Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

Mazee...you don't wanna go there now....

Mzee Nyani,

We kama senior expert member sitegemei uwe hivi. Watu wanapewaje u-senior expert member humu? Kwa mimi mgeni nilitarajia kuwa ma-senior expert members wangenisaidia kunieleza mazuri ya Jamii forum, lakini sizani kama wewe waweza fanya ivo. Kuna haja ya ku-rethink namna ya ku-appoint senior members. Invisible, tafadhali saidia kwenye hili.
 
Threadi is dead long time back. What we see everyday is the same news recycled over and over again to keep the Dead thread alive!

This is what happens when people run out of conspiracy theories!
 
Threadi is dead long time back. What we see everyday is the same news recycled over and over again to keep the Dead thread alive!

This is what happens when people run out of conspiracy theories!

like the one you've just put outta here!
 
Threadi is dead long time back. What we see everyday is the same news recycled over and over again to keep the Dead thread alive!

This is what happens when people run out of conspiracy theories!

am loving this kind of shyt bro ! acha spin ziendelee humu !
 
Heaaa masela kaukeni basi watu wazima nyie watoto wenu wanakaa pembeni wakikuangalia ukibonyeza bonyeza keybord kumbe unatoa pumba wakati watu wako makini hapa.Kuweni
 
1
. Kitila, FMES, Mwanakijiji, naona mna endorse matusi ya Jasusi kwa JMushi.
Nashangazwa tu na double-standard za makomredi wangu hapa.

Mkuu Kuhani na wengine wote,

Heshima mbele, ninaomba tena kuwa tuwe waangalifu kabla ya kurusha majina ya members wengine, especially tunapokuwa hatuna uhakika na tunachokisema, mimi leo sijapata nafasi ya kuingia hapa, mara ya mwisho nimeingia ilikuwa ni kwa haraka sana na asubuhi sana, kwa hiyo maneno ya Jasusi wala ya Mushi, sikuyaona ndio kwanza nimeyaona sasa, sasa how do you conclude na jina langu kuwa nimeruhusu matusi?

2.
Lakini tukianza ku endorse matusi ya Jasusi hapa, hiki kitakuwa kijiwe kweli hapa. Kama ndo mnaruhusu matusi semeni. Msione tunavumilia tukitukanwa, tutafukuzwa wote hapa, Oohooo

1. Naomba niseme tena kwa lugha nzito sana kuwa ni jana tu nilimuomba Jasusi, apumzike pembeni unafikiri ni kwa nini nilifanya vile? Kitendo cha kutukanwa kwa Mushi sikiungi mkono kabisa kwa sababu ya mawazo yake ambayo ni tofauti na ya Jasusi, ningemuomba mkuu Jasusi, amtumie ujumbe Mushi kwa kumrushia maneno ambayo kwa kweli sio ya kistaarabu, tena kwa mtu ninayemfahamu kama Jasusi,

2. Mushi is okay, mimi hanisumbui the matter of fact kwenye hii topic ame-raise a lot of ishus ambazo ni very serious, nyingine hata mimi sikuwahi kuzifikiria, muhimu sana kwa taifa, na ninamuomba aendele na msiamo huo huo kwa sababu hapa JF tunahitaji watu kama yeye wa kusimamia hoja kiroho mbaya, ninamwambia Mushi kuwa hakuna masika yasiyokuwa na mvua, lakini stand up as you do uhesabiwe hapa, ama sivyo utaburuzwa hapa, kuna wanodai kuwa hawataki kuburuzwa hapa lakini ukiwapa one inch watakuburuza to the end!

