Tetesi: Kifo cha ginimbi, mazito yaibuka...

Midude gan tena binam na wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Leo ndo mazishi ya hubby wako utusaidie kutuletea video na pics za ukweli tuone hizogunia za pesa na mavazi meupe.

Naskia alisema hakuna mnyanturu kwenda mazishini kwake na vinguo vya maua
 
Binamu yangu warumi hana mume, mume wake ntarajiwa ni mimi nduguye..

By the way mbona aliweka masharti ya hivyo kwenye mazishi yake? Na kama mtu akikiuka inakuaje mtu ameshakufa
 
Kwakweli watu ni vipofu mbona huyu kama mzuri amekaa kiume zaidi? Achilia wamsemayo ila hii no ni matata.sisi wanawake ndo tunaelewa zaidi.hapa siongelei utajiri naongelea mwonekano wake sura body ni supper.
Bado hatujajua mnatakaga nini, pesa, sura ngumu(ugly) , sura nzuri(handsome), pande la mtu lenye miraba sita, weusi/weupe, mrefu/mbilikimo... Ni nini mnataka kiwavutie hebu dadavua hapa, na binamu darling warumi uje ufafanue hapa
 
Mm nilikuwa napinga wanaosema ana sura ngumu. Mengine sijui.
 
Kwakweli watu ni vipofu mbona huyu kama mzuri amekaa kiume zaidi? Achilia wamsemayo ila hii no ni matata.sisi wanawake ndo tunaelewa zaidi.hapa siongelei utajiri naongelea mwonekano wake sura body ni supper.

Yes raha ya ngoma aijuae mchezaji, ginimbi anaonekana kudume haswa, pesa zake inaonekana wadada hawakuzila bure, Naona walikua wanasurubiwa wakitoka hapo kutembea shida[emoji23][emoji23], ila mi napendaaaaaa[emoji16][emoji16]
 
Nyoka zinauhusiano gani na utajiri wake?

Je kama alikuwa anafuga nyoka kama mapambo?

Fikra za kimasikini ni zakipumbavu sana.
 
Mbona ginimbi handsome tu Jaman , halafu ana sura ya kiume, au mlitaka awe na sura kama nuhu mziwanda au richmitindo, mi wanaume kama hawa ndo wananilowesha chupi sio weupe watoto wa mama[emoji23][emoji23]
Hamjulikanagi mnataka nini
 
Mbona ginimbi handsome tu Jaman , halafu ana sura ya kiume, au mlitaka awe na sura kama nuhu mziwanda au richmitindo, mi wanaume kama hawa ndo wananilowesha chupi sio weupe watoto wa mama[emoji23][emoji23]
Kumbe wewe ni wa kike?
 
Utajiri wa kawaida unaonekana na utajiri wa ndagu unaonekana pia.
Juzi Kuna gari yake nyingine ilitaka kuungua Moto.
Kila mtu anaweza kuwa tajiri,
Kuwa mbunifu na fanya kazi kwa akili sana utatoboa. Hapa Africa ukifanikiwa sana lazima watu wahusishe utajiri wako na ushirikina. Hii ni mbaya maana vijana wengi wanaitumia kama excuse.
 
Binamu yangu warumi hana mume, mume wake ntarajiwa ni mimi nduguye..

By the way mbona aliweka masharti ya hivyo kwenye mazishi yake? Na kama mtu akikiuka inakuaje mtu ameshakufa

Wanaume wenyewe matapeli bora niolewe na binamu yangu mie nimpe utamu[emoji23][emoji23][emoji23]

Nimeona mazishi leo wala hakukua na hyo White’s kama alivyosema marehemu , watu wanalia balaa
 
Tatizo mnawapa dudulu mapema, ibane mwambie hadi ndoa ndo utampa tamu yako😁😁
 
Back
Top Bottom