Kifo cha Hayati Magufuli kilivyosababisha Stevev Makigo bosi wa Mayanga Construction azimie mara tatu

Hearsay,
Bil 35 zipotee tu kimasihara bila doc zozote.
Mnalala mnaamka na kumshutumu hayati sababu hawezi kujibu.
Ila Mkewe na Wanae wanawasoma hapa
Doc zipi tena,plea bargain ni mabilioni ya shilingi tuambie ziliingia akaunti ipi.kwa Magufuli kila kitu ilikuwa ni amri tu na wala sio procedure.
Hakuna kiumbe angeweza kumhoji
 
Ukiona incumbent president amekufa kitatanishi ujue ni insider job.
Wameuwawa wengi hata katika mataifa makubwa.
John Fitzgerald Kennedy hadi leo watu wanajua aluwawa na CIA.
 
Hali ilivyo kwa sasa uwanja wananchi wanautumia kuanika mazao na shughuli nyingine za kijamii hakuna ndege inatua chato kwakifupi hela za watanzania zimepotea.
Naomba swala hili uliwaze kwa umakini wake.

Ni wazi Magufuli alifanya makosa kujenga huo uwanja bila ya mipangilio inayoeleweka; lakini itakuwa ni makosa zaidi iwapo waliopo madarakani sasa nao kuendeleza makosa kwa kuutelekeza huo uwanja.
Hawa nao kivyao watakuwa wanashiriki kivyao katika kufuja mali za waTanzania.

Sina hakika kama huo uwanja hauwezi kutumika kwa faida yoyote ile ili kuepusha hasara zaidi aliyoileta Magufuli.
 
Ukiona incumbent president amekufa kitatanishi ujue ni insider job.
Wameuwawa wengi hata katika mataifa makubwa.
John Fitzgersld Kennedy hadi leo watu wanajua aluwawa na CIA.
True lakini kwa Africa nakumbuka Larent Kabila alivyouliwa na yule dogo,
My point is ukiuliwa na insider ujue ni uzembe wa hali ya juu au wamekuondoa for national interest
 
True lakini kwa Africa nakumbuka Larent Kabila alivyouliwa na yule dogo,
My point is ukiuliwa na insider ujue ni uzembe wa hali ya juu au wamekuondoa for national interest
Hiyo ilikuwa kazi ya Mr 'Slim'; haikuwa 'an insider job'.

Hapa ilitakiwa awajibishwe mhusika kama DRC ingekuwa ni nchi yenye kujitambua.
 
Hiyo ilikuwa kazi ya Mr 'Slim'; haikuwa 'an insider job'.

Hapa ilitakiwa awajibishwe mhusika kama DRC ingekuwa ni nchi yenye kujitambua.
Mr Slim yuko smart sana other wise na yeye angeshatokomezwa kitambo
 
Ni Runway sio Running away

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Angekuwa boya angekuwa Hayati kipindi kirefu
Hapana, si u'smart' alionao, bali alisaidiwa sana na matukio yaliyotangulia nchini mwake.

Kama ni u'smart', basi ni kujua jinsi ya kuyatumia matukio hayo kumpa huruma juu yake.

Na aliyakamua kwelikweli kwa kampeni kabambe. Sasa dunia yote inaelewa jinsi alivyo mkorofi.
 
Kumbuka ana maadui na wapinzani wengi ila amewafyeka wote
 
Huyu kilaz wenu wa sasa mnashindwaje kumshauri apambane na mfumuko wa bei za vyakula na bidhaa.... mnahamisha magoli kila uchao kwa thread za Magu... mara kaiba, mara mayanga, mara nyanza road, mara 1.5b, mara seychellis? Mara kuna mabillion US leo mmekuja 53b, kesho sijui mtakuja na ushuzi gani? Pathetic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…