Wakuu mimi siamini kuwa Balali amekufa, kwa sababu:-
1. kwa wale msiojua ni kwamba katika mji wa State ya
Boston, habari za wagonjwa kulazwa hospitali na wagonjwa
kufariki wakiwa kwenye hospitali za State hiyo ni open to
the public, yaani unaweza kwa kupitia internent kupata info
za mgonjwa yoyote aliyelazwa au kufariki huko Boston,
2. Boston, ina wakazi wengi sana wa kutoka bongo, ambao pia
wengine wamebobea kwenye sekta ya Medicine kwenye hospital
za huko na tunawafahamu kwa karibu, sasa haiwezekani kuwa
wote hawajui kwamba Balali aliwahi kulazwa hospitali gani
huko!
3. Haiwezekani Balali ambaye mpaka magazeti ya Boston, kama
Globe ambayo yanajua kuwa huyu ni mtu of special interest
kwa taifa letu na kwa waa-Afrika wengi wanaoishi Boston,
afariki dunia wao wasijue kabisaa, lakini gazeti la
Tanzania Daima, likajua that is a big joke!
4. Mke wa sasa Balali, ni dada wa mume wa dada wa mmiliki
wa gazeti la Tanzania Daima, ambalo ndilo limekuwa la
kwanza kusema hizi habari, now is this just another death
annoucemment, au?
5. Ni kwa nini wa-Tanzania kwa maelfu wanaoshi Boston,
hawajui Balali alipokuwa amelazwa au hata habari za msiba?
Angalau hata the big star Hashimu, the basketballer
angekuwa amejulishwa na wazungu somehow kuwa kuna mbongo
mwenzio hospital amelazwa au amekufa, lakini hata yeye
hajui na ni mwenyeji huko Boston!
Sasa kulikoni na hii habari?
--
Yona Maro is a freelance writer and online researcher based
Tanzania and frequently contributes to Tips and Topics. He
has published numerous articles in local and regional
publications on a wide range of topics, including
Business,Ict , Education, Arts, and Local events +255
784 360204