Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

Kwani wangapi walishazikwa na baadaye maiti kufukuliwa ili ku-reveal the truth? DNA test ziko bwerere kila pahala. Kama si kweli Balali amekufa, wanaojaribu kuchezea akili za watu watakuja aibika mno...
 
Kwani wangapi walishazikwa na baadaye maiti kufukuliwa ili ku-reveal the truth? DNA test ziko bwerere kila pahala. Kama si kweli Balali amekufa, wanaojaribu kuchezea akili za watu watakuja aibika mno...

Ukiambiwa mwili wa marehemu ulichomwa moto na majivu yake yakamwagwa baharini au mtoni utafukua nini?
 

mmmhhh..........haya hiyo ndio imetoka tena
 
Au ndo maana hata utoaji wa Taarifa ya kifo chake umekuwa tata,mtu kama huyu taarifa kwa nini zimechelewa kutolewa,Hata waandishi wa habari walipewa vikaratasi tu huko BOT wala hakukuwa hata mda wa kuhoji kulikoni.Hii kama ni fix basi imekaa utamu sana
 

Do you really expect people to buy into this kind of crap? Its a big shame how a grown man could come up with such careless, purely speculative mumbo jumbo (and giggle like a small child while at it) on the basis of some obscure copy-and-paste story when we are dealing with such a serious issue as this!
 
Mimi naamini amekufa ila bado najiuliza kwanini kila klitu ni siri

  • Kuondoka Tanzania ilikuwa siri.
  • Ugonjwa bado siri mpaka leo.
  • Hospital aliyolazwa bado ni siri mpaka leo.
  • Habari za kifo siri mpaka JF wawatangazie wananchi.
  • Mazishi ni siri hakuna mtu wa kuona mwili

Hii inatisha au inawezeka hakufa ni ujanja wa serikali, kweli JK ni ze comedy kama anaweza kuengineer hiki kitu mpaka hapa, tutajitahidi aingie kwenye kitabu cha Guiness
 
Hili Ni Tetemeko la Ardhi ya Serikali...

dada za kina Balali??? walipue bomu ambalo mwenyewe alipokuwa hai alishindwa kulilipua? Hakuna bomu lolote hapa, tumeliwa kekundu na keusi basi..japo vita dhidi ya ufisadi ndiyo kwanza imeanza
 

Nyama hatari,

Crap? That is your opinion, why can't you challenge these craps with your facts?

This thread is about conspiracy, if you don't believe in conspiracies then either you are in a wrong thread or you have to put your facts together and prove us wrong.

Calling other people children doesn't make you a grown-up.

You can learn a lot about the future by looking at the past, at least that is what intellectuals believe. What you call obscure material may hold a key to future inventions.
 
mh! inatisha sana!!!!
hivi kama yuko haoi aitaibuka siku moja? kama anataka kujificha states mpaka lini? lakini kwa mshangao zaidi, balali mzaliwa wa mafinga, tunasikia mpaka mama yake yupo hai, akazikwe marekani? ninavyojua mimi na nivavyoamini kuna mchezo fulani!!!!

sijui!
 
mh! inatisha sana!!!!
hivi kama yuko hai aitaibuka siku moja? kama anataka kujificha states mpaka lini? lakini kwa mshangao zaidi, balali mzaliwa wa mafinga, tunasikia mpaka mama yake yupo hai, akazikwe marekani? ninavyojua mimi na nivavyoamini kuna mchezo fulani!!!!

sijui!
 
Kuna kila dalili kuwa Balali hajafa! Mmm!........ sirikali tunayo. Wacha tusishangae sana kwani walikwisha sema kuwa hawana haja nae na hata wakimtaka wana mkono mrefu,watampata. INACHANGANYA!!!
 
MImi naamini Balali alitaka kusema ila alizuiwa ndo maana serikali haikutaka hata siku moja tujue alilazwa Hospitali gani watu wasije wakamfuata na kumuoji, ili linaleta maswali mengi sana bila majibu kama kweli amekufa au ni mpango wa kutaka kumaliza swala la EPA kimya kimya.

