Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

Mkuu achana na mbowe hakuwa na uwezo wa kurudisha Balali Bongo. Je yule anayepewa majina kila siku badala ya kuyashughulikia ANAyaangalia ukubwa wake na kutafuta waingereza wamsaidie alishindwa nini kumrudisha balali?

Bahati nzuri baadhi ya mafisadi wanapumua maana amewakingia kifua eti wapumzike. Sasa huyu ambaye alihamua kumnyamazia mara kafariki. Sisi hata afariki tunajua majibu yote anayo yeye kwa hiyo hakuna siku hata moja atatoa ripoti yenye kisingizio cha balali.

Pale palipo na balali inatakiwa ajiweke yeye mwenyewe basi tu. Kwa sababu mpaKA BALALI ANAPOTEA TULIKUWA NA MUDA WA KUTOSHA. Mimi ninachoona hapa balali kapaa tu. Sijui ameangukia pua au vipi hila wale wazee wa EPA, wakamatwe wote tu.

Umakini wa Mbowe kwenye siasa nautilia mashaka. Anachanganya mambo yake ya familia na CHADEMA, hilo ni kosa kubwa.

Kama hili alijua Ballali yuko wapi, lakini akaamua kukaa kimya wakati wanasiasa
wenzake wa upinzani wangependa kujua Ballali yuko wapi ili kumuumbua.

Kwenye kifo kawa wa kwanza kuambiwa na kawa wa kwanza kusema anaamini kweli kafa. Sasa anaanza kusema serikali imemuua, hapo naona anatudanganya Watanzania.
 
Umesema mbowe ni ndugu sijui wa nani may be anajua vizuri kuhusu balali hilo hatuna haja nalo sisi tatizo letu ni moja tu ni wezi wa EPA. Kulikoni hawajakamatwa wakati wanajulikana.

Kifo cha Balali kitajulikana tu ni matter of time hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Nasikia huko Iringa hata wamesahau kuweka msiba maana hawakupata taharifa.

Sasa nafikiri Balali tuachane naye kwa muda hili waweze kukamata watu walioiba pale Bot wakikamatwa tushugulikie suala la balali.

Matatizo ya Tanzania ni zaidi ya EPA. Kama tunataka kukomesha ufisadi ni lazima tupigana na unafiki wa aina zote kwenye siasa kuanzia hao majambazi wa CCM mpaka opportunists wa upinzani.

Kama ni kweli Mbowe alijua alikokuwa Ballali, na hakutuambia watanzania, hapa atakuwa mnafiki tu na yeye.

Kama ni suala la ndugu basi angekaa kimya mpaka mwisho na kumwachia makamu au Dr. Slaa kuwa msemaji kwenye hili suala la Dr. Ballali.
 
hapana nafikiri hili suala la ballali kuuliwa na ccm hadi lipatiwe ufumbuzi maana mbowe keshasema, na kwa raia wanaojali sidhani kama tungependa kuona jambo kama hili la viongozi kuuliwa likijirudia tena !
 
Mbowe keshasema kwamba ballali na amina chifupa wameuliwa na ccm ! now is he ready to take those claims to the police and justify them by prooving how that happened ? maana naamini kiongozi makini kama yeye hawezi kuropoka tu hivi hivi !
Mbowe nafikiri ana mengi ya kujibu kama atahojiwa na vyombo vya dola !

Mkuu ya mbowe muachie mbowe najua mbowe mtu makini najua alivyowapigisha kwata CCM 2005, kwa hiyo anajua anasema nini, labda suali la kujiuliza hii si amezungumza wazi kuna aliyemfuata. Kwa nini unajua alikuwa na nini nyuma yake. Ya Mbowe tumwachie mbowe let us talk now about Balali.

Where is balali?, tuachane na hilo swali. Wale wezi wa EPA wako wapi? Je kuna aliyefunguliwa mashitaka ya kukwapua PESA?, Mbona makampuni yalisomwa wazi wazi na waandishi wakatueleza ni ya kina nani? Hivi halafu pale benki kuu hivi ukiwa unachukua pesa anayesaini ni Gavana au kuna watu wengine?

