Tetesi: Kifo cha ginimbi, mazito yaibuka...

Masharti yake ya kuzikwa na hela bado yananishangaza na kuniaminisha ule utajiri wake NI Mali za ndagu.
Watu Wana shida wewe unatoa wosia uzikwe na hela zako.
Unadhani kwa mungu kuna maduka ya Gucci?
 
Jamaa ana sura ngumu kama matajiri wakinga wa makete
Mimi nahisi macho yangu yapo tofauti na wenzangu,naona watu wakilalamika marehem ana sura ngumu Mie namuona freshhhhhh kabisa sura ya kiume tu
Mkuu, Joannah halafu mbaya zaidi ni kwamba wanaolalamika wengi ni wanaume.
Ninapoona mwanaume analalamika kisa sura ya mwanaume mwenzie ambaye amafanikiwa kiFedha (multi-millionaire in US dollars), Hapo huwa nashindwa kuelewa, je ni Wivu ama nini?

Vijana tutafute pesa tuache jealous za kipuuzi kwa matajiri. Na utajiri (US$ million) siyo kama ngozi ya mwili kwamba kila mtu atakuwa nao.
 
🙌🏾🙌🏾 you have nailed it!!
 
Hivi kwanini hawa ma young Billionaire/Millionaire wengi wanakufa wakiwa bado vijana sana...?
 
Machangu wa Dar (kina Mobetto, Wema, Tunda, Diva Bawse Lady na wengineo wadangaji) hawajamuona huyu jamaa na kuomba urafiki kabla ya kifo chake?
 
Hivi kwanini hawa ma young Billionaire/Millionaire wengi wanakufa wakiwa bado vijana sana...?
Ukiwa na utajiri fake mwisho wake ni mbaya sana. Subiri tu ushuhudie vijana wa kibongo fleva hapa Bongo uone vifo vyao. Si unakumbuka kuna wengine walikuwa wanaletwa wakiwa maiti toka huko South? Hawa jamaa wana mengi mazito nyuma ya utajiri wao.
 
kwa hiyo wataka kusema masikini siye huwa hatufariki tukiwa vijana?
Kumbe kifo kinaangalia umri (ujana) na fedha eeh?
Mkuu, mbona umejaa imani potofu za kiduanzi hivyo.?
Nakuuliza hivi, Je mtu akiwa tajiri ndiyo huwa hastahili kufa akiwa bado kijana??
Acha wivu wa kiduanzi, tafuta hela!!
 
Mimi nahisi macho yangu yapo tofauti na wenzangu,naona watu wakilalamika marehem ana sura ngumu Mie namuona freshhhhhh kabisa sura ya kiume tu

Shoga angu ebu nisaidie , mi wanaume kama ginimbi Ndo wananipa hamu ya kufanya ngono, yan he is manly [emoji817] , very attractive gentleman , Sasa Sijui wanazengo anataka awe na sura kama ya hemed au vip[emoji16]
 
Nikachukue wapi Sasa mbona unaongea kama tahira, wangekua wanapatikana kirahis wote humu Im sure tungeenda, Tatizo connection

Kuna utajiri mwingine huwez kuufikia bila kuhusisha nguvu za Giza , Kijana mwenyew ukimuangalia tu usoni unajua huyu sio binadam wa kawaida
 
Hivi una akili wewe? Pole kwa kujichanganya.
 
Huyo aliyeachwa anaenda wapi?
 
Hilo joka nitalipataje mkuu na Mimi nifanye Fuji Instagram
 
Mbona ginimbi handsome tu Jaman , halafu ana sura ya kiume, au mlitaka awe na sura kama nuhu mziwanda au richmitindo, mi wanaume kama hawa ndo wananilowesha chupi sio weupe watoto wa mama[emoji23][emoji23]
Mbona unataka kuamsha midude
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…