3. However, ninaomba pia kusema ukweli mbaya sana, kwa kawaida hapa JF huwa inaruhusiwa kwa members kutumia ID au majina mengi, mimi binafsi sijawahi kufanya huo mchezo, kwa sababu ya kujiheshimu na pia kuwa responsible na kila neno ninalolisema hapa, in the past hii tabia haikuwa na madhara sana, lakini nimeshitushwa kuona kuwa imegeuka kuwa a weapon ya watu fulani, tena nimeshitushwa kugundua kuwa kuna hata ninaowaheshimu sana kuwa kumbe nao wanatumia tabia hii chafu sana,

Hivi karibuni kuna members wawili naona wameamua kuunganisha nguvu na kuacha majina yao mengi ya zamani na kuibuka na mengi kuliko ya kwanza mapya, sasa unajiuliza ni kwa nini? Why all this? Kuna thread ambazo hata kuzigusa siwezi, yaani mtu mmoja ameifungua, halafu anajijibu mwenyewe na ku-debate yeye mwenyewe tena bila hata ya aibu, Why? I mean why? Hili nimelisema mara nyingi na sitaacha kulisema, ila this time imenitisha sana kugundua kuwa hata waheshimiwa sana nao wana haka katabia, eti kweli tutalibadilisha hili taifa kwa mwendo huu? Kwa kweli ninajua kuwa haya maneno sio very popular hapa lakini siwezi kunyamaza jinsi nilivyopatwa na kinyaa na hasa sasa tunapotaka kuongelea double standard, simkatazi anybody kuendelea na hii tabia, lakini ninasema hivi usishangae nikiwa tofauti na nilivyokuwa zamani, maana sisi wengine maisha ni black and white, kuwa neutral au kutokuwa na side maana yake ni moja tu nayo ni kuwa fisadi!

Sasa mkuu Kuhani Mkuu, kama kweli nia yako ni kukataa double standard hapa JF kama ulivyosema kwenye haya maneno yako makali sana, basi naomba uliangalie na hilo kwa makini. Kama kweli hupendi double standard, basi jaribu kuhakikisha kuwa unaikataa kila kona, na kama kweli hupendi lugha mbovu zisizokuwa za kistaarabu, basi uzikatae zinaporushwa kwa wote hapa JF, sio kuangalia kwanza amerushiwa nani,

Again ninawaomba ndugu zangu mnaotaka kunisikia kuwa punguzeni majina mengi maana sasa inatia kinyaaa, tutaendelea kwa sababu ya mazoea na commitment kwa taifa, lakini kwa kweli inasikitisha sana tena sana, najua sio wote wanaotumia majina mengi kwa ajili ya matusi, lakini kama kweli hatupendi double standards basi tuziondoe kote, unajua bina-adam unachojua unajua huwezi kujifanya hujui unless ni zezeta!

Ahsanteni Wakuu!
 
Mkuu MWK,

1. Nimeupata ujumbe wako na pia ninaheshimu msimamo wako, wa kutoamini kuwa Balali hajafariki, kwanza nitoe heshima kwa wajumbe wote waliochangia hii mada, ninaamini kuwa hii ni moja kati ya best ever ndani ya hii forum, kwa sababu huu ni mjadala ambao umetoa the best out of waananchi, yaani demokrasia at work, pia kuna mivutano imetokea lakini ya jana ni ya jana, leo ni siku mpya.

2. Binafsi bado ninasema kuwa msimamo wangu ni ule ule, kuwa Balali amefariki tena ninaamini kwa 100%, nafikiri sihitaji kurudia sababu, zote nimezitoa, ninajua kuwa msimamo katika maisha sio kitu cha mzaha kama ya kununua samaki sokoni, na ninajua pia kuwa msimamo siku zote ni lazima ujaribiwe kwa njia mbali mbali kuanzia za natural, mpaka un-natural, lakini binadamu imara kama mimi ni msimamo ndio unakupa usingizi safi, kujua kuwa hukuyumba pamoja na all the attacks, kwa sababu unaamini kuwa ulichokuwa unasimamia na kuamini ni ukweli wa Mungu, sio wa binadamu mwingine.

3. Nimetafuta mwenyewe facts za kifo, nimeishia kupata kama 90%, nilichoshindwa ni Tarehe na jina alilolitumia akiwa Hospitali, na ni lazima niwe mkweli kwenye hili kuwa hiki kifo sio your average au as usual one, lakini looking back nimewahi kuona vifo vingi vya aina hii, ingawa this one is different.

Nimeona Waziri Kibona, Gavana Rutihinda, Mzee Mwaikambo, na pia Amina Chifupa wakitangulia kwenye haki under very unusual ways, na pia wakiwa handled baada ya kufa under very same circumstances kama za Balali, lakini bado this one ni for the record kama sio history.