Je gavana anasaini hivi hivi tu bila watu kutoa documents zinazoeleweka? Je mbona hii issue tunaona wale wasouth waliifanyia kazi hata balali akiwa tanzania? Vyombo vya dola vilipata taharifa vilishindwaje kumkamata huyu Bwana akiwa tanzania mpaka sasa wanatwambia kafariki?

Je wakati Dr. Slaaa akimtaja na kusema madhambi yake mbona serikali walikuwa na documents zote za upotevu wa pesa na hakuna aliyeonekana kuchukua hatua. Badala yake wakamuita mzushi na mabo ya internet? Sasa Mbowe kasema wamuguse tu atoe cheche zake usikie.
 
Matatizo ya Tanzania ni zaidi ya EPA. Kama tunataka kukomesha ufisadi ni lazima tupigana na unafiki wa aina zote kwenye siasa kuanzia hao majambazi wa CCM mpaka opportunists wa upinzani.

Kama ni kweli Mbowe alijua alikokuwa Ballali, na hakutuambia watanzania, hapa atakuwa mnafiki tu na yeye.

Kama ni suala la ndugu basi angekaa kimya mpaka mwisho na kumwachia makamu au Dr. Slaa kuwa msemaji kwenye hili suala la Dr. Ballali
.

mzee umeongea mengi muhimu leo !

Na ndio maana nasema sio vibaya pia tukiangalia na wapinzani ambao kwa njia moja ama nyingine tusipokuwa makini tutakuwa tunacheza makidamakida, kama tutaamua kukomesha ufisadi unaonfanywa sasa hivi na chama tawala then hatuna budi kufanya hivyo kwa wapinzani pia, maana wasije wakawa ndio wale wale ! na hadi hivi sasa kuna dalili inayoonyesha kwamba ndio wale wale, na ndio maana hata jana nilishindwa kumake decision yangu maana nina doubts sana sana tena sana na huyu mbowe !
 
Umakini wa Mbowe kwenye siasa nautilia mashaka. Anachanganya mambo yake ya familia na CHADEMA, hilo ni kosa kubwa.

Kama hili alijua Ballali yuko wapi, lakini akaamua kukaa kimya wakati wanasiasa
wenzake wa upinzani wangependa kujua Ballali yuko wapi ili kumuumbua.

Kwenye kifo kawa wa kwanza kuambiwa na kawa wa kwanza kusema anaamini kweli kafa. Sasa anaanza kusema serikali imemuua, hapo naona anatudanganya Watanzania
.

jana kuna kitu nilitaka kuamua, lakini nilikuwa nasitasita kutokana na huyu Mbowe ! sijui kama kweli anajua nini anachofanya !
 
KadaMchafu huna maana, kwani ww unaongea upupu tu..sina la ziada maana najiskia hasira kuona fisadi akitamba hapa JF..
 
Uhakika nilo nao ni kuwa hakuna jinsi ambayo mafisadi wanaweza kuishi salama bila kuwa na vibaraka ambao ndiyo wanaoingia kwenye mtandao na kwenye vyombo vya habari kuwasaidia kujibu hoja za wanamapinduzi.

Hapa naumia mambo mawili makuu

Kwanza naummia kuwa MAFISADI wanakuwa salama kwa kutumia watu wasafi wasio na utajiri hata kidogo.

Pili naumia kuwa wanaowahakikishia usalama mafisadi ni watu wenye elimu nzuri sana na ambao aghalabu hawana madoa yoyote ya ufisadi. Kinachowasumbua ni ama chakula cha siku au fahari ya kufahamiana na mafisadi.

Siku nitakapofanikiwa kuwatenga MAFISADI na VIBARAKA wao basi nitakuwa nimeiponya nchi ya Tanzania.
Lakini kabla sijawatenga nataka kwanza kila KIBARAKA wa fisadi atengewe share zake kwa kazi ya kuwatetea mafisadi. Kwamba pale kibaraka anapomlinda fisadi na kumsababishia faida ya bilioni 2, basi kibaraka apate bilioni 1. Sawa sawa!!!!!!!!!!!!!!
Anayefanya kazi kubwa ni kibaraka. Kwa nini asilipwe vizuri??????

Weweeeeeeeeee!!
 
Bwana KADA MPINZANI huyu Mbowe hana sera na kwa kuwa hilo gazeti la Tanzani daima ni mali yake basi amekuwa akiongea anavyotaka lakini nafikiri sasa wakati umefika kwa usalama wa taifa kufanya kazi yake.
 
Hata mimi naamini hivyo hivyo kwamba alikuwa na uraia, lakini hata kama hakuwa na uraia basi alikuwa na green card na green card/urai ndio vimemfanya akae USA bila matatizo hata baada ya kufutiwa visa kwenye diplomatic passport yake.

Mkuu wangu nilipojaribu kutafuta kwenye hili, majibu yalikuwa alikuwa na Green Card, lakini wakubwa hapa wakasema kuwa sio kweli na kwamba sijui sheria vizuri na ngebele nyingi sana, sasa ninaona baada ya vita vikali vya ideas, huu hapo juu bado unasimama kuwa ukweli na mimi ninauuunga mkono 100%, kuwa mkuu yaani marehemu alikuwa na ganda la kijani, siku moja kabla ya wakulu kwenda Butiama nilimbonyeza mkulu mmoja wa Zanzibar on this, ninakumbuka alivyokuwa akihema kuwa sio kweli na kwamba serikali yetu imewaambia kuwa Balali, anarudishwa,

Sasa huyu mkulu ni mmoja wa wakali wa ku-create policies zetu nationally, then you wonder taifa letu linakwenda wapi! ingawa at least tunajua lilikotoka!
 
Bwana KADA MPINZANI huyu Mbowe hana sera na kwa kuwa hilo gazeti la Tanzani daima ni mali yake basi amekuwa akiongea anavyotaka lakini nafikiri sasa wakati umefika kwa usalama wa taifa kufanya kazi yake.

Watu wanadhani maneno aliyosema mbowe ni ya raha au sijui mahaba ! lakini either way, huyu jamaa ni too much keshasema vya kusema na sasa ni wakati wa yeye kuhojiwa ! kama alikuwa hajui nini alichosema, why even say it ??
 
Matatizo ya Tanzania ni zaidi ya EPA. Kama tunataka kukomesha ufisadi ni lazima tupigana na unafiki wa aina zote kwenye siasa kuanzia hao majambazi wa CCM mpaka opportunists wa upinzani.

Kama ni kweli Mbowe alijua alikokuwa Ballali, na hakutuambia watanzania, hapa atakuwa mnafiki tu na yeye.

Kama ni suala la ndugu basi angekaa kimya mpaka mwisho na kumwachia makamu au Dr. Slaa kuwa msemaji kwenye hili suala la Dr. Ballali.

Mkuu kupambana na ufisadi unatakiwa uchukuliwe hatua kwa hatua. Tunatakiwa tutumie sheria zetu ktk kupambana na ufisadi. Kinachoonekana watawala wetu wamahamua kwa makusudi kuzima sheria walizohapa kuzilinda. Ukisema EPA ni kidogo, utasema Kiwira ni Kidogo, utasema IPTL ni kidogo, utasema Ndege ya raisi ni kidogo, utasema ATCL ni kidogo nk.

Mkuu hakuna ufisadi mdogo katika nchi ziliozoendelea hata wakati mwingine shs 1, 000 zinaweza kukuweka pabaya.
 
1.
Hakuna muuwaji wa Balali wala nini. Taarifa zisizo rasmi zinasema alikuwa ameukwaa Ukimwi na alikuwa anahangaika na maisha yake

2.
Hilo la ukimwi unao ushahidi kuwa alikuwa na ukimwi? Usiwaseme wenzako kuwa wanashadidia kumbe wewe ndiyo wa kwanza kushadidia na kueneza majungu.

Mkuu Wangu Jasusi,

Heshima mbele, unajua sasa nimeamua kuanza kupunguza unafiki hapa JF, maana umezidi sana, huyu mkuu asikudanganye na hili jina ni yule yukle mkuu ambaye nasikia huwa ankutwangia sana simu na kujifanya kukujua sana, na ninakupenyezea jina lake kwenye PM, hii ndio huwa tabia yake huyu!
 
Bwana KADA MPINZANI huyu Mbowe hana sera na kwa kuwa hilo gazeti la Tanzani daima ni mali yake basi amekuwa akiongea anavyotaka lakini nafikiri sasa wakati umefika kwa usalama wa taifa kufanya kazi yake.

