uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Mkuu kanisa lina taratibu zake,waumini ambao siyo wa dhehebu husika wanaona kila aliyevaa vazi ni mchungaji au padre,kuna watu wanaitwa makateksita ambao hutoa huduma ndogo ndogo ambao kimsingi ni waumini wa kawaida ila wapo daraja fulani, sasa tutulie tusubiri tamko la kanisa husika.Hii comment nimeikuta sehemu nyingi sana, lakini inafikirisha. Taarifa ya polisi imetaja "Paroko msaidizi" na ili awe Paroko msaidizi lazima awe padri tena mwandamizi. Nyie mnaosema "ni kijana aliyekuwa nalelewa tu" mnataka kusema polisi wamekurupuka?? Kwasababu wao ndio waliomtaja kwenye taarifa yao.
Kama wamekurupuka maana yake tusubiri waje kuomba radhi na kusahihisha makosa yao lakini kwasasa kinachosomeka ni paroko msaidizi