Kifo cha ghafla cha Mfugale sawa na Prof. Chachage: Kuna viashiria vyote vya kupewa sumu. Serikali ichunguze

Kama familia haijaridhika na sababu za kifo ni wazi wameitisha post-mortem na sampuli husika zitapelekwa kwa mkemia mkuu.
 
Mleta mada ungetuambia kuwa motive ya kumuwekea sumu ni nini? Inaelekea muhusika mkuu wa kikao alikuwa yeye
 
Ile ripoti ya CAG ilikuwa inamuweka pabaya hivyo akaamua tu kujifia kama swahiba wake mwendazake
 
Jikite kwenye hoja, hiyo postmortem report ataitoa nani?
Kama imefanyika ataitoa huyo daktari au jopo la madaktari waliofanya......kama kuna sampuli zimechukuliwa kwenda kwingineko itabidi wasubiri hayo majibu ili kukamilisha ripoti yao, sawasawa?
 
Who benefits from his death?.

labda tuanzie hapo
 
Nadhani swali gumu zaidi na ambalo halitajibika ni kama unayosema ni kweli..., ni nani alifanya hivyo ?
And to benefit what?.

Marehemu alikuwa kikwazo kwa nani labda?

Ukute Baba wa watu ni siku zilifika
Ama ukute pia kuna mengine who knows
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…