SoC01 Kifo cha mtu uliyemzoea mtihani mgumu sana kufaulu

Stories of Change - 2021 Competition

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
KIFO NI KIBAYA SANA..NI BORA UFE WEWE KULIKO ATANGULIE YULE ULIMPENDA NA KUMZOEA.

Habari wakuu,poleni na majukumu

Najua kila mtu ameshawahi kusikia neno KIFO..ndio ni neno fupi lenye herufi chache tu,Herufi nne yaani K I F O.

Nadhani tukiongelea katika maneno ambayo yanaogopwa na hayapendwi na kiumbe yeyote,neno KIFO linaweza kuwa namba moja.

KIFO hakipendwi, KIFO kinaogopwa,KIFO kinachefua.Haijailishi ni KIFO cha kitu gani,KIFO cha kiumbe hai mfano Binadamu/mnyama au KIFO cha Kitu kingine mfano Biashara,kazi,uhusiano n.k

Hili neno lipo miaka na miaka, nadhani tangu kuumbwa kwa ulimwengu tumekuwa tunalisikia Au kuona kifo cha watu,mimea,wanyama na hata kifo cha biashara,kazi..Japo leo mada kuu ya leo ni kuhusu KIFO cha binadamu.

KIFO NI NINI??
Kifo ni fumbo kubwa sana ambapo hakuna mtu hata mmoja aliye hai anajua fumbo hili,ni fumbo ambalo Mungu amewafumbia wanadamu,viumbe hai,na utajua fumbo hili pindi utakapo kufa.

Japokuwa kuna baadhi ya watu kutokana na imani/akili au mawazo yao wamejaribu kusema maana tofauti tofauti kuhusu KIFO.Wengine wanasema ni KIFO ni Usingizi,ndoto N.k

Lakini maana iliyo kuu au maalumu ni kwamba KIFO ni hali ya kufarakana au kutengana kwa vitu au hali zinazofanya UHAI kuwepo.Ndio Ni tendo la KUKOSA au kutokuwa na UHAI.

Kwanini Kuna KIFO?
Hili swali nalo lina majibu mengi sana kutokana na imani au elimu zetu za duniani.
Kutokana na imani yangu naamini tunakufa ili Kurudi kule kwa MUUMBA WETU.Ndio huwezi kumuona muumba wako kama hujafa,lakini tu kama utatimiza kazi ile uliyotumwa na muumba wako ipasavyo .

KIFO hakina muda maalum ni wakati wowote kifo kinaweza kukumba,haijalishi u mzima au mgonjwa au umejificha mahali gani.

TURUDI KWENYE MADA

Mwaka huu 2021 kwa upande wangu ndio mwaka ambao nimejua uzito,maumivu na ubaya wa KIFO. Nilimpoteza Mtu muhimu. Mtu niliyezoea kumuona kwa miaka yote 30s niliyonayo.Mtu ambaye sikuwahi wala kuweza kuishi naye mbali kwa muda wa miezi mitatu bila kuonana nae.. Hata wakati nikiwa chuo kila mwisho wa semister lazima tu nitaenda kuhakikisha naonana nae,naongea nae,nacheka nae..kisha ndio naendelea na ratiba zingine.

Mtu ambaye hata nikifanya ukorofi,ujinga wowote alikuwa achoki kunitetea. Mtu ambaye nikiwa na huzuni analiwaza na kunipa ushauri HAKIKA nilijiona nina bahati mimi. Sikuwaza kumpoteza Mtu huyu.

Sio kwamba sikuwahi kusikia KIFO,au kuwahi kufiwa kabla.. HAPANA!!..Nilifiwa na Baba yangu mzazi,Bibi na Babu zangu,Mashangazi,Walimu,Marafiki N.k lakini sikuumia sana..

Najua utajiuliza KWANINI?
Je, nilikua siwapendi? HAPANA!
Nilikuwa nawapenda sana,lakini shida kubwa hapa ni ...

UPENDO NA MAZOEA
Wakati baba anafariki nilikuwa na miaka 4..kwa hiyo hapo utaona kuwa kwanza sikuwa na kitu HISIA na kujua nini kimetokea kutokana na umri wangu..Pia sikumzoea sana kutokana na kuishi nae muda mchache (4yrs)

Nilifiwa na marafiki,jamaa na ndugu wengine wengi. Hao wote niliumia lakini naweza kusema sio sana...au niseme maumivu/majonzi yaliwahi kuisha/kusahaulika mapema.

KWANINI?
Ni kwa sababu niliwapenda ila SIKUWAZOEA!!

Mwalimu ilikuwa ni mpaka nimuone shuleni/darasani tu,
Shangazi au Rafiki ni mpaka tukutane kwenye miadi,kikao,michezo au kwa shughuli flani.
Hivyo tukiachana hapo kila mtu anawaza yake anaendelea na mambo yake. Je? Hujawahi kuona unapata taarifa tu kuwa rafiki yako yule siku hizi Mbunge! Alafu ukawa hujui aliingia lini kwenye siasa,chama gani wala jimbo gani..??
Au shangazi yako amefariki !!! ukawa hujui ameumwa lini,au alipatwa na nini.

NDIO MAANA NAONA NI BORA NINGETANGULIA MIMI (MUNGU ANISAMEHE KAMA NAKOSOA KAZI YAKE)KULIKO YULE NILIYEMPENDA NA KUMZOEA!!!

MAMA! MAMA YANGU

Umeniachia pigo kubwa sana katika maisha yangu, sidhani kama nitakuja kuamini kuwa sitakuona tena..MAMA nilikupenda,ninakupenda na nitakupenda daima...SIO TU NILIKUPENDA LAKINI PIA NILIKUZOEA SANA.

Kuna muda natamani hata nisikanyage hapa nyumbani pale tu ninapokumbuka kuwa HAUPO tena humu ndani...NILIZOEA nikitoka huko mtaani nakuja nakusimulia story zote zinazoendelea huko mtaani,nikifanya jambo baya unaniita kwa upole,unanikalisha na kunifundisha namna nzuri ya kuishi.

Juzi timu yetu pendwa imepatwa na matokeo mabaya najua Tungeliwazana wenyewe.Lakini nasikitika hata hukupata nafasi ya kutazama timu yako pendwa japo uliipania sana Ile mechi..Na sio hayo tu kuna mambo mengi tulipanga but hayajakamilika bado na UMENIACHA mpendwa wangu.najua hata nikikamilisha peke yangu sitakuwa na fuaraha sana kama vile na wewe ungeona kile tulichopanga kimekamilika..sitakuwa na thamani nacho kama wewe HAUPO..

MAMA ni mtu ambaye kwangu mimi alikuwa ni kila kitu..Ilifika mahali nilisahau kabisa kama kuna KIFO..Na hata mara chache nilipokuwa nikikumbuka kuhusu KIFO nilijua ni mimi nitakufa,yule atakufa,wale watakufa ila sio yeye MAMA.sikawahi kujua watu wanapitia uchungu wa namna hii..Nilidhani wanajiliza tu kujifanyisha,niliwaona ni wajinga sio majasiri,lakini HATIMAYE pamoja na ujasiri wangu hatimaye NIMELIA MIMI, NIMELIA MBELE ZA WATU...MBELE YA WATOTO WADOGO.....Mtu NILIYEMPENDA NA KUMZOEA HAYUPO TENA..SITAMUONA TENA DAH!!!

HEBU FIKILIA YULE UNAYEMPENDA NA ULIYEMZOEA

1:ANAKUFA!

Yaan hana pumzi,haongei unamuuliza hakujibu,unatamani umpe kile chakula akipendacho lakini hawezi kula.Unaiona namba yake ya simu kwenye simu yako unatamani kumpigia lakini unakumbuka kuwa HATAPOKEA,Hatajibu sms...unawaza vipi niifute? HAPANA!! HAPANA!! Huko aliko ananiona nafuta namba yake...anasikitika kuwa namtenga ..SIWEZI kuifuta namba yake na sitaisahau Daima..

2:Mnamuweka kwenye JENEZA.
Marafiki zako,ndugu zako wanaenda kuchagua jeneza,huku wakisema HILI ZURI!! dah kuna JENEZA zuri??? unatamani uwatukane,unaona kama wanafanya ukatili..lakini BASI SASA!! Ndio utaratibu huo.

3:MNAMFUKIA chini ya ardhi..
Unawaza Vipi
Labda pengine Alilala tu na ameamka na kuzinduka kisha anatuita tumfukue lakini hatusikii na tunaondoka tu,
Mnamuacha peke ake makaburini,anakata tamaa..anajiuliza mpaka wewe kipenzi chake unamtenga?? humsikii??
Usiku vile unavotisha lakini unamuacha kule peke ake??...Lakini wewe umelala ndani,umejifunika shuka! umewasha taa! na umefunga milango..INAUMA SANA !!!

Ni MTIHANI MGUMU SANA KUMPOTEZA MTU ULIYEMZOEA...KUNA MUDA NAJIULIZA KWANINI NISINGEANZA MIMI AKABAKI YEYE...PUMZIKA MAMA YANGU

HITIMISHO:
NAJUA KILA MTU ANA MTU WAKE ANAYEMPENDA NA ALIYEMZOEA AMBAYE HAKUPENDA/HATAPENDA AFIKWE NA UMAUTI.LAKINI AMINI KIFO KIPO JAPO HATUKIPENDI,MIMI NIMEAMINI JAMANI KIFO KIPO.

MIMI KIFO CHA MAMA NI KIFO KINACHONIPA MTIHANI MKUBWA SANA WA KUSAHAU..SIDHANI KAMA NITAFAULU,WAPO WANAOMPENDA NA WALIOMZOEA
BABA YAO
MAMA YAO
DADA YAO
KAKA YAO
MKE WAKO
MUME WAKO
MTOTO/WATOTO WAKO
N.K
JE UTAFAULU MTIHANI WA UCHUNGU UTAKAOPITIA SIKU WAKITUTOKA?? SIKU KIKIWAKUMBA????

TUZIDI KUWAOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU KILA SIKU.SARA NI MUHIMU..
INAUMA SANA KUFIWA NA UNAYEMPENDA NA ULIYEMZOEA.

LAKINI PIA TUKUMBUKE KUWA SIO KILA KIFO NI KIBAYA KUTOKANA NA TULIVYOJIANDA SISI WENYEWE KWA MUUMBA WETU.

Tunapitia kipindi kigumu sana..

Ewe Mola, nisamehe dhambi zangu, dhambi za baba yangu, mama yangu, mke/mume wangu na wanangu na jamaa zangu na marafiki.
Ewe Mwenyezi Mungu , usiuchukue uhai wangu ila pale nitakapo kuwa tayari kukutana nawe.AMEENI

By nasmiletz
july 2021
nasmiletz@gmail.com
 
Upvote 23
Mimi nimefiwa na mdogo wangu pekