Sasa naona kwa nini nimuunge mkono mwafrika wa kike.
Kuna habari ambazo sijazidhibitisha zimeanza kuzagaa huku Ughaibuni kwamba Balali yu mzima na alitoroshwa Tanzania na sasa yuko mahala (sio USA)yuko salama na analindwa.
Mama yake Balali kapewa ulinzi huko Tanzania na hata familia yake ipo well treated na everything is under contro- for now.
Kwa hio hapa inamaanisha kwamba kuzidi kushikia bango habari hii ni kuzidi kutia watu "pressure".
Kama kuna habari hizo tafuta njia ya kuzithibitisha. Ughaibuni ni rahisi zaidi kupata sources kuliko Bongo. Hilo la mama yake kupewa ulinzi waulize BOT.
Walikuwa wapi wakati alipoingiliwa na majambazi na kupigwa kizee cha watu?
Ok nnafuta usemi wa
"Kuna habari ambazo sijazidhibitisha" na naweka semi wa kwamba,
kuna uvumi kwamba Balali yu mzima na alitoroshwa Tanzania na sasa yuko mahala (sio USA)yuko salama na analindwa.
Kwa hio hili nnalifuatilia.
Pili, sijaelewa tofauti ya kutengua uteuzi na kufukuza kazi mtu kama mheshimiwa raisi alivofanya kwa kutengua uteuzi wa Balali kuwa gavana wa BOT.
Tatu je ni kwanini kama Balali si mtumishi tena wa BOT, mama yake apewe ulinzi na BOT kwa kuzingatia kwamba hata magavana waliopita hawakuwahi kufanyiwa hivyo.
Kwa hio basi kama uteuzi wake uko "pending" kwa kutegemea na kukamilika kwa uchunguzi wa ile task force ya raisi, kuna dalili kwamba Balali yupo.
Hata hivyo nimewasiliana na rafiki yangu mmoja ambae ni paparazi mzuri na hufanya kazi katika majarida mbaluimbali kama OK, Hello na mengine, huwa anasafiri katika maeneo ambayo tunahizi Balali anaweza kuwepo kama Monaco, Jersey, Malta, Gibraltar, Geneva, na visiwa vya Caribbean kama Balbardos, Bahamas au St Tropez.
Yeye hupiga picha ambazo ni adimu kuzipata na huuza kawa magazeti haya kwa hio tusubiri tu.
View attachment 1636
Tukishindwa ntamtuma huyu jamaa yangu ni hodari kwelikweli wa ku-snick sehemu yoyote ile hasa kwenye bustani.