Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania



Ah wamekosa kazi? uanthibitishaje kuwa wamekosa kazi wakati wamekupa story? Najua haifurahishi masikio! Lakini ndiyo kazi yenyewe.

Yeah, naona kazi ya kuelimisha jamii wanaifanya vizuri....yaani kuelimisha jamii juu ya ushirikina. Tupo mbali sana na maendeleo.
 
Hakuna haja ya kushituka kwani RA anasababu kubwa ya kuakikisha balali anakufa, mkumbuke kuwa kagoda company mpaka leo RA anaikataa kuwa haijui wakati dalili zinaonyesha kuwainamuhusu.
 
Ikulu haijawakasirikia mafisadi wa mabilioni ya shilingi ambao bado wanapeta mtaani na mapesa ya wizi na wengine kwenda majimboni kwao kujitapa kwamba wao ni wasafi!...Kama Ikulu mnajua kukasirika basi fanyeni hivyo pale inapohusu maslahi ya Watanzania!!!! Wakasirikieni mafisadi na kuanza kuwashughulikia inavyostahili vinginevyo acheni unafiki.

Ikulu yaja juu
Shadrack Sagati
Daily News; Tuesday,May 27, 2008 @19:01

Ikulu imekasirishwa na habari zinazoripotiwa kwenye vyombo vya habari juu ya kifo cha aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT) Daudi Ballali na kuziita taarifa hizo kuwa ni upuuzi mtupu.

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Salva Rweyemamu alitumia mkutano wa leo na waandishi wa habari kuvishutumu vyombo vya habari kuwa vimegeuza msiba wa Dk. Ballali kuwa wa siasa.

Alitoa kauli hiyo baada ya kuulizwa maswali na waandishi wa habari ambao walitaka kujua sababu ya serikali kufanya siri taarifa za mahali alipokuwa amelazwa Dk. Ballali na minong'ono kuwa huenda hajafa. "Jamani naomba tuheshimu taarifa ya familia, imesema mzee wao amefariki dunia na amezikwa.

Tuwape fursa waomboleze na tuheshimu taarifa hii," alisema Rweyemamu. Alifafanua kuwa tangu mwaka jana, Dk. Ballali alikuwa mgonjwa na aliwahi kufanyiwa upasuaji mdogo na baadaye akaenda kutibiwa Marekani. "Hiki mnachodai utata ni nyinyi vyombo vya habari ndiyo mnao mislead (potosha) watu," alisisitiza.

Alisema Dk. Ballali amefariki dunia kweli na serikali iliwakilishwa na Balozi wa Tanzania Marekani, Ombeni Simfue pamoja na marafiki na baadhi ya watu ambao aliwahi kufanya nao kazi katika Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF).

Alipoulizwa sababu ya kufanya siri ugonjwa wake, Rweyemamu alijibu, "Hatukuwahi kufanya siri, alipoenda kutibiwa tulitangaza na alipovuliwa madaraka pia tulitangaza, sasa siri gani tuliificha?"

Alisema vyombo vya habari vimekuwa vinavuka mipaka katika kuripoti habari za kifo cha Ballali kwa kujifanya ni mawakili wa Watanzania katika kufuatilia suala hilo. "Wewe ndiye wakili wa Watanzania wote…hayo ni yenu tu mnaandika na mimi sina tatizo andikeni si ndiyo kazi yenu, lakini tuheshimu taaluma katika kuandika suala hili," alisema mkurugenzi huyo.

Alisisitiza kuwa taarifa nyingi za ugonjwa na msiba zilitakiwa zitangazwe na familia na siyo kuishutumu Serikali. Aliwataka waandishi wa habari kuanza kuripoti mambo ya msingi kama ya afya, elimu badala ya kung'ang'ania msiba huo ambao alidai unaripotiwa kwa upotoshaji mkubwa.

Kuhusu sehemu ya matibabu kulipiwa na BoT, lakini bado serikali ikatangaza kuwa haijui mahali aliko, mkurugenzi huyo alijibu, "Hilo muulizeni Profesa Ndulu (Benno, mkurugenzi wa BoT)."

Alipoulizwa kama baada ya uteuzi wa Dk Ballali kutenguliwa na Rais Kikwete, aliwahi kupelekewa barua ya kufukuzwa kazi na kama aliwahi kukabidhi ofisi kwa gavana mpya, mkurugenzi huyo alijibu, "Hilo muulize gavana wa sasa yeye atakwambia taratibu zao za kazi." Lakini alikiri kuwa Benki Kuu ilisaidia katika msiba wa Dk Ballali kwa kutoa chakula, ubani, viti, vinywaji na mahema.

Kwa upande wa sababu ya kuweka ulinzi nyumbani kwa mama yake huko Boko, Rweyemamu alisema hilo ni suala la familia na serikali haihusiki na msiba huo. Alisema familia iliweka ulinzi huo tangu kipindi ambacho baadhi ya watu walijaribu kuvamia shamba la Dk Ballali na kutangaza kugawana.

"Mimi nadhani mngekuwa watu makini mngeenda kuuliza wale walinzi nani anawalipa kwa kuwapo hapo!" Rweyemamu ni ofisa wa pili wa serikali kutoa tamko tangu kufariki dunia kwa Dk Ballali kuhusiana na tuhuma zinazoendelea kuwa huenda ameuawa na serikali na wengine kudai kuwa hajafa ila serikali imeamua kumficha.

Jumapili, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe alikanusha madai ya serikali kuhusika na kifo cha Dk Ballali na kuwataka wenye uthibitisho wa kitabibu wajitokeze.

Pia alisema atajiuzulu iwapo ushahidi huo utathibitisha kuhusika kwa serikali katika kifo hicho. Tangu kufariki dunia kwa Dk Ballali na habari zake kuripotiwa nchini, wananchi wengi wamekuwa wanahoji maswali mengi yakiwamo sababu ya kutozikwa nchini na jinsi suala la ugonjwa wake lilivyofanywa siri.
 
kuna lipi jipya katika hii thread zaidi ya ikulu kukasirishwa ? and what i know is, kukasirishwa is not a big deal ! case closed !
 
Serikali ikiwa mmiliki wa BoT iliruhusu BoT imlipie matibabu Ballali akiwa US, lakini wakati huo huo siri kali ilikuwa haijui Ballali yuko wapi!!!!! Usanii wenu tumeuchoka!!!

Kuhusu sehemu ya matibabu kulipiwa na BoT, lakini bado serikali ikatangaza kuwa haijui mahali aliko, mkurugenzi huyo alijibu, "Hilo muulizeni Profesa Ndulu (Benno, mkurugenzi wa BoT)."
 
Wengi tulisema humu kuwa bdo waandishi wa habari wengi wao aidha bado ni waoga.......hawakuweza kum grill Salva.....Topic ilkuwa ni Billali wakashindwa kuunganisha pale na Mkapa...Chenge....I wish Js Mushi.GT,MWK.MKJJ au Field Marshal wangekuwa pale
 
Kama hataki watu wazungumzie BALALI basi tutahamisha goal posts to ID CARDS akigoma then tutaomba expenses za ziara ya Bush akigoma tutamuuliza ile manowari ya Kiamerika inafanya nini kule Pemba na Mafia?



hibyeya6.gif


inawezekana akawa nayo majibu ya hayo
 
1.
"Jamani naomba tuheshimu taarifa ya familia, imesema mzee wao amefariki dunia na amezikwa. Tuwape fursa waomboleze na tuheshimu taarifa hii," alisema Rweyemamu. Alifafanua kuwa tangu mwaka jana, Dk. Ballali alikuwa mgonjwa na aliwahi kufanyiwa upasuaji mdogo na baadaye akaenda kutibiwa Marekani.

Hivi kuna Mtanzania yoyote ambaye hajui kuwa baba wa taifa letu, alikuwa akitibiwa na kuishia kufariki akiwa katika Hospitali ya Mtakatifu Thomas, kule London? Kama tunajua habari zote kuhusu kutangulia kwenye haki kwa baba wa taifa hili, leo iweje tusijue Gavana wa Benki yetu kuu ya taifa alikuwa akiugulizwa wapi na alipozirai alipelekwa Hospitali ipi hiyo ambayo hatuwezi kuambiwa jina lake?

Akaenda kutibiwa Mrekani, wapi huko Marekani ni kubwa ina states 50, na Hospitali gani hiyo isiyokuwa na jina?



3.
"Hiki mnachodai utata ni nyinyi vyombo vya habari ndiyo mnao mislead (potosha) watu," alisisitiza.

Nonesense, hata mkuu wa Mafia alipofariki kule US, ilisemwa wazi amefia mahali alipofia na jina la Hospitali, sasa huu usiri wa Hospitali aliyofia Gavana, ni nini hasa kisa na mkasa? Mbona Ditopile alipokufa tuliambiwa alifia na hata kilichomuua? Mbona tumeona picha za rais akienda kuwapa pole wafiwa, sasa hiki kifo vipi mbona hatuoni kitu? Rais hakwenda kuwapa pole wafiwa kule Boko? Sasa anayetu-mislead wananchi ni nani waandishi au serikali isiyoelewa maana ya positive PR na negative PR? Hata kabla ishu haijaisha au kukaa vyema na taifa rais anakimbilia Japan?

Mkuu wangu Ngurumo, unakumbuka alipochaguliwa huyu Rweyemamu, huko Ikulu nilisema huyu naye ni kilaza kama wengine ukasema ni kichwa?

4
. Alisema Dk. Ballali amefariki dunia kweli na serikali iliwakilishwa na Balozi wa Tanzania Marekani, Ombeni Simfue pamoja na marafiki na baadhi ya watu ambao aliwahi kufanya nao kazi katika Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF).

Naomba mtu mmoja amuulize tena kama Balozi Sefue, aliuona mwili wa marehemu kwenye jeneza? Na kama jeneza lilifunguliwa wakati wowote wa maombolezo kule kanisani!

5.
Kwa upande wa sababu ya kuweka ulinzi nyumbani kwa mama yake huko Boko, Rweyemamu alisema hilo ni suala la familia na serikali haihusiki na msiba huo.

Yaani more nonesense, mwandishi wa rais wa jamhuri ya muungano, amejuaje kuwa kuwa nyumbani kwa Gavana huko Boko kuna walinzi waliowekwa na familia ya marehemu?

Hivi hawa mtandao ni lini wataamka usingizini na kuazna kutawala, badala ya kuendelea na kampeni tu za urais ambao ulishaisha? Jamani hebu mtu mmoja awaambie hawa mtandao kuwa sasa wao ni watawala sio kampeni tuuu!
 
kuna wakati mambo mengine inabidi yawe siri !na si kwamba yameanzia kwetu ni kila sehemu hebu angalia hapa
(Health secret:Some presidents have gone to great lengths to hide their physical and mental illnesses. Is that kind of deception necessary-or even possible today?http://www.newsweek.com
 
Nimeikuta hii Tanzanet. Mimi swali langu ni lile lile, je Ballali alikuwa anaumwa nini? Alilazwa hospitali gani? Hata kama ndugu hawataki kueleza alikuwa anaumwa nini, basi watuambie alilazwa hospitali gani, bila hiyo info ni ngumu sana kuamini Ballali amekufa. Someni mapambano ya fikra hapa chini:

From: George Kakoti
To: list@tanzanet.org
Sent: Tuesday, May 27, 2008 11:27 PM
Subject: Re: [tanzanet] Wazee wakihehe kulipa kisasi kifo cha Ballali(MAJIRA)


Mr. Guy,
Please read my previous mail carefully-nowhere have I pronounced guilt on Dr. Ballali's part, so I don't know where you are going with this "character assassination" business. Besides, as a matter of law, a deceased person has no character or reputation to defame or protect. Only a living person has a reputation that is capable of being defamed or character capable of being assassinated.

What I did initially was merely point out the obvious, using logical reasoning, as simply put by Mzee Kalala. One does not have to be a lawyer to appreciate that argument. I leave you in charge of my money which you place in a safe and keep the only key to the safe. I come back from my safari, get the key, open the safe and I find the money missing. Unless you can provide an adequate explanation, only two conclusions can be drawn: 1-you have taken the money or 2-you have allowed the money to be stolen. In any event, at the very least you have a case to answer. This is valid reasoning. In this case, no explanation was offered.

I am amused that I remind you of some overzealous hack in MS, but that has nothing to do with anything. I repeat: simply being a fugitive, (or as one might charitably put it, being "away" from the reach of the law) or even submitting oneself to officers of the law for interrogation, and subsequently being arrested and prosecuted before a court of law does NOT necessarily establish guilt. It does NOT mean one will be convicted. All these steps, though sequential, are separate and independent. And, having been trained in the law in English common law jurisdictions on three different continents, I am a tad bit familiar with the presumption of innocence. I'm merely observing that on the face of the record, such as it is (we obviously do not have all the pertinent information) Dr. Ballali had a pretty sizeable case to answer. Maybe he was covering up for someone, and some have pointed at the timing of Mzee Mkapa's decision to deny allegations against him, lots of maybe's. In any event, when was the last time anyone other than a primary court magistrate was convicted of embezzlement or corruption in Tanzania, anyway? In Tanzania, sad to say, the law fears the rich and powerful-one's "innocence" is dependent on the size of one's wallet.

One thing I should mention, however about a prosecuting attorney. You normally SHOULD be convinced about the guilt of a suspect before charging him with a crime. Prosecuting someone about whose guilt even you doubt amounts to abuse of legal process. So, yeah, if I were prosecuting you I would necessarily believe in your guilt, and I would be unwavering in my determination to secure a conviction. Whether a prosecutor manages to persuade the court by the evidence (which does NOT have to be overwhelming) to find the defendant guilty is, of course, a different matter. Law deals with people, who are complex and not inanimate objects, and is therefore less precise than say, Physics, which is why there are appellate courts, in case the previous one got it wrong.

I'm baffled though, by your throwing in the issue of previous scandals prior to Dr. Ballali's tenure at BoT. What does that have to do with anything? I would make an assumption (I'm flying blind here) that he was appointed to the position, and he accepted it under the expectation that he would end, not continue previous mismanagement, no?

You do realize, of course, that what we are doing here is discussing what you wished for us not to discuss, don't you? This is partly because there are a lot of loose ends, things we are unclear about. Anyway, as I pointed out before, it is OK for you to see things one way, and for me to see them differently. It is not necessary that we convince one another. I have rested my case, so to speak; we know where we each stand on this and there is no point in continuing this back and forth with you.

Kakoti


From: Lewis Guy
To: list@tanzanet.org
Sent: Tuesday, May 27, 2008 5:57 PM
Subject: Re: [tanzanet] Wazee wakihehe kulipa kisasi kifo cha Ballali(MAJIRA)





Dr. Kakoti,

With all due respect to you as a lawyer I beg to differ on your
opinion regarding Dr. Ballali. I am deeply troubled that you have
turned "allegations", "half-truths", "innuendos", and "character
assassination" as statement of facts in your justification of
referring Dr. Ballali as a "fugitive". Frankly, you have reminded me
of one nasty District Attorney in the State of Mississippi who put
a lot of innocent people in jail for crimes that they never committed.
This guy was over zealous in pursuing a case that truth never mattered
to him. All that he cared was winning as many cases as possible even
when it meant altering or destroying the evidence. Correct me if I am
wrong: Isn't it the case that one can only be found guilty when there's
an overwhelming evidence, corroborating evidence and proof that lies
beyond any reasonable doubt ? Isn't it the case that when jurors or
attorneys have already formed an opinion regarding any case they are
excluded, because their participation may be unfair to the plaintiff or
the defendant ? Reading between lines, I got a picture from your e-mail
that you have the proof of Dr. Ballali's involvement, you have already
tried him and you have found him guilty. Wow ! I would have hated it
if you were a member of a jury or the prosecuting attorney in my case.

It is interesting you noted that most of the alleged billions disappeared
during Dr. Ballali's watch. What is more interesting is the fact that,
Dr. Ballali accepted a position in a government institution that was
entrenched in corruption, financial irregularities and scandals - like the
mysterious fire that destroyed the original BOT offices. Someone other
than him has been wearing even a bigger watch - and he's scot free.
Where were all the sleuths when we needed them to investigate the
man wearing the bigger watch and his bunch of crooks ?

Finally, in all high profile cases such as this one, there has to be a fall
guy. Ernest & Young are paid servants of their master. They will present
a report that will clear the bad guys and point a finger to one and only
person who may not be able to defend himself because he is six foot
under. Those who perpetrated this crime are laughing their way to the
bank and they cannot thank enough their gods at the demise of Dr. Ballali.
And here at Tanzanet, we have been reduced to nothing but "Wapiga
Kelele".



Lewis Guy

Washington, D.C.

----- Original Message -----
From: Emmanuel Muganda
To: list@tanzanet.org
Sent: Tuesday, May 27, 2008 3:40 PM
Subject: Re: [tanzanet] Wazee wakihehe kulipa kisasi kifo cha Ballali(MAJIRA)


Wakili Kakoti,
Those who say they have no idea what is happening concerning the death of Daudi are not his blood relatives.
We made sure all his blood relatives were on board. Rejea tena kichwa cha topic: Wazee wa Kihehe. These are necessarily not his blood relatives. They may be former neighbours, friends, etc.etc.
I realize Daudi was a public figure but he was also a very private individual. His passing away in such circumstances where one would read in the Tanzania papers: "Makachero watumwa kumtafuta Balali" would make one shiver, if one was related to him. We had to be circumspect. Daudi resigned for health reasons, yet he was publicly fired and then the government goes on a propaganda spree---hatujui Balali aliko. Balali kakimbilia Malta.
In such circumstances what would you have done if he was your relative? Tuliogopa hata kuzungumza kwenye simu!
If you can get ir read Raiamwema ya Jan 2, 2008.
Na kama Daudi aliziiba hela zote hizo mbona sasa serikali inasema zimeanza kurudishwa il hali hawataji ni nani wanaozirudisha? Kwa nini waziri wa fedha alijiuzulu? Kwa nini Mkapa ameanza kutanua baada ya kifo cha Balali? Si huyu alikuwa Bubu? There are so many questions. But as one of us said as we buried Daudi, "you cannot rewrite history, and believe me, one day we all will know the truth.
em
PS Nataka kutoa shukrani zangu kwa wote ndugu zangu wa Tanzanet mliotuma salamu za rambirambi. Wale mlionipigia simu na messages, na kuandika hapa vile vile. Asanteni sana na Mungu atubariki sote.


On Mon, May 26, 2008 at 8:47 PM, George Kakoti <gkakoti@gmail.com> wrote:

Mr. Guy,
I'm sorry that you are unhappy with my characterization of Dr. Ballali. Feel free to adopt your own-I'm quite happy with mine. It is always difficult to deal with negative portrayal of someone close to us directly or by proxy. However, that does not alter the facts: a lot of money, 133 billion from EPA, and 180 billion re Tangold/Buhemba mine to be exact, disappeared on Dr. Ballali's watch. There are two possible explanations: He is so inept and incompetent that all that money disappeared without his knowledge or involvement, (something that anyone who knows anything about Dr. Ballali's expertise and experience would have a hard time buying), or that he knew and colluded, or turned the other cheek to not one, but a series of criminal acts. Which one would the objective viewer be drawn to?

Mzee Kalala-whom I for one consider to be objective, put it this way (on Feb 4):
.........Pe(s)a zangu zilizo chini ya ulinzi wako, zikigundulika zimepotea, kuna mawili, umezipoteza wewe au umeziiba. Ripoti ya wizi kama hukuitoa wewe, basi wewe ndio unakuwa mtuhumiwa wa kwanza. Unashughulikiwa kwanza kwa kukamatwa, unawekwa ndani na kutoka tu kwa dhamana, inayokubalika. Kabla au mara baada ya kurudi kazini utokapo huko ndani, unasimamishwa kazi kusubiri uchunguzi/upelelezi. Huu ndio utaratibu kama ninavyoujua mimi.

Now, the term "fugitive" is a rather wide definition, which includes someone who leaves (and remains out of) the reach of arrest or prosecution. One does not have to be indicted or arrested to become a fugitive. Moreover, arrest and prosecution do not automatically equate to guilt or conviction, hence your allusion to the presumption of innocence is not relevant here. Dr. Ballali is merely a person who was most directly connected to the swindle, without whom the money would never have left BoT coffers, at least according to the CAG. He is the person who would normally be the first to be interrogated by the Mwanyika team. But the Mwanyika team has never gotten to speak to him, the person who was summarily relieved of his job by the President without waiting for the results of any investigation, pretty strong for a President who almost never holds anyone accountable. Why, you ask, has the Mwanyika team not spoken to this guy? Because it so happens that this presidential appointee is out of the country, and his employers, who apparently granted him medical leave, state that they have no idea where he is. This smells like one unpopular rodent, to say the least. It fits my description of a fugitive, although it appears not to fit yours. That's OK; reasonable people can, and do disagree from time to time.

Now, about the other issues. Some of Dr. Ballali's extended relatives may wish not to notify us about their relative's passing; it is rather unusual, but it is their privilege. However, Dr. Ballali's direct (blood) relatives say they have no idea what is happening, and THEY are asking questions about his death. They are not asking us to shush while they, the actual ones bereaved, are mourning. Don't you find that intriguing? Some have put various unflattering labels on any commentary! Since when do we have a cooling-off period for matters that are in the public interest? When Nixon died, the Watergate scandal was rehashed-there was no cooling off period. Ditto when Nyerere died; people lamented his passing, extolled his accomplishments, AND discussed his failings. With the greatest respect to you, I submit that any alleged "respect" by silence is misguided. Besides, some "relatives" are busy defending Ballali on other forums. Are Dr. Ballali's blood relatives so low on the respect totem pole that THEY don't deserve the respect of being informed about the facts surrounding the demise of their beloved brother? Anyway, I reserve my right to differ from your "unofficial agreement" just as you maintain your right to abide by it.

