Mkuu achana na mbowe hakuwa na uwezo wa kurudisha Balali Bongo. Je yule anayepewa majina kila siku badala ya kuyashughulikia ANAyaangalia ukubwa wake na kutafuta waingereza wamsaidie alishindwa nini kumrudisha balali?
Bahati nzuri baadhi ya mafisadi wanapumua maana amewakingia kifua eti wapumzike. Sasa huyu ambaye alihamua kumnyamazia mara kafariki. Sisi hata afariki tunajua majibu yote anayo yeye kwa hiyo hakuna siku hata moja atatoa ripoti yenye kisingizio cha balali.
Pale palipo na balali inatakiwa ajiweke yeye mwenyewe basi tu. Kwa sababu mpaKA BALALI ANAPOTEA TULIKUWA NA MUDA WA KUTOSHA. Mimi ninachoona hapa balali kapaa tu. Sijui ameangukia pua au vipi hila wale wazee wa EPA, wakamatwe wote tu.
Umakini wa Mbowe kwenye siasa nautilia mashaka. Anachanganya mambo yake ya familia na CHADEMA, hilo ni kosa kubwa.
Kama hili alijua Ballali yuko wapi, lakini akaamua kukaa kimya wakati wanasiasa
wenzake wa upinzani wangependa kujua Ballali yuko wapi ili kumuumbua.
Kwenye kifo kawa wa kwanza kuambiwa na kawa wa kwanza kusema anaamini kweli kafa. Sasa anaanza kusema serikali imemuua, hapo naona anatudanganya Watanzania.