Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

Mambo ya dini zenu za Wazungu na Waarabu hayo 🤣🤣🤣
 
Tutajie ni paroko wa palokia Gani ACHA umbeya na uchonganishi katoriki hakuna paroko wa namna hiyo
 
Uko sahihi mkuu
 
Acha kukashifu kanisa kanisa halijamtuma paroko ni yeye mwenyewe na uwendawazimu wake ata hivyo bado hajahukumiwa ni hadi mahakama itoe hukumu hapo ndio vizuri kumjudge sasa..
Kanisa amelikashifu wapi? Kusema baba Poroko wa Kanisa Katoliki? Hiyo SI ndo cheo Chake au! Hujawahi kwenda polisi?kule kila mtoa taarifa au mtuhumiwa lazima atambulike Kwa majina yake kabila na cheo Chake.
 
Na wa kanda ya Nyasa nao wapewe elimu pesa haipatikani kwa kuchuna watu ngozi
 
Angekua ustaadh huyo!!!..wazee wa upendo,pigwa shavu la kulia geuza kushoto
Migalatia inahamisha hasira zao kwa mleta mada.
Wanapenda kumsena Lucas lakini akipandisha uzi wanakimbilia kusoma!

Kama kweli wanakwazika kwanini wasimuignore? Inaonyesha ni jinsi gani Lucas ni role model na wao ni mashabiki zake...!🤸
Wamekasirika kusikia Kanisa linahusika na mauaji ya mtoto Albino,povu linawatoka kama wqgonjwa wa kifafa,baba paroko na wenzake wakikutwa na hatia dawa yao kitanzi tu.
 
Wamekasirika kusikia Kanisa linahusika na mauaji ya mtoto Albino,povu linawatoka kama wqgonjwa wa kifafa,baba paroko na wenzake wakikutwa na hatia dawa yao kitanzi tu.
Migalatia inahamisha hasira zao kwa mleta mada.

Wamekasirika kusikia Kanisa linahusika na mauaji ya mtoto Albino,povu linawatoka kama wqgonjwa wa kifafa,baba paroko na wenzake wakikutwa na hatia dawa yao kitanzi tu.
Juzi niliandika kitu kama hiki
Viongozi wa dini walikuwepo zamani! Siku hizi wengi wao wanathamini pesa kuliko chochoteee
 
Mkuu soma historia, watu wa kanisa wamefanya mambo mengi tu mabaya sana tangu karne na karne, hakuna jipya la kustaajabisha hapa kwa huyo paroko kuhusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…