Kifo cha hayati Magufuli kuwa moja ya ajenda kubwa uchaguzi 2025. CCM itapasuka na mengi yataibuka

Inaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale.

Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na kuhadaa umma wa watanzania?

Lakini kwa nini kuna rumours kuwa alikufa kwa Covid 19? Ili hali tulijuzwa alikufa kwa matatizo ya moyo?

Mwaka 2025 majukwaani kifo cha hayati JPM kitakuwa moja agenda muhimu. Na hii itakuwa ni agenda itayoipasua CCM kama ardhi iliyopasuliwa na tetemeko la ardhi.
Mwenye nguvu na uwezo ni aliepo kweny system! Nyie mnahangaika kutaja kila saa jina la marehem! Muacheni mzee apumzike!
 
acheni kuweweseka alishakufa basi imeisha,sokoine alipokufa watu kama wewe walizusha maneno yao, Nyerere alipokemea yakaisha,hata nyerere mwenyewe alipokufa watu walizusha tena kuhusu ugonjwa uliomchukua ikapita nothing changed. na hii nayo itapita hivyohivyo, nchi ina mambo mengi muhimu ya kufanya, kilimo chetu bado ni duni,hatuna mafuta ya kula, gharama za maisha zimepanda sana, n.k, n.k. halafu tuje tuanze kuhangaika kuhoji habari za wafu?!? tuache kuhoji yanayojiri kwa wanaoishi??!!?? HAKYAMUNGU TANZANIA!!!!!
huna akili weewe maisha ya miaka hyo unataka fananisha sasaaa
 
Yani watu wasubiri 2025!!???? Watanzania hawahawa? Dhidi ya mtandao wa wanamjini? Yule mbunge aliye anza kubwabwaja saivi unamsikia?

Kfupi ccm wapo kimaslahi hakna atakaye ibuka na hoja ya mwanachato na hata akiibuka nani atamsikiliza?
Mpina sijuhi wamemfanyaje....CCM ni zaidi ya genge la akina Pablo Escobar!

Everyone has a price, the important thing is to find out what it is.” Pablo Escobar
 
Inaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale.

Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na kuhadaa umma wa watanzania?

Lakini kwa nini kuna rumours kuwa alikufa kwa Covid 19? Ili hali tulijuzwa alikufa kwa matatizo ya moyo?

Mwaka 2025 majukwaani kifo cha hayati JPM kitakuwa moja agenda muhimu. Na hii itakuwa ni agenda itayoipasua CCM kama ardhi iliyopasuliwa na tetemeko la ardhi.
Go check your brain and thinking capacity!!..
 
Yani watu wasubiri 2025!!???? Watanzania hawahawa? Dhidi ya mtandao wa wanamjini? Yule mbunge aliye anza kubwabwaja saivi unamsikia?

Kfupi ccm wapo kimaslahi hakna atakaye ibuka na hoja ya mwanachato na hata akiibuka nani atamsikiliza?
Tatizo he was selfish hili la kujifunza sana
 
Kabisaaa. Na agenda hii itawavutia zaidi ya robo tatu ya Watanzania.
 
acheni kuweweseka alishakufa basi imeisha,sokoine alipokufa watu kama wewe walizusha maneno yao, Nyerere alipokemea yakaisha,hata nyerere mwenyewe alipokufa watu walizusha tena kuhusu ugonjwa uliomchukua ikapita nothing changed. na hii nayo itapita hivyohivyo, nchi ina mambo mengi muhimu ya kufanya, kilimo chetu bado ni duni,hatuna mafuta ya kula, gharama za maisha zimepanda sana, n.k, n.k. halafu tuje tuanze kuhangaika kuhoji habari za wafu?!? tuache kuhoji yanayojiri kwa wanaoishi??!!?? HAKYAMUNGU TANZANIA!!!!!
Unatumia silaha kali sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
iweje kifo cha magufuli kisambaratishe chama na hali alikufa Nyerere lakini chama hakiku sambaratika?
 
Kuna watu wana siri nzito 2025 ni hatari mgawanyiko siyo ccm tu bali hata wananchi taharuki itakuwa kubwa mno mda ni mwalimu
 
Hayo mnayoyatamani wala hayatatokea..msidhani watu ni wajinga kiasi hicho.
 
huna akili weewe maisha ya miaka hyo unataka fananisha sasaaa
ya sasa ya nini!?! usije naporojo we tuambie unachojua sio nadharia toboa unachokijua kwa mfano utuambie nani alihusika na kifo hicho, alitumia mbinu gani, kwa nini walimuua n.k,n.k. usije na nadharia hapa THIS IS THE HOME OF GREAT THINKERS usije na kitu cha kubumba njoo na fact tuanze kuunganisha dot pengine tutakusaidia kukamilisha lengo lako
 
Inaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale.

Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na kuhadaa umma wa watanzania?

Lakini kwa nini kuna rumours kuwa alikufa kwa Covid 19? Ili hali tulijuzwa alikufa kwa matatizo ya moyo?

Mwaka 2025 majukwaani kifo cha hayati JPM kitakuwa moja agenda muhimu. Na hii itakuwa ni agenda itayoipasua CCM kama ardhi iliyopasuliwa na tetemeko la ardhi.
Wana CCM au wale walio okotwa mtaani kwenda kula na kuua na kufanya fujo kwa Watanzania?
 
Back
Top Bottom