Mbowe ni Mtanzania mmoja na kuongea kwa mbowe hakuna madhara yoyote kwa taifa la tanzania mkuu. anayefikiria mbowe ameongea vibaya anajua taratibu za kufuata. Kinachoongelewa ni Balali na EPA na ndiyo uliokuwa ujumbe wa mbowe.

Achana na kuchagua kitu kimoja tuangalie tatizo zima lililosababisha mpaka mbowe akatoa maneno mazito sana. Wakati mwingine ndio maana huwa nasema viongozi wengi wa CCM ni wazembe sana.

Ukiangalia mambo ya Balali ni Uzembe inaonyesha jinsi baadhi ya watu hawafai kuwa viongozi wa nchi changa kama tainzania. Hatuwezi na hatuitaweza kuendelea kutumia viongozi hawa.
 
si ndio maana nikasema ahojiwe huyo mbowe !!
 
si ndio maana nikasema ahojiwe huyo mbowe !!

Kwani yeye amekataa au unataka kuniakikishia kuwa tuna watu wazembe? Mbona hata Pale Bungeni walimsema Msataafu kuwa amechukua Kiwira bure hakuna aliyechukua hatua? Mbona Balali amejikata tanzania tukiwa tayari tunajua kila kitu na mabarua kibao yakiwa serikalini kuainisha ufisadi na hakuna aliye chukua hatua?

Kama anahojiwa tutaona kuwa sasa serikali inafanya kazi na inatakiwa sasa ikamate wale wa EPA, Mkapa vs Yona, itafute ukweli kuhusu balali na kuangalia walijua nini kabla hajakimilia USA basi na mengine mengi.
 
usitake kuchanganya madawa ! hayo ya kiwira na hili ni kitu kimoja!(LAKINI NI LAZIMA KWAMBA UFAHAMU NINACHOJARIBU KUSEMA HAPA SIO MAMBO YA KISIASA BALI NI MAMBO YA KITAIFA, KWA MANUFAA YAKO WEE NA YANGU MIMI PIA)....MFANO MZURI USHASEMA WEWE MWENYEWE HUO WA KIWIRA, SASA UTASHANGAA KAMA HAO WAZEE WALIOSHIRIKI WAKIULIWA ILI KUFICHA USHAHIDI WAKATI MBOWE ANAJUA NJIA INAYOTUMIWA KUULIA HAO MAFISADI ? HUONI KWAMBA KAMA MBOWE ATAHOJIWA, TUTAFANIKISHA MAMBO MENGI IKIWA NI PAMOJA NA KUWABANA MAFISADI ZAIDI NA ZAIDI ?? hao wa kiwira bado wapo hai right, sasa unaonaje kama mbowe akihojiwa ili ithibitike njia inayotumiwa kuuliwa hao viongozi ili mafisadi zaidi na zaidi wasiuliwe na mwishowe wahojiwe na hatimae kugundua ukweli !

kama atahojiwa unasema ndio utaona serikali inafanya kazi hapo nakuunga mkono maana we are for the same course, kutaka mbowe ahojiwe ili kuonyesha serikali inafanya kazi na hao mafisadi waliobaki watahojiwa na sio kusikia leo au kesho fisadi fulani aliyedaiwa kushiriki kwenye mgodi wa kiwira kafa ! sasa hapo tutalalamika tena kwamba tumepigwa changa la macho au ??

natumai utaelewa !
 
Mkuu Kada ninachokwambia kuna watu wazembe katika kutekeleza majukumu yao. Mimi ninatolea mfano jinsi uzembe ulivyo na kuonyesha mambo mbali mbali basi tu.
 
Hakuna muuwaji wa Balali wala nini. Taarifa zisizo rasmi zinasema alikuwa ameukwaa Ukimwi na alikuwa anahangaika na maisha yake. Nd sababu kubwa hata serkali haikuwa inahangaika kumleta nchini. Suala la UKIMWI na BOT bila shaka linaeleweka na issue hapa ni hizo hizo hela za EPA.
Mambo mengine ya kushadadia kuwa amelishwa SUMU, mbona hatukuambiwa mapema hilo suala! Watanzania tuwe makini sana la sibyo tunaweza kujikuta tunashabikia upuuzi tu bila sababu za misingi.

Haya Mkuu

Jitahidi tu kutuhabarisha. Mwisho wake utajihabarisha.
 
Back
Top Bottom