Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

Watu wanadhani maneno aliyosema mbowe ni ya raha au sijui mahaba ! lakini either way, huyu jamaa ni too much keshasema vya kusema na sasa ni wakati wa yeye kuhojiwa ! kama alikuwa hajui nini alichosema, why even say it ??

Mtabanwa mwaka huu hadi mchoke ubishi. Mmeibia nchi na sasa mnaanza kupambana na wale wanaotetea wananchi toka kwenye wizi wa ccm.
 

Utaifa gani fisadi wewe? watu wanapigana kurudisha mali zinazoibiwa na ccm na wewe uko bize kubadili thread na mwelekeo wa forum. Umasikini na damu ya watanzania viko mikononi mwako na mungu akulaani kwa ufisadi wako.
 
gotcha ! tupo pamoja !

Kada hiyo proposal achana nayo, narudia achana na mbowe shugulikieni mafisadi tu.

Kitu kikubwa kinachohatarisha amani ya nchi yetu ni mafisadi/wezi uchwara. washauri jamaa zako wachukuwe hatua katika hilo la ujambazi, baada ya hapo kila kitu kitakuwa solved na hautasikia maneno mazito kama uliyoyasikia.
 

Ni wapi Mbowe alichanganya familia kwenye siasa?

Mafisadi mmeishiwa na laana za umasikini wa watanzania zinawarudia sasa hata hamna cha kusema zaidi ya pumba na upupu kama huu.

Mnatia huruma sasa.

Hivi mafisadi hawana watu wenye spinniing power zaidi ya vilaza tunaowaona hapa?
 

Hawezi kuacha huyo maana fisadi ni fisadi tu mpaka siku anakufa.

Mambo mengi makubwa yametokea hapa for the last six monts alikuwa kimya kabisaaa na leo unategemea atakemea ufisadi?
 
Kada!

Hivi Ngoja nikukumbushe Kada kuna siku ulisema unamtetea JEET PATEL hivi ni kweli? kama ni kweli then naona mantiki yako ya kutaka mbowe ahojiwe
 
Bwana KADA MPINZANI huyu Mbowe hana sera na kwa kuwa hilo gazeti la Tanzani daima ni mali yake basi amekuwa akiongea anavyotaka lakini nafikiri sasa wakati umefika kwa usalama wa taifa kufanya kazi yake.

Ona pumba za mafisadi kama hizi,

Yaani usalama wa taifa wameshindwa kuzuia wizi wa mali ya watanzania kwa kiwango chote hiki na wewe leo unaona kuwa waanze kazi ya kumkamata au kumshughulikia Mbowe?

Ama kweli una ufisadi hadi kwenye damu.
 
KadaMchafu huna maana, kwani ww unaongea upupu tu..sina la ziada maana najiskia hasira kuona fisadi akitamba hapa JF..

Mwenzako analipwa pesa ambazo zingetumika kujenga hospitali na kununua madawa ili atetee ufisadi hapa, hana uchungu wowote huyo!
 

Kifo cha Ballali kwa kweli wengi waTanzania tunaamini kuna wingu ndani yake.

Lakini Mbowe alivyoongelea hapo juu highlighted aidha he was ill advised or mis quoted by reporter...kwa sababu mjue sasa Serikali na CCM watakuja juu na kupinga na watatishia kwenda mahakamani...hii ndio itakuwa big story na watu kusahau hoja kuu UFISADI.......mark my word kuanzia kesho media,vijiweni na hapa JF issue itakuwa Mbowe Vs Establishment.........wananchi wanachotaka ni kuwa mafisadi wafichuliwe waletwe kwenye vyombo vya dola na kuwajibishwa lakini siyo ku grab frontpage.
 

KUna Matatizo gani ya kuwa na issue ya MBowe VS establishment? Mbowe ni mpiganaji na lazima apambane na ufisadi wa ccm kila mara unapojitokeza.
 
Sasa mbona hujajibu maana nitamalizia kwamba unataka kutufanya tutoke kwenye EPA maana wewe unaweza kupoteza mengi.

Hana cha kujibu,

fisadi tu huyo, bado thread zilizobakia kwenye hii forum ni 95% against ccm na ufisadi wake. Bado anacheza makida tu hapa. Na sasa ile ad yake dhidi ya Mbowe itageuzwa na kuwa anti-ccm hadi achoke.
 
KUna Matatizo gani ya kuwa na issue ya MBowe VS establishment? Mbowe ni mpiganaji na lazima apambane na ufisadi wa ccm kila mara unapojitokeza.

Post yangu inasema na ina maana kwa kauli aliyotoa Mbowe...
 
Post yangu inasema na ina maana kwa kauli aliyotoa Mbowe...

Chochote ulichosema bado kinamaanisha yaleyale. Wewe unataka Mbowe akae kimya wakati kuna usanii mkubwa sana unafanywa na mafisadi huko ccm na serikali yao.

tunamuombea Mbowe kwa mungu ili aendelee kuwaumbua mafisadi kila mara wanapoleta usanii wao kwa watanzania. ALichosema mbowe ni sahihi na kama ccm wana ubavu, wampeleke mahakamani au wamhoji.
 
butty camp hiyooooooooo..........!

Umejitahidi sana... imekuchukua dakika karibu 63 kabla hujaanza kuandika utumbo na pumba. Hii ni JF, ufisadi na utetezi wake hauna nafasi.

Endelea na butty camp maana hicho tu ndicho unaweza kusema na sio kutetea ufisadi.

Kwi kwi kwi...

I luuuuuuuv JF.
 

kwani uongo ! nenda booty camp ! unahitajika huko ! pumba zako kalishe mbuzi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…