Kifo cha Edgar Lungu na uhaini wa Tundu Lissu ni funzo kwa Rais Samia

Kwa kuwa watu wanafanya Mabaya na maovu na wanajua hakuna Consequences.

Ni wakati sasa mifumo ibadilike. Ulaya na Marekani wanajua chochote unachofanya ukiwa kiongozi you will eventually suffer the outcomes.

Ndio Maama Israeli inapopigana vita wanadeal na Viongozi wa maadui. Hawana muda na raia wa kawaida.

Ndio kusema kwamba viongozi wa hayo makundi Hasimu chochote watakachoamua wajue kuna outcomes nzuri au mbaya na wao yatawahusu.
 
Zambia ipo shida ilianza toka kwa Chiluba.. same bundi ako Tz pray for nation
 
Wahuni wa nchi ya Tanganyika wamejiwekea kinga ya kutoshtakiwa wakitoka madarakani. Nchi hii ina mambo ya kipimbi sana
 
Nimefuatilia sana issue ya Zambia,CCM msiishi kwenye nchi ya Tanzania kwa Mazoea muda wenu unahesabika na muache dharau kwa MUNGU maana yy hashindwi kitu.
 
Anapumzikaje kwa amani.
Hem acha mzaha.
 
Ngoja nikufundishe Jambo, Mungu akiamua kwasisi tunao amini katika dini, haijalishi ni lini itatokea ila atahakikisha anakuacha hai na wewe upate uchungu alioupitia mwenzako
Ndio maana nikasema nachelea kusema kama itawezekana kuishinda CCM kupitia uchaguzi. That means its only possible through extraordinary forces.

Vv
 
Kinatufundisha kueshimu mamlaka,tukosoe kwa njia sahihi.
Kwa hiyo mtu akikosoa ni halali kupigwa risasi mkuu? Kumbuka anayeua kwa upanga naye atakufa kwa upanga. Bokassa aliua sana watu lakini naye alikuja kuuawa, tana vibaya kuliko watu aliowaua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…