4. Kuna a very strong argument, kuwa marehemu was very bitter kwa kusingiziwa some crimes he did not commit, kama hii ni kweli basi yeye na familia yake wametuangusha sana sisi masikini, kwamba kusoma kote huko majuu na kuweza kufanya kazi kote huko majuuu, tena kwenye mashirika makubwa sana ya dunia, halafu kuja kuishia kuchezewa na wanasiasa wa bongo hawa wahuni wa kutupwa ambao mimi hata wakinipa soda ambayo haijafunguliwa siwezi kuikubali, na kuishia kutangulia kwenye haki bila ya kutufumbulia ukweli ulipo na hata kufanya mambo mengi kama ni ya kweli kwa siri, kwa sababu ya kuwaogopa hawa wahuni kwa kweli inasikitisha sana,

5. Ninaelewa kuwa ameacha ushahidi mzito sana, ninasema hivyo kwa sababu ninajua mengi yanayoendelea behind the scene na hii ishu, lakini nina wasi wasi sana kuwa huenda hata huo ushahidi aliouacha ukawa batili, kama wamefanya haya kwa the originator wa ushahidi. can you imagine watafanya nini kwa messenger wa kuleta huo ushahidi? This is a very sad story kuwaachia watoto wetu wa taifa la kesho, kwa sababu wote tumeona mazingara yaliyomtanguliza Amina, ambaye hakuwemo kwenye EPA wala BOT, sasa kwa nini tuliruhusu this one again? Kwenye hili taifa zima we are guilty sawa huenda tuna akili sana kama tunavyoonyesha humu JF, lakini ukweli ni kwamba bado tuko mbali sana na kwenye kujifunza na makosa, na believe me sasa hivi we are about to do the same na Mkapa, yaani ku-commit the same mistake kama ya Balali, halafu tutanza kutafutana uchawi.

Samahani kwa kuwachosha, lakini ninaomba kusema kuwa kwangu sina wasi wasi kuwa in due time, ukweli utatoka tena wazi na WHYs zote zitajibiwa, na ninaahidi kuwa iwapo itagundulika kuwa Balali hakufariki, basi nitajiuzulu rasmi kujihusiaha na siasa, au any kind of kutoa info kwa wananchi au mtu yoyote mwingine zaidi yangu, na nitajiondoa kabisa kwenye matayarisho yangu ya kuingia kwenye national politics ambako ni the matter of time kabla sijajikita hukona nitasema wazi hapa hapa JF,

Ninaheshimu sana wale wanaoamini kuwa Balali hajafariki, na hasa wale wenye hoja nzito, kwa haya machache ninaomba ku-retire unless ukitokea ushahidi mpya na mzito, lakini otherwise ninawpa heshima wajumbe wote kwa kazi nzito ya kuijadili hii topic, ya jana ya jana sasa tugange yajayo!

JF Mbele!
 
ustaarabu saa nyingine hamna hapa...............

Mkuu ustaraabu sio tatizo la JF as an institution, ni tatizo la binafsi la baadhi ya members, JF haina kosa lolote. Ni tatizo ambalo hapa huonyeshwa na maneno na hasa matendo ya baadhi ya members hapa, lakini Jf haina kosa lolote na inao ustaarabu.

Ustaarabu au uwezo wa mtu kufikiri huonyeshwa na maneno yake mwenyewe!
 
FMES,
Mkuu bado upo kumbe?... haya endeleeni..
Oooh samahani kuna moja nataka kumuuliza huyo Mwafrika wa Kike na uchunguzi wake....
Naomba hivi, ebu tuchukue jina la Mbongo yeyote aliyekufa hapo Marekani kisha tuletee hiyo info zote zinazohusiana na kifo chake (iwe kimaandishi na sio mlikuwepo) kama mnavyotaka iwe ktk mjadala huu, maanake isije kuwa mnatafuta kitu ambacho hakiwezi kupatikana hata kirahisi kama mnavyofikiria.
Nataka kuona jinsi mlivyofuatilia..
 
Mkuu MWK,

3. Nimetafuta mwenyewe facts za kifo, nimeishia kupata kama 90%, nilichoshindwa ni Tarehe na jina alilolitumia akiwa Hospitali, na ni lazima niwe mkweli kwenye hili kuwa hiki kifo sio your average au as usual one, lakini looking back nimewahi kuona vifo vingi vya aina hii, ingawa this one is different.

ya jana ya jana sasa tugange yajayo! JF Mbele!

Mkuu FMES nakuaminia sometimes na data zako....sasa huoni hako ka 10% kanaleta utata kidogo hii ni kama zile kesi ya murder without a body.

Halafu kwa kweli sasa ball is on his(Balali) family wajitokeze na kuweza kumsafisha marehemu.
 
Ni kweli kuna namna ya kutafuta kujua kama mtu amekufa na hili laweza kuwa na certification kind of. Lakini kutafuta mtu kucertify kuwa mtu fulani yuko hai inahitaji mengi zaidi na muda wa kutosha wa kufanya hili. Nadhani hii itakuwa ndicho wezi waliobakia Tanzania kina Mramba na wenzake kina Mgonja wanategea kuwa tuanze kufanya hapa. Kutumia muda mwingine kumpata Ballali akiwa hai badala ya kuwapeleka mafisadi waliosalia bongo keko wanakostahili kuwa right now - ukichukulia kuwa Mgonja bado anapeta pale wizara ya fedha. Kuthibitisha kifo hasa kwenye open societies kama US ni rahisi zaidi kuliko kuthibitisha uzima wa mtu.

Ndio maana mimi nawasubiria familia ya Ballali au yoyote anayehusika hapa kuthibitisha kifo cha Ballali ili kuweka to rest hizi doubts zote.

Mwafrika wa Kike,

Kama nilivyoahidi masaa machache yaliyopita, nimetoka kuongea na rafiki yangu lawyer wa DC. Amesema kwa situation tuliyonayo, it is advisable to contact a good Criminal Attorney aliye-specialize kwenye Forensic Science. Amesema inatakiwa kumpatia specifics huyo attorney, then yeye atakuwa kwenye position ya kueleza what to do according to the Law.

Hili ndilo jibu nililonalo mpaka sasa hivi.
 
FMES,
Mkuu bado upo kumbe?... haya endeleeni..
Oooh samahani kuna moja nataka kumuuliza huyo Mwafrika wa Kike na uchunguzi wake....
Naomba hivi, ebu tuchukue jina la Mbongo yeyote aliyekufa hapo Marekani kisha tuletee hiyo info zote zinazohusiana na kifo chake (iwe kimaandishi na sio mlikuwepo) kama mnavyotaka iwe ktk mjadala huu, maanake isije kuwa mnatafuta kitu ambacho hakiwezi kupatikana hata kirahisi kama mnavyofikiria.
Nataka kuona jinsi mlivyofuatilia..

Mkandara,

Sijui uko dunia gani lakini hii ya West ambayo naamini ndio unaishi na wengine ndio tunaishi, mtu yeyote anaweza kupata uthibitisho wa mtu kama amekufa. Kifo sio siri na wala sio sawa na ugonjwa.

Hata familia ya Ballali wanajua hilo ndio maana hawataki kutaja hospitali alipofia au hospitali iliyothibitisha kifo chake maana ukijua hivyo vitu na kama unataka habari kama mhusika kafa au la, utapata tu.

Kwa hapa UK nina uhakika kwa 100% utapata confirmation ya kifo na kuna ofisi nyingi za
kufanya upate hizo habari. Kwa kutumia freedom of Information act unaweza kupata majibu yote.

Case ya Ballali ni rahisi zaidi maana alikuwa public figure, kwa kutumia tu mabishano ya hapa JF kuonyesha jinsi watu walivyochukizwa na hii habari, ni sababu tosha ya kufanya hospitali ithibitishe au kukanusha kifo chake. Kuhakikisha hicho kifo ni interest ya Watanzania wengi.

Kama Canada haiwezekani basi mnakaribia kuwa Banana Republic kwi kwi kwi!!!
 
Mkuu MWK,


4. Kuna a very strong argument, kuwa marehemu was very bitter kwa kusingiziwa some crimes he did not commit, kama hii ni kweli basi yeye na familia yake wametuangusha sana sisi masikini, kwamba kusoma kote huko majuu na kuweza kufanya kazi kote huko majuuu, tena kwenye mashirika makubwa sana ya dunia, halafu kuja kuishia kuchezewa na wanasiasa wa bongo hawa wahuni wa kutupwa ambao mimi hata wakinipa soda ambayo haijafunguliwa siwezi kuikubali, na kuishia kutangulia kwenye haki bila ya kutufumbulia ukweli ulipo na hata kufanya mambo mengi kama ni ya kweli kwa siri, kwa sababu ya kuwaogopa hawa wahuni kwa kweli inasikitisha sana,

JF Mbele!

Mkuu Heshima Mbele kusoma siyo kusoma vitabu tu ni pamoja na kuelimika na kuchukua msimamo wa kisomi pale makubwa yanapokukuta. Wakati mwingine ndio maana wasomi wanadhalaulika sana maana, WEZI/Mafisadi wa EPA/BoT wengine hata elimu hawana kabisa.

wewe fikiria wanamtishia eti mtu aliyeko Marekani tena DC, na anaona ni bora abadili Jina anyway yameisha mwagika.
 
Mkuu FMES nakuaminia sometimes na data zako....sasa huoni hako ka 10% kanaleta utata kidogo hii ni kama zile kesi ya murder without a body.

Mkuu Mwanatanu,

Heshima mkuu, huna sababu ya kuniaminia mkuu wewe ni kutafuta facts zako mwenyewe, mimi nimetafuta zangu, ninasema kuwa 10% against 90% kwangu ni enough, sasa mkuu kama wewe unaona kuwa 10% ina-overrule 90% huo ni wako uamuzi mkuu,

Mimi nimetoa sababu kuwa nimeona vifo vya Mwaikambo, Kibona, Rutihinda na Amina Chifupa, yes hizo 10% iznazo-miss ni very troubling, lakini mke au mjane wa Rutihinda ni mshikaji wangu sana tena sana, nilicheza naye halaiki na nimekua naye mjini, baada ya yote yaliyotokea kwenye msiba wake siku moja nilikaa naye chini na kutaka anipe facts kwa nini yalijiri yaliyojiri, akanifahamisha nikaelewa, na kuondoa ukungu mwingi sana uliokuwa umenitanda na wengine pia,

Ninaaamini kuwa hiyo 10% ikielezewa baada ya huu msiba kupita, tutaelewa vizuri hasa ni kwa nini na kuondoa all the doubts, wanasiasa na viongozi wanaishia kwenye very complicated world, kifo cha Mwaikambo sidhani kama kilikuwa cha kawaida kutokana na facts nyingi ninazozijua, kwa hiyo ndugu yangu kwenye mambo kama haya ni kujiaminia mwenyewe na kusema unachoamini.

Ahsante Mkuu.
 
Mkuu Mwanatanu,

Heshima mkuu, huna sababu ya kuniaminia mkuu wewe ni kutafuta facts zako mwenyewe, mimi nimetafuta zangu, ninasema kuwa 10% against 90% kwangu ni enough, sasa mkuu kama wewe unaona kuwa 10% ina-overrule 90% huo ni wako uamuzi mkuu,

Ahsante Mkuu.

Facts zinapatikana kirahisi kwa watu waliopo jikoni na inakuwa shida kwa watu waliopo uwani....niliposema sometimes nakuaminia facst zako ni kweli i meant it not otherwise
 
Wewe acha tu......!

Baada ya uchunguzi wa karibu wiki nzima, kwa asilimia 95 ninapinga habari za kifo cha Ballali. Sina imani tena na habari za kifo cha Ballali.

Yataendelea.......

Wingi wa kiasi cha hela TULICHOAMBIWA kimeibwa ($133'000'000) ambacho naamini kinazidi, na unyeti wa washiriki unahishawishi kuwa Dr Balalli hajafa. Kwa mijihela iliyoibiwa anaweza akawa amejifanyia "Plastic Surgery" akahamia Mexico au popote duniani akaendelea kula maisha huku nyie mnaendelea kumlilia eti Oh..! Balalli kafa. Afe amwachie hiyo mijihela nani...?
 
Back
Top Bottom