Naamini hawa wanaweza kuwa na document zenye maelezo ya kina lakini wasipate nafasi ya kutoa maelezo hayo ukizingatia kuwa balali mwenyewe alishindwa kuyatoa kwa waandishi wa habari.
 
kama nilie vile,jamani mi roho inaniuma kweli,ok sina haja ya hivyo vijisent coz vilivyoibwa sijaviona na wala visingeibwa nisingeviona,ila kinachoniuma mbona serikali imefika pabaya?kwanini jamani?
hivi inakuaje mbeba mabox wa kawaida akifia nje zinachangishwa hela anarudishwa kwao,inakuaje yeye?hana ndugu bongo?marekani kwao?kuna kunandege itakodishwa ya kuwabeba wajomba na mashangazi na majirani kwenda kwenye msiba wake.
mbona changa la macho,ditopile kafa tumeona msiba wake,mbona wa huyu hamna msiba?
ok,kama hawezi kurudishwa tanzania itolewe basi adress ya sehemu ulioko msiba ili watanzania walio huko wakahudhurie kuwakilisha watanzania wengine.
serikali hamuoni aibu?
 
Ballali had millions of dollars which make it very easy for him to him to start a new life. new passport, new identity...possible,
 
let me give you a consiracy theorem

balali amekula pesa pamoja na ccm chama, chama kinajua balali kichwa kwa hiyo hata kukifanywa uchunguzi itakuwa hakuna loose ends. bahati mbaya, loop holes zikapatikana na balali akawatishia kutoa siri.

chama kikampa sumu, kwa bahati zake zipo hajafa, akataarisha kitabu kizima cha documents kinachoonyesha pesa zote zimeenda wapi akawakabidhi FBI.

chama kijua hilo, wakapiga deal na balali kuwa waseme kafa, wampatie identity nyengine na bahashishi juu ya dola milioni kadhaa akaanze maisha nchi nyengine in return kwa kitabu cha documents.

msiba wake umetangazwa mda mrefu baada ya kifo hicho cha kutengeneza ili azikwe upesi kabla wananchi hawajadai mwili.

atazikwa katika strictly private mazishi, with just mkewe na wanawe na mwendesha sala, na mwili wake utachomwa moto na majibu yatatupwa baharini.

wakati mazishi yanaendelea, balali anakula mrija kwenye offshore beach na short pense na googles, na file linakabidhiwa kwa makachero watano wa chama na chama kinapumua uzuri.


kabla ya kudaiwa ushahidi, hizi ni conspiracy theorem tu kama heading inavyosema. ......
 
sio serikali walimzuilia asionekane, yeye mwenyewe hana jamaa kwani angewaambia wavujishe amelazwa wapi kama alikuwa na nia kweli ya kuongea na watu kuhusu hilo.

hakuna dada hata mmoja atakae lipua bomu.
 
Kama kungekuwa na ukweli hapo..Basi wangemsafisha ndugu yao akiwa hai kwasababu watanzania tuliwapa muda huo!
Sasa keshakufa na itakuwa yale mambo ya he say she say!

Mabomu yatalipuliwa na wale wenye kuujua ukweli na kamwe si wenye kusafishana!
 
It is too late friends to think that anybody can now say anything on behalf of the late Balali. Hata video tape yaweza isisadikiwe kwa vile alipokuwa hai hakuweza kujisafisha mwenyewe na sijui kwa nini alishindwa kufanya hivyo wakati teknolojia ingeweza kumsaidia kufanya hivyo bila kurudi Tanzania in person?

Angeturushia video inayotaja memo za kuchota vijisenti vyetu pale BoT kupitia luninga ya Aljazeera, si angetusaidia katika fichua fichua mafisadi na angekufa na baraka zetu wote hapa huku akiacha wakubwa wanateseka na moto wa kuandamwa na habari chafu dhidi yao!

Yet, Japokuwa kafariki, damu yake inawalilia hao waliomfikisha hapo alipo! Si bure! Huwezi ukatawala, ukaiba kwa mgongo wa mwenzio kisha umuue nawe ubaki na heri duniani! Nature isnt that unfair!
 
Taarifa za kifo hapa marekani ni public info!
Na si familia inayotoa habari hizo kama wanavyodai kina Kishoka!
Habari hizo hutolewa na coroner kwenda kwenye magazet and so forth!
Na hao wenye hiyo funeral home nao wasiwasi sana kwasababu hata wao walitakiwa wawe na database yao ili tuweze kusearch watu waliokufa kama vile funeral home nyingine zinavyofanya!
Habari hizi tayari zingeshakuwa public hadi sasa!
Kwanini zinazuiliwa isivyo kawaida?
Hiyo funeral home nayo tutaichunguza tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…