Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

Another easiest way of getting the truth ni kwenda kwenye ofisi za counties ambazo zinahisiwa kwamba "Marehemu" alifarikia.

Rockville iko Montgomery county. Boston iko Suffolk County. Kama kuna watu wanaishi karibu na maeneo hayo pia anaweza tembelea county offices na kuulizia hizi taarifa za kifo. I think this is the easiest way ya ku-confirm hii issue.
 
Niliamua kuanzisha thread ya Countdown ya EPA kwasababu inavyoelekea..Ballali ni bora angekuwa mzima kuliko ilivyo hivi sasa ambapo inasemekana amekufa.
Mimi nafikiri uzima wa Ballali utakuwa ni bora kuliko kifo chake kama tutaendeleza mapambano vile inavyotakiwa!
 

Dude, are we to accept at face value this kind of "he said, she said" hearsay stuff from second-hand (...third-hand, fourth-hand..sources.) as reliable and correct only because people like ANNA MKAPA AND DAUDI BALLALI'S OLDER SISTER ALLEGEDLY SAID SO? Is this the best you can possibly offer by way of true and trusted information?
 

Mkuu hili limefanyika tayari, imesemwa hapa kuwa kifo kimetokea DC na ndio maana nilikwenda CME office ya DC. Kuna wengine pia wanafuatilia hizo zingine zote....
 

Mushi,

Kesi ya EPA itaendelea tu hata kama Ballali akiwa hayupo. Katika hili wala usiwe na wasiwasi kabisaaaaaaaa
 
Mkuu hili limefanyika tayari, imesemwa hapa kuwa kifo kimetokea DC na ndio maana nilikwenda CME office ya DC. Kuna wengine pia wanafuatilia hizo zingine zote....

Duh,

Hii inathibitisha kwamba the Truth will be revealed soon... Hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Kwa hiyo Balali kaamua kufa na wadudu wanakuja hadharani huku wakipangusa midomo wakisema hawajawahi kula....
 
Sasa naona kwa nini nimuunge mkono mwafrika wa kike.

Kuna habari ambazo sijazidhibitisha zimeanza kuzagaa huku Ughaibuni kwamba Balali yu mzima na alitoroshwa Tanzania na sasa yuko mahala (sio USA)yuko salama na analindwa.

Mama yake Balali kapewa ulinzi huko Tanzania na hata familia yake ipo well treated na everything is under contro- for now.

Kwa hio hapa inamaanisha kwamba kuzidi kushikia bango habari hii ni kuzidi kutia watu "pressure".

Kwa hio hapa tuangalie sehemu zote tunazofikiri anaweza kuwepo kwa kuzingatia uwezo wake kifwedha na tu-keep open mind.

Mimi ndio maana sikuamini kauli ya nguvu mpya, kasi mpya na hali mpya.
 
Give me a better offer. It was not Balali's older sister. Read the posting again, dude!
 
 

Mtanzania,
Ukifuatia timeline hamna contradiction. RO alimwona Balali Dec 2, mjini Boston, alipotoa kauli yake ya kihistoria.
Hili la makachero tulilisoma kwenye magazeti mwezi Mei, siku chache kabla ya marhemu kukata roho na baada ya viongozi wa serikali kusema hawajui aliko Balali lakini kama watamhitaji wana njia za kujua mahali alipo. It is a long time between Dec. and May and the waters that went under the bridge. Alipokutana naye Dec 2 marhemu alikuwa bado government official. Zilipotolewa habari kuwa anatafutwa na makachero, alikuwa ameshakuwa "revoked," na mheshimiwa rais. Kwa hiyo swali lako la sababu za kuwatuma makachero lielekeze kwa Salva. Hao ndio walioanza kutangaza hawajui alipo lakini wakimtaka wanajua jinsi ya kumpata. Sijui unanielewa?
 
Kwa maana hiyo Mwafrika wa kike na wenzangu hapa jf kuna haja ya kusisitiza serikali kuuleta mwili wa balaliu bongo na hao ndugu zake waliokuwa naye USA hasa mkewe kuutoa huo wosia hadharani ili wote tuusome kama kweli alisema azikwe marekani au bongo?aidha utata mwingine unajitokeza kutokana na kuwa na wosia mbili,wakati ndugu zake huko Iringa wanadai alisema azikwe na baba yake,mkewe alidai alisema azikwe marekani.Wakati ndugu zake huko Iringa kijiji cha luganga ikiwemo wale dada zake wawili walomtembelea huko US na kukuta amekufa wakitaka maiti irudishwe tanzania,mke wake na baadhi ya walokuwa huko waliendelea kushikilia msimamo wa kuwa balali alikataa kuzikwa Tanzania.Sasa hapa lipi ni lipi?na zaidi ya hapo serikali ikawa kigugumizi wa kutujibu mawali yetu mengi watanzania. Kutokana na mantiki hizo hapo juu ni rahisi sana kukubaliana na mwafrika wa kike kuhusu mambo aibuayo sasa,japo umakini wa hali ya juu unatakiwa kwenye approach.
Hata hivyo, hapa duniani kuna nchi visiwa vidogovidogo sana kwenye bahari ya pacific na atlantic vinasifika sana kwa kuficha wahalifu,kuwa na makao makuu ya makampuni hewa na vilevile vyenyewe hujiita tax free zones au taz havens. Huku ndiko wengi hukimbilia,maisha ya visiwa hivyo ni raha mustarehe sana na matajiri kibao hula maisha huko,baadhi yake ni kama bahamas,british virgin island,isle of man,tonga & tuvallu,mayotte,malta nk.Sasa uwezekano wa watu kujificha huko ni mkubwa na vyenyewe havinaga extradition agreements na nchi yeyote wala mutual assistance in criminal matters.
Nawasilisha
 
