Kifo cha ghafla cha Mfugale sawa na Prof. Chachage: Kuna viashiria vyote vya kupewa sumu. Serikali ichunguze

Kifo cha kawauda hakuna sumu wala nini....RiP Eng Mfugale
 
Inner circle in the cyclic cycle of being out of both power and authority. Who is the next?
 
Nadhani swali gumu zaidi na ambalo halitajibika ni kama unayosema ni kweli..., ni nani alifanya hivyo ?
 
Uviko unaandika bila kujua ukweli hutu mzee alikuwa na mgonjwa kwa muda mrefu tuu na ndio maana hata mwendazake alimruhusu afanyie kazi DSM ili kuwa jirani na matibabu.

Hv unafikiri mtu mwenye umri zaidi ya 70 years afya yake ikoje!
Hivi kwani huyu alikuwa hajastaafu kwa sababu gani?
 
Hujui kuwa mfano Dr.Mwakyembe aliwekewa sumu?Unaishi wapi?
Rafiki yake Mwakyembe, Marehemu Samwel Sitta, ndiye aliyetuambia kuwa Mwakyembe kawekewa sumu. Mwakyembe aliporudi kutoka India alituambia kuwa ana auto-immune disease fulani. Wewe unaishi wapi?
 
Dr.Fupi[emoji25][emoji17][emoji25][emoji17]Hakuna kifo kiliniuma kama kile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu inaonyesha una utalaam wa kutosha wa uchunguzi, pia inaonyesha una ushahidi mwingi juu vifo vya vigogo kadhaa.
Nakushauri peleka ushahidi ulionao kwenye vyombo husika ili wachukue hatua.
 
Kuna nyuki amefia kwenye chai yangu ya rangi...alijichanganya.....akafikiri asali itaanza kwenye chai.

Hey guys, unfortunately kifo hakiepukiki. Kila mtu atakufa. Na anayeua pia naye atakufa. Na asiyeua pia naye atakufa. Kama huyu nyuki shujaa aliyejiingiza kwenye chai ya moto, bila kufuata katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…