Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

Hii comment nimeikuta sehemu nyingi sana, lakini inafikirisha. Taarifa ya polisi imetaja "Paroko msaidizi" na ili awe Paroko msaidizi lazima awe padri tena mwandamizi. Nyie mnaosema "ni kijana aliyekuwa nalelewa tu" mnataka kusema polisi wamekurupuka?? Kwasababu wao ndio waliomtaja kwenye taarifa yao.

Kama wamekurupuka maana yake tusubiri waje kuomba radhi na kusahihisha makosa yao lakini kwasasa kinachosomeka ni paroko msaidizi
Mkuu kanisa lina taratibu zake,waumini ambao siyo wa dhehebu husika wanaona kila aliyevaa vazi ni mchungaji au padre,kuna watu wanaitwa makateksita ambao hutoa huduma ndogo ndogo ambao kimsingi ni waumini wa kawaida ila wapo daraja fulani, sasa tutulie tusubiri tamko la kanisa husika.
 
Taarifa ya polisi ina walakini na inatia mashaka. Yawezekana wauaji halisi sio hao waliokamatwa .
Uwalakini wake ukwapi? Watu wameenda eneo latukio wamefanya uchunguzi
We umekaaa na habari waletewa unazibishia ,au kisa kuna paroko
 
Mkuu kanisa lina taratibu zake,waumini ambao siyo wa dhehebu husika wanaona kila aliyevaa vazi ni mchungaji au padre,kuna watu wanaitwa makateksita ambao hutoa huduma ndogo ndogo ambao kimsingi ni waumini wa kawaida ila wapo daraja fulani, sasa tutulie tusubiri tamko la kanisa husika.
Polisi hawaezi kukurupuka kumpa paroko hio case bila ushahid ,kama baba wa mtoto kausika sembuse huyo paroko
 
Naqaza ingekuwa japo majina tu ya Waislam ndiyo wametajwa kuhusika.

Nasema majina tu, kwa sababu naamini Muislam mwenye kuufata Uislam hawezi kufanya huo ujinga hata kidogo.

JF ingekuwa hapatoshi.
wale wanaojilipua na kuua watu somalia (al shabaab)/ISIS et al sio wavaa kobazi??
 
Kwahiyo, mabaya yako uliyowahi kuyafanya hapa duniani, ukoo wako ndo ulaumiwe? Kanisa la RC siyo la mtu mmoja. Kama angekuwa ametumwa na kanisa kufanya hayo, sawa. Ila kama hajatumwa, kuwa kwake padre hakumaanishi kila anachokifanya katumwa na kanisa
Kuna majitu ya hovyo sana nchi hii! Yamekomaa na Paroko msaidizi! Mapadre wanajielewa hawawezi kufanya ujinga huo! Ukweli ni kwamba mtu aliyekamatwa alikuwa anaishi kwa Paroko Msaidizi ambaye alimchukua kumsaidia na tiba ya uraibu kwa kuwa alisoma naye sasa akamhurumia akawa anaishi naye hapo Parokiani. Yamemkuta ya kukuta waandishi wanakimbilia kuandika Paroko msaidizi! Hivi vyombo vya online hata havifanyi utafiti kujua ukweli vinakimbilia kupost tu ili vipate credits!
 
Journalism haitaji utafiti mkuu- unaambiwa unaandika ulichambiwa 5W1H
 
Yaani hata Mimi nashangaa. Paroko?????!!!!
Kila ukitafakari unaona hakuna connection yoyote ile Kati ya huyo mtu anayedaiwa kuwa Paroko na muktadha mzima wa tukio hilo. Sijui imekaaje!!?

Anyway, kwa nchi za wenzetu wenye Serikali imara zenye taasisi imara za upelelezi, tukio Kama hilo wangetoa maelekezo kwa idara mbalimbali tofauti zinazohusika na masuala ya upelelezi ili kila idara ifanye upelelezi wake kivyake-vyake na kisha zitoe ripoti na mwishowe ripoti hizo zinawekwa pamoja na kufanyiwa tathmini ya kina ili kujua ukweli wa mambo. Hata idara, taasisi au kampuni binafsi zinazojitegemea za upelelezi pia zingealikwa ili nazo zifanye upelelezi wake ulio huru.
 
Hongera Polisi Tanzania
Ukweli umewaweka huru na hiyo ndio inayotakiwa,
Yule jamaa wa sakata la mauaji ya albino ni kweli ni padre wa kanisa katoliki,
Picha za upadrisho wake, na baadhi ya picha akiongoza misa takatifu zinafuata hivi punde,
 
Back
Top Bottom