Polisi ni wazuri sana kwa kuficha wahalifuHili nalo lingine tena, isiishie tu
"watuhumiwa wamejinyonga wakiwa mahabusu, au wamepigwa risasi za miguu wakiwa wanajaribu kutoroka na wamefia njiani wakiwa wanapelekwa hospital"
Huyo ni padre.Baba paroko siyo padre,wamesema ni kijana alikua mlevi akachukuliwa na kanisa kulelewa ili aache pombe,siyo Kwamba na yeye ni paroko
ACHENI kulichafua kanisa, before hamjafanya utafiti
= ukatiliWatu tunaowaamini kwenye jamii ndo wanatenda ukatiri wa hivi kumuua malaika Mtoto Asimwe ili wakafanye ushirikina
Sorry natokea Kanda ya ziwa.= ukatili
Kina baba wengi hawana huruma!Sijui kama baba mzazi kweli ametenda ivo, aliingia tamaa ya tsh ngp?
Wapi waliposema ni Padre?Huyo ni padre.
Kwani Padre kufanya jinai kutabadili Imani ya kabisa?