 

Mkuu wewe ni good kwa ajili ya this kubadili majina na maneno yako ni yale yale na spirit yako ni ile ile, hapa tunajadili ishu iliyokuwa raised na Mwafrika wa Kike, ametoa hoja nimetoa hoja, sasa nilitegemea na wewe utatoa hoja kuhusiana na hoja ya MWK, lakini kama kawaida yako hoja yako ni jina langu na credibility yangu, na kujaribu kila unaloweza ili kuharibu jina langu, lakini tizama unavyopwaya kama shati la kaniki kwa sababu huna hoja, na nina wasi wasi kama wewe ni raia wa Tanzania kama mimi, mkuu unayo passport ya Tanzania kama mimi ili niweke namba watu wathibitishe kama ninayo na wewe kama unayo kweli? Nina wasi wasi wewe sio raia kama mimi na mko wengi sana wa namna yako kwenye hiyo kona yako ya majungu, mkuu wewe ni raia wa bongo kama mimi kweli?

Sasa unataka na mimi niwe kama wewe bendera tu kufuata upepo bila hoja? Manlia kukataa kuburuzwa lakini kumbe ndio hasa ni ana madhumuni yenu kutaka kuniburuza, wewe huwezi kuniburuza mimi hata siku moja, mimi nimefanya uchunguzi wangu binafsi na ninatoa hoja, wewe hoja yako iko wapi mpuuuzi wewe?

Kuanzia Ijumaa iliyopita mkuu unahangaika kila mahali wewe huwezi nifanya anything, hoja umeshindwa kabisaa, dataz umeshindwa kabisaa, sasa unajaribu personal nayo huwezi maana huna ukweli umejaa uongo uzandiki na roho mbaya, unajua siku zote ninakuona nilikuwa ninakuhisi tu, lakini sasa nimekujua vizuri mkuu ahsante sana mkuu kwa kunishitua mapema, halafu mimi ni raia wa bongo na ni haki yangu kuchangia taifa langu, wasiokuwa raia shauri yao, sisi hili ni taifa letu mkuu, waliokutuma waambie nipo hapa tena imara sana, na kwamba sasa habari zangu ziko hata kwenye magazeti ya taifa sio hapa tu, ni kwa sababu zinakubalika kwa ukweli, sasa hivi taifa zima la bongo linategemea info za Balali kutoka kwa watu watatu tu kama hujui, ni mimi Mkulu FMES, Mzee Wangu MMJ, na Mwafrika Wa Kike zingine zote hawazigusi tena maana hazina uhakika, sasa nilitegemea kuwa utakuwa proud kuwa na mimi hapa, badala yake unajaribu kunipiga vita kila kona, hutaviweza mkuu mimi ni mtu mzima nimeanza huu mchezo siku nyingi sana nimesema mara nyingi sana kuwa huwa ninakombolewa na ukweli siku zote ambao no matter huwa unathibitishwa kuwa maneno yangu ni kweli,

Nimetumia hoja kujibu hoja ya Mwafrika Wa Kike, wewe hoja yako iko wapi mkuu? Kama una shida na mimi vipi tukikutana tu tuyamalize badala ya kusumbua watu hapa? Si unajua pa kunipata mkuu na unajua simu yangu au kama huna nitakupa tu mkuu tukutane maana sasa unaanza kuiharibu JF na kilio chako kisichoisha, na vipi ile avenue ya wake zetu bado unaitaka? Waambie waliokutuma kuwa hapa ni jiwe watisheni hao hao sio mimi, sina wasi wasi kabisa ninaendelea kumwaga hoja hapa na magazetini on dataz,

WAsalimie Mkuu, ila hoja hujibiwa kwa hoja sio viroja kama vyako, MWK ametoa hoja nimejibu hoja, sukijibu viroja, vipi na wewe mkuu ukitoa hoja badala ya viroja? Kumbuka kuwa huwa sikimbii mtu hapa au popote pale!. Na wasiokuwa raia wetu ni vyema wakachangie nchi zao kuliko kutaka kutuchanganya wabongo tuachieni na taifa letu wakuu!

Yaani nyani amekomwa Ijumaa, Jumamosi na Jumapili iliyopita, leo a week after bado nyani analia tu kila kona ya hii forum! Duh kweli kilikuwa kipigo kikali sana hivi ni kwa nini mlimchezea Simba sharubu wakati hamna ubavu?

Maana sasa mtu mzima majina karibu 100 against jina langu moja tu! yaani Field Marshall Super Es! Halafu eti mimi na wewe tuongelee credibility? Mkuu credibility inaanzia kwenye jina moja tu maana hatuna wasi wasi na tunachosema na tunaweza kujitetea anytime kwa ukweli, lakini hatubadili majina kila kona ni dalili za kutojiamini na unachokisema, meaning kwamba wewe ni muongo sana, ili ukikamtawa uongo kwenye jina moja basi mbio kukimbilia lingine, ila ninaomba nikuambie kama mtumzima kuwa punguza majina maana unashusha hadhi yako wengi wameshaanza kukushitukia mkuu
 
Hahahahahaaaa....you guys are still hung up on this....? Let me continue to do what I do best and that is to have more fun than any of you should be allowed to have...
 

Safi sana
Na akome....
 

Mkuu kumbuka kuwa siku hizi uwt kuna mabosi wawili tofauti!
 



😱 ?????????????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…