Kifaa rahisi cha kupukuchua mahindi kutoka kwenye gunzi

Hivi huyu ni ww,,, prof chawa akiwa ameshiba posho za fisiemu kumbe anakuwaga na tuakili
mtu kung'ang'ana na chuki moyoni kila aendako si mzigo sana gentleman?

mawezaje kua hivyo ndugu wadau?
badala ya kukusanya visoda ukatengeneza hicho kimashine kujiandaa na msimu wa mavuno, unakumbusha wadau chuki zako dhidi yangu,dah 🐒
 
Ni ubunifu mzuri ila naona kuna changamoto zifuatazo:
1. Hivyo visoda vitakuwa butu mapema kabla ya kazi kuisha. Kuna haja ya kuweka vifuniko vingi akiba kwa ajili ya replacement ya vile vilivyo chakaa.
2. Hiyo mashine inafaa kwa mkulima mdogo kabisa mwenye shamba labda nusu eka hadi eka moja tena liwe ni shamba lisilotoa mazao mengi na lipo karibu na nyumbani. Sio rahisi kuitumia hiyo mashine kupukuchua gunia 12+. Hiyo mashine haitofaa kwa wale wenye mashamba ya mahindi huko maporini i.e. mbali na nyumbani au wale wenye mashamba makubwa. Huku Umasaini shamba la kawaida ni 20-50 Acres. Shamba kubwa ni hadi ekari 200 au zaidi. Hiyo mashine haitamudu au itakuwa gharama kubwa kwani inatakiwa mashine hizo ziwepo nyingi na wahudumu pia wawe ni wengi hapo shambani siku ya kuvuna. Ukivuna nusu-nusu shamba lako, ujue ukiondoka tu na wezi watakuja kumalizia palipo baki.
3. Hiyo mashine haitoi ushindani kwa mashine zile zinazoendeshwa kwa Injini za moto.
 
mtu kung'ang'ana na chuki moyoni kila aendako si mzigo sana gentleman?

mawezaje kua hivyo ndugu wadau?
badala ya kukusanya visoda ukatengeneza hicho kimashine kujiandaa na msimu wa mavuno, unakumbusha wadau chuki zako dhidi yangu,dah 🐒
Siwezi poteza muda wangu kumchukia mtu asiejielwa wa kuelewa nini anata. PROF. Chawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…