Kifo cha mtu gani maarufu kishawahi kukusikitisha?

KUNA dalili magufuli alikubalika sana,Hadi sasa naona wabishi wa jf wanamtiririshia makumbkumbu ya kumsikitikia.
Record ya dunia ni kuwa wapumbavu au mbumbumbu ni wengi kuliko werevu.
 
yesu sio mtu ni mungu muumba
Alikua mtu akapigwa sana na Warumi na wakamsulibisha Msalabana akafa KIFO cha aibu kwa mabadirishano ya Jambazi na Mbakaji nyang'anyi aitwae Baraba
 
Sasa mbona nyie Chadema mnateseka sana raia tukimkumbuka JPM?
Yaani mtu ateseke sababu ya wewe kumkumbuka Jiwe! Wengine ni kumbukumbu nzuri sana katika maisha yao. Mimi nashauri kila mwaka kuwe na kumbukizi ya matendo yake ili watu wasije msahau na mwisho wa siku ikaja tokea akaja kiongozi kama yule tena
 
Thibitisha kuwa Yesu ni Mungu. Yaani Yesu awe Mungu alafu asulubiwe na kiumbe alicho kiumba mpaka afe kisha afufuke.! Kwahiyo Mungu alikufa kisha baada ya siku tatu akafufuka? Hizo akili zenu huwa zimeshikwa na nani mpaka mnakuwa hamjielewi kiasi hichi, inasikitisha sana!
yesu sio mtu ni mungu muumba
 
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.

Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango wake katika jamii au athari chanya aliyoleta?
Mama yangu, then huyu mwamba
 
Relax kwenye imani za watu. Watu washalishwa neno na sababu wakapewa na wakazielewa.
 
Dr. Myles Monroe, yule wa Bahamas alikuja Nkrumah Hall nilikuwepo kumsikiliza.

Akaenda Nairobi. Siku anarudi kwao ndege ili CRUSH.

Nilisikitika sana. Speech yake nkrumahh alisema " Im ready to die i have exhausted all my potential"

Mbaya au nzuri kwake alikufa pamoja na mkewe.
 
Kujifunza hakuna mwisho
Siyo kwenye imani ya tangu miaka na miaka. Serikali ilizuia ukeketaji lkn wanabuni njia mpya ukeketaji kwa kisingizio kuwa anaumwa ugonjwa fulani mtoto anasuguliwa kidude hd kinakwisha. Ni ngumu saana kumtoa mtu kule anakoamini hasa kama anaona kuna zuri kuliko baya.
 
Umepiga mulemule😀😀
 
Unateseka ukiwa wapi😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…