Tetesi: Kifo cha ginimbi, mazito yaibuka...

Mbona ginimbi handsome tu Jaman , halafu ana sura ya kiume, au mlitaka awe na sura kama nuhu mziwanda au richmitindo, mi wanaume kama hawa ndo wananilowesha chupi sio weupe watoto wa mama[emoji23][emoji23]
Binamu,unalowa kwa mbele au nyuma maana unanichanganya!
 
Wakinga nao hizo skendo za manyoka wanazo sana

Mchana wanaturusha roho insta , usiku wanakutana na mauza uza, mara walale na maiti, mara majoka ya vichwa saba

Kuna watu wamepitia msoto sana hapa duniani, hivyo wanakua wana roho ngumu chochote kile wanafanya ilimradi apate pesa , cha muhimu uhai kila mtu apambane na hali yake , Tatizo wengine hatuna tu connection [emoji23][emoji23]
 
Hahaha sema tukupe connection..

Kuna mzee hapo mufindi sema nikuwekee namba hapa hapa sitaki uje DM.

Halafu utuletee mrejesho.
 
Matajiri wa aina yake sidhan kama wanawekwa kwenye list ya mabillionare Coz vipato Vinakua havieleweki au haviendan na pesa anazomiliki so wanabak tu kuwa mabillionea wasio rasmi
Mhh.. wasio rasmi..?
Havieleweki how? Mbn ktk IG (Bio) kaandika kuhusu Biashara zake (Kwa ufupi) na kuonesha kuwa hatumii FOREX wala Bitcoins (Cryptocurrency) etc..
 
Hahahaaa.

Ni kweli alikuwa bilionea au neno ‘bilionea’ limekuwa ni metaphor tu ya mtu anayeonekana ana pesa?

Halafu, hilo joka lilikuwa linazitoa wapi hizo pesa?

Hilo joka na lenyewe ni li bilionea?

Hizi stori za majoka na pesa nimeshazisikia sana.

Hazina ukweli wowote. Ila zinachekesha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…