Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

Acha kutoa ufafanuzi uchwara hapa.

Huyo paroko msaidizi ajitokeze mwenyewe hadharani.

Kwani wanaparokia si wanamjua paroko wao msaidizi ni nani?

Je jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba huyo mtuhumiwa ni paroko msaidizi?
 
Police wanajua jinsi ya kufanya kazi.
Kuwa na subra , kuwa na amani na vyombo vya usalama ukweli utadhiri muda sio kitambo
 
Face saving mkuu,hawataki kanisa moja takatifu la mitume lichafuke,maana uchafu huko ni mwingine,kuanzia kulawiti watoto mpaka kulawatiana wao na Sasa wanahalalisha ndoa kabisa,Sasa ukiongeza na hili la albino,doh!!!..jk aliwachana 'baadhi yenu mnauza unga'..wakanuna,wakaitisha kongamano la vijana Koko bichi
 
KUna tetesi
Aliyekamatwa siyo Paroko msaidizi na wala siyo padre.
Ni mraibu ambaye paroko msaidizi alisoma naye aliamua kumchukua parokiani ili aweze kusaidiwa.
Hivyo kumtaja kama baba padre ni watu kutokutumiza majukumu yao katika kufuatilia mambo .
Paroko anaitwa Deodatus Tibakwasa na msaidizi ni Fr.Mathias.



Nimeitoa group Fulani huko.
 
Baba Asimwe alikuwa na njaa kali kama ya Sudan au Gaza mganga na paroko badala ya kumpa msosi, labda walimpa "cha Arusha" , advance payment na dili la kuua mwanae, yaani I can not imagine, jinsi I love my
kids na ninavyowanunulia majezi ya timu yao pendwa ya Azam wakavaa na kupendeza, bora nife maskini kuliko utajiri wa shetani.

Haya majitu yasiuwawe maana kifo kipo, dawa yao yakishahukumiwa life sentence yafungwe plau na kulimishwa kama ng'ombe kila siku hadi siku yatakufa natural death.
Hata mimi siamini, alafu taarifa zinasema waarifu wamekamatwa wakitafutq mteja means pesa bado haijapatikana sasa Umtoe mtoto wakamuue kweli ni jambo gumu sana
 
Hata mimi siamini, alafu taarifa zinasema waarifu wamekamatwa wakitafutq mteja means pesa bado haijapatikana sasa Umtoe mtoto wakamuue kweli ni jambo gumu sana
Wapuuzi sana hao. Tamaa na roho mbaya za kibinafsi zitawapoteza. Hawa haina haja ya kwenda kula ugali jela.
 
Kuua mtu inahitaji uwe na roho ya ibilisi.

Mimi hata kuku napata shida sana kuchinja.
Aisee hata mimi kuchinja hata bata napata tabu.
Hao watu waliofanya hicho kitendo kila adhabu ninayofikilia naona ni nyepesi kwao, sijui wasafilishwe wapelekwe kwenye kila kisiwa cha nyoka watupwe kule
 
Mkuu kama kweli huyo Baba yake na mtoto kafanya hivyo labda ana tatizo la akili au alilogwa na huyo mganga
Mimi mtoto wangu akiumwa tu najisikia vibaya, aisee nashindwa kuamini kama mzazi unaweza kumkatili mtoto wako kiasi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…