Kakoti

On Mon, May 26, 2008 at 5:14 PM, Lewis Guy <guylui@hotmail.com> wrote:





George,

I am not an attorney nor have I worked in a Law office; but
I can tell you straight up that your characterization of Dr. Ballali
as a "fugitive" may be inaccurate or misleading. Dr. Ballali never
ran away from justice. He was on a medical leave - a fact that
is known by executives at BOT and at President's office.

Dr. Ballali was a respected executive with the IMF/World Bank until
the then President Benjamin Mkapa recalled him home to take over
the responsibilities as the Governor of BOT. What happened at Bot
is still under investigation - and we all know that there are several
versions that have been thrown to the public to test their reaction.

Though the government maintain that they did not know the
whereabouts of Dr. Ballali, many citizens have accepted that version
with a pinch of salt. When President Jakaya Kikwete terminated the
employment of Dr. Ballali earlier this year, he did not accuse him of
theft or any wrongdoing. Infact, no Tanzania court has summoned
Dr. Ballali to appear in court. Shouldn't someone be assumed to be
innocent until proven guilty?

Lastly, nobody has mentioned that this discussion should be a taboo.
I think; out of respect for our fellow Tanzanet member EM, whose
sister is a wife of the deceased, we unofficially agreed that we should
give the topic a break until the right moment arrive. EM himself has
written that he'd give some some explanation at a later date. What
else could we ask for ?

Lewis Guy

Washington, D.C.
USA.



Date: Mon, 26 May 2008 16:20:19 -0500
From: gkakoti@gmail.com



Guys, this thing is not going to blow over soon, despite the clamor on tanzanet for people to shut up and let it go. A fugitive passes away in rather mysterious circumstances, and suddenly the topic of his death is taboo? Why this self censorship? We all rightly lament the passing of our fellow traveler on this planet. However, when one becomes a public figure intentionally or not, one loses a big chunk of one's right to privacy; that is the inescapable price. When any public figure acquires notoriety, when he leaves and remains out of the country under a cloud, when he is a suspect or "person of interest" in an ongoing criminal investigation that reaches the highest echelons of government, when the government improbably claims to have no idea about his whereabouts, and his funeral activities are shrouded in secrecy in a foreign country, it is only natural for the public to wish for clarity about his reported death, especially when his former employers (Ikulu and BoT) along with some of his family members are dancing around the issue, allowing speculation to rise. His own family members in Tanzania, including his brother, are running around in a confused daze. They are wondering why, contrary to established Tanzanian practice, the mortal remains of Dr Ballali are not being returned for burial beside his ancestors. In these circumstances, questions are not only inevitable, they are proper.

There is nothing inappropriate about this sentiment, and no disrespect is conveyed by efforts at clarification. There is no reason to stop asking questions, particulalry where the deceased's own relatives are doing the same. Infact, contrary to established practice in our extended Tanzanet family, the inlaw of Dr. Ballali never made any announcement in here of his passing. We only came to learn about this through third parties. In such a situation, it is actually a good time, while celebrating someone's life, to point out where we think he, being mortal, faltered, and to somberly ask questions about any lingering issues. While a funeral may be private, the question of the death itself of a public figure is not. This matter could have easily been put to rest by government leaders or family members in the know being forthright and providing as much information as possible about the demise of Dr. Ballali. Their silence and passing along the buck has only served to perpetuate the culture of high-handed disregard and non-responsiveness which characterized Mkapa's government, and which the present one seems to have inherited. Undoubtedly, some might also wish for this sad event to provide cover for them and to bring the investigations of the BOT scandals to an end. Me hopes not! My two cents!

Kakoti
 
Hivi ndugu zake Ballali wana haki gani kumlaumu Mkapa kwa kukaa kimya bila kujibu tuhuma muda wote mpaka sasa, wakati hata Ballali mwenyewe amekaa kimya bila kusema kitu mpaka amekufa (ametoroka) ndio ndugu zake wanakuja na utetezi kibao?

Ya Mkapa na Ballali mimi naona kama yanafanana sana. Ni waarabu wa Pemba hao, walijuana vizuri, wakagawana mapesa yetu.
 
1.

Hivi kuna Mtanzania yoyote ambaye hajui kuwa baba wa taifa letu, alikuwa akitibiwa na kuishia kufariki akiwa katika Hospitali ya Mtakatifu Thomas, kule London? Kama tunajua habari zote kuhusu kutangulia kwenye haki kwa baba wa taifa hili, leo iweje tusijue Gavana wa Benki yetu kuu ya taifa alikuwa akiugulizwa wapi na alipozirai alipelekwa Hospitali ipi hiyo ambayo hatuwezi kuambiwa jina lake?

Akaenda kutibiwa Mrekani, wapi huko Marekani ni kubwa ina states 50, na Hospitali gani hiyo isiyokuwa na jina?



3.

Nonesense, hata mkuu wa Mafia alipofariki kule US, ilisemwa wazi amefia mahali alipofia na jina la Hospitali, sasa huu usiri wa Hospitali aliyofia Gavana, ni nini hasa kisa na mkasa? Mbona Ditopile alipokufa tuliambiwa alifia na hata kilichomuua? Mbona tumeona picha za rais akienda kuwapa pole wafiwa, sasa hiki kifo vipi mbona hatuoni kitu? Rais hakwenda kuwapa pole wafiwa kule Boko? Sasa anayetu-mislead wananchi ni nani waandishi au serikali isiyoelewa maana ya positive PR na negative PR? Hata kabla ishu haijaisha au kukaa vyema na taifa rais anakimbilia Japan?

Mkuu wangu Ngurumo, unakumbuka alipochaguliwa huyu Rweyemamu, huko Ikulu nilisema huyu naye ni kilaza kama wengine ukasema ni kichwa?

4

Naomba mtu mmoja amuulize tena kama Balozi Sefue, aliuona mwili wa marehemu kwenye jeneza? Na kama jeneza lilifunguliwa wakati wowote wa maombolezo kule kanisani!

5.

Yaani more nonesense, mwandishi wa rais wa jamhuri ya muungano, amejuaje kuwa kuwa nyumbani kwa Gavana huko Boko kuna walinzi waliowekwa na familia ya marehemu?

Hivi hawa mtandao ni lini wataamka usingizini na kuazna kutawala, badala ya kuendelea na kampeni tu za urais ambao ulishaisha? Jamani hebu mtu mmoja awaambie hawa mtandao kuwa sasa wao ni watawala sio kampeni tuuu!

Mkuu FMES,

Yaani maandishi yako hapo juu ninayhaunga mkono kwa asilimia 100.

Maswali rahisi mno lakini majibu hakuna, WHY?

Mimi jibu ninalopata ni moja tu, hawataki kusema hospitali kwasababu Ballali hakuwa hospitalini. Ingelikuwa TZ labda tungesema alikuwa Bagamoyo, kwa USA je?
 
Mimi sasa nipo upande wa CCM ,sababu hizi longolongo wanazotupakia VU (Vyama vya Upinzani) havina mwisho wenye kuleta matumaini kwa kila Mtanzania .Ukitazama CCM wametulia na wamejipanga wanaemuona mzigo wanamwambia arudi nyuma na kama alikuwa luteni anambiwa ajiuzulu abakie koplo.
Wapinzani wanaibua kila kitu wanachoona kiwaweza kuwasaidia mbele ya kuwavutia wananchi na pia kila wanachohisi kitawafanya wananchi waikatae CCM ,lakini wapinzani wakiwa wameshika kasi na kulipuwa wanayoyaita mabomu hawajaona kuwa hakuna matunda yeyote yanayopatikana hali ni ileile.
Nikionacho mbele ni kuwa haya mabomu mwisho yatawapasukia mikononi na yatawadhuru wenyewe. CCM wametoa uhuru wa kusema utakavyo wakijua kuwa faida inayopatikana itawasaidia wao kusonga mbele na kuwa na timu kabambe.
Ili mabomu haya yawe na faida kwa wanaoyalipua ni lazima kama kufa kwanza waelekeze nguvu zao katika kudai katiba mpya na hakuna jingine litakalowasaidia.Tusidanganyane mchana kweupe.


Sasa unamtangazia nani hizo stress zako mkuu? Kikwazo cha taifa letu tukufu kupiga hatua ni watu kama wewe
 
Hivi ndugu zake Ballali wana haki gani kumlaumu Mkapa kwa kukaa kimya bila kujibu tuhuma muda wote mpaka sasa, wakati hata Ballali mwenyewe amekaa kimya bila kusema kitu mpaka amekufa (ametoroka) ndio ndugu zake wanakuja na utetezi kibao?

Ya Mkapa na Ballali mimi naona kama yanafanana sana. Ni waarabu wa Pemba hao, walijuana vizuri, wakagawana mapesa yetu.


Tena hawa wanachekesha na kuudhi sana at the same time. Ningewaona wa maana sana waendelee kujikalia zao kimya kama walivyofanya kabla ndugu yao hajafa. Eti wanamshangaa Mkapa kuongea baada ya Balali kufa lakini wao hawajishangai kuongea baada ya ndugu yao kufa-ama kweli nyani haoni kundule! Eti wataweka ukweli wote nje-ukweli upi kama hata ukweli wa kifo cha ndugu yao wameshindwa kukiweka wazi? Yaani walishidwa hata kutuonyesha mwili wa marehemu tuage, leo hawa ndio wanasema eti wanaweza kutupa ukweli kuhusu majambazi walioiba fedha pale BoT? Yaani Anna Muganda na wenzake wanafikiri sisi watanzania ni wajinga kiasi hicho? Hapana bwana, pamoja na muluilui yote ya CCM,bado tunazo, hapa wamenoa.

Ni hivi, pamoja na kwamba ni kawaida kumhurumia marehemu, tumejitahidi sana lakini tumeshindwa kabisa kumhurumia Balali katika hili. Yeya tutaendelea kumkumbuka kama mtu aliyetuibia mahela yetu au aliyewapa funguo majambazi wakatuibia. Ndugu zake waseme, walie, hatuwezi kuwapa sympathy katika hili. Wanachotakiwa kufanya ni kukaa kimya waendelea kutwanga hela ambazo ndugu yao kawaachia huko US sisi watuache tuendelee kuhangaika na mafisadi wetu ambao bado wapo hai. This is the least they can do.

Kuendelea kutupumbaza kwamba ukweli utajulikana ni kuendelea kututusi. Madamu Balali amekufa bila ukweli kuwekwa wazi kamwe hatutakuja kujua ukweli wa mambo. Huu ndio ukweli wenyewe.
 
Kama mwenyekiti wa chama ndio anaongea irresponsibly hivi basi naweza kupata picha vikao vya chama hiki vinavyokuwa.

Chama hiki kwa karne hii hakiwezi kuongoza nchi, ila mchango wao katika kutafuta na kuziweka hadharani habari za ufisadi na mafisadi unahitajika.

Unaposema anaongea irresponsibly una maana gani?

Na pia unaposema kwa karne hii Chama hiki hakiwezi ongoza nchi pia una maana gani? Ama umeridhishwa na jinsi ambavyo tunaongozwa na Serikali ya Kifisadi ya Awamu ya Nne?
 
Dalili za mafisadi kuanza kutafuta sympathy kwa kifo zilianzia kwa Chenge mwenyewe pale kulipokuwa na rumours kuwa yuko ahera...Sasa sijui kwanini hawakujifunza pale walipoona wananchi wakidiriki kusema akachukuliwe kutoka ahera!
 
Kitila,
Aliyesema ukweli utajulikana ni mimi. Hayo ni maoni yangu binafsi. Msinijumlishe kwenye kundi eti ndugu zake Balali wameanza kusema. Hawajasema kitu. Anna hajasema kitu.
Kama ni madongo nirushieni mimi mwana JF I can take it. But leave the rest of them alone. This applies to you too Mtanzania.
 
Kitila,
Aliyesema ukweli utajulikana ni mimi. Hayo ni maoni yangu binafsi. Msinijumlishe kwenye kundi eti ndugu zake Balali wameanza kusema. Hawajasema kitu. Anna hajasema kitu.
Kama ni madongo nirushieni mimi mwana JF I can take it. But leave the rest of them alone. This applies to you too Mtanzania.

Jasusi,

Mimi niko nawe kwenye hili na ninaamini kuwa yanayokuja ni makubwa na yatakuja haraka kuliko inavyodhaniwa.
 
Kitila,
Aliyesema ukweli utajulikana ni mimi. Hayo ni maoni yangu binafsi. Msinijumlishe kwenye kundi eti ndugu zake Balali wameanza kusema. Hawajasema kitu. Anna hajasema kitu.
Kama ni madongo nirushieni mimi mwana JF I can take it. But leave the rest of them alone. This applies to you too Mtanzania.

Kwi kwi kwi!!! mbona tumesikia dada zake wakisema? Mimi nafikiri Jasusi ni mwanaume kwahiyo huwezi kuwa mmoja wa dada zake Balali.

Naweza kukutafutia statements kibao za ndugu zake Ballali. Kwa Anna Muganda atasema nini wakati na yeye yumo kwenye list ya mafisadi?
 
Back
Top Bottom