutengeneze cheap machines zinazotumia motor