Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

Ilikuwa lazima wakamatwe hii nchi ukienda maeneo ya wafanyabiashara na kwenye siasa unakuta watu wanaongelea ushirikina na uganga kama kitu Cha kawaida na imefikia hatua waganga na washirikina (kina manyau nyau )wanajitangaza wazi wazi
Nao wauawe ila iwe taratibu taratibu
 

Nyakahama Kamachumu, Rwenyagira Burkadi mkazi wa Nyakahama Kamachumu, Ramadhani Selestine mkazi wa Kamachumu na Nurduni Hamada mkazi wa Kamachumu.

Credit - HabariMtandaoni
Aibu sana kwa kanisa. Ndio mapadre ambao wanalindwa. Wale wanaosimamia maadili ya upadre, huwa wanapigwa vita kwa nguvu na uongo wote. Tunavuna tunayopanda
 
Baba yako alipoteza Shahawa zake bure tu kukojoa ndani ukazaliwa wewe shoga
Bila shaka wewe ni miongoni mwa maharamia waliomuua mtoto yule asiye na hatia au upo kwenye biashara hiyo haramu..basi tambua kuwa mkono wa serikali utakukuta hapohapo ulipo.maana Damu ya mtoto yule Inaendelea kuzungumza na kuwataja wote
 
Kati ya hao lazima kuna mijitu ya mbogamboga aka nzi wakijani mana ndio hawashindwi,RIP binti
 
Hata kujitetea hakawezi...aisee siku yangu iliharibika haswa...nilijiuliza maswali mengi sana pasipo pata majibu...imagine kanalia kwa maumivu makali bila kenyewe kujua kana kosa gan...aisee
 
Sema Paroko wa Kanisa la Roman Catholic sio kuzunguka zunguka 🤣🤣
 
Pongezi za dhati kwa polisi, kesi ya hao wauwaji iwe inatangazwa na hukumu kali isichelewe na kupitia media hukumu iwafikie watanganyika wote ili kukomesha ujinga huu usijirudie, badala ya kufanya kazi kupata pesa tunaua albino, huu ni ujinga uliotukuka, wakomeshwe haswa. How painful it is kuua katoto kasikoweza kujitetea.

Watu wa kanda ile wapewe elimu pesa zinatafutwa kwa jasho si kuua albino tena kabinti kadogo, very shameful kwa watu wote wa kule komesheni hiyo mambo.

Kiukweli kifo cha mtoto Asimwe kimetuuma sana wazazi na kuidhalilisha sana nchi yetu. Adhabu kali itolewe haraka kabla hatujasahau, hao maharamia waende jela maisha wakalime kunde!
 
Hatari sana watumishi wa bwana wamekua wachawi
si kila asemaye Bwana Bwana atakayeurithi ufalme wa Mungu. tuko kwenye dunia ambayo Magugu yamechanganyika sana na ngano kiasi cha kwamba usipokuwa makini utashindwa kutofautisha ngano ni ipi na magugu ni yapi

Lakini mkulima anayelijua shamba lake vizuri hababaiswi na magugu yaliopamba pamba yafanane na ngano bali ngano safi inatambulika tu kirahisi na mkulima aliyewekeza mda wake kulielewa shamba lake
 
Kwahiyo, mabaya yako uliyowahi kuyafanya hapa duniani, ukoo wako ndo ulaumiwe? Kanisa la RC siyo la mtu mmoja. Kama angekuwa ametumwa na kanisa kufanya hayo, sawa. Ila kama hajatumwa, kuwa kwake padre hakumaanishi kila anachokifanya katumwa na kanisa
Hilo Kanisa lenu Lina kashfa ya kuchochea mauji ya kimbari Rwanda ,kuhamasisha Ushoga na ulawiti wa Watoto

Na wewe unaamini Hilo ni Kanisa la Yehova wenu au? 😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…