acheni kuweweseka alishakufa basi imeisha,sokoine alipokufa watu kama wewe walizusha maneno yao, Nyerere alipokemea yakaisha,hata nyerere mwenyewe alipokufa watu walizusha tena kuhusu ugonjwa uliomchukua ikapita nothing changed. na hii nayo itapita hivyohivyo, nchi ina mambo mengi muhimu ya kufanya, kilimo chetu bado ni duni,hatuna mafuta ya kula, gharama za maisha zimepanda sana, n.k, n.k. halafu tuje tuanze kuhangaika kuhoji habari za wafu?!? tuache kuhoji yanayojiri kwa wanaoishi??!!?? HAKYAMUNGU TANZANIA!!!!!