James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
Wamekoseaje?Wote walikosea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekoseaje?Wote walikosea
Unachekesha na kufurahi sana ,thibitisha unayo yasema.Hakuna utu bila Mungu( Dini ) na mtu mwenyewe kusimama kwenye nafasi yake ipasavyo .
Never say never.....Mtu anaweza kuwa mchawi ila Paroko hapana
Napinga sana mauaji ya mtoto Asimwe.Nawashukru polisi kwa jitihada zao, nasubiri kusikia waliyowatuma nao wamekamatwa maana nadhani wauaji walitumwa tu.
Atakuwa ameandika akiwa kauntaBado sijaelewa mada.
Kama mleta mada wewe mwenyewe umeelewa mada yako basi embu tueleweshe na sisi wengine tuelewe.
Polisi wakiamua jambo lao, huwa wanalifanikisha ndani ya muda mfupi tu. Na kwa hili tukio la kikatili alilofanyiwa huyu malaika; hakika wanastahili pongezi!
Ila wakiamua sasa kuzingua; huwa wanazingua kweli! Na mfano mzuri wa kuzingua wa hawa jamaa, ni ule wa kipindi kile wa kumtaka Lissu na dereva wake eti warudi kwanza nchini ili wawape ushahidi wa kushambuliwa kwao kule Dodoma!!
Unajiuliza hivi tukio kama lile angefanyiwa PM, au VP; wangetoa kisingizio dhaifu kama hiki kweli
Yeye kauliza swaliHuelewi nini mkuu-Ananiel Nkya kasema chazo cha mauwaji ya Albino ni uchaguzi . Imani yake inapingana na maelezo ya polisi. Ananiel Nkya PhD hawezi kuwa mtu wa kutoa taarifa zisizo na ukweli
.Tunaomba picha ya paroko tafadhali
Asanteni
Hili si jambo la Ugalatia, kilichomtuma afanye alichofanya sio Ugalatia Wala Uparoko wake. Ni tamaq zake tuwagalatia kazi mnayo kwa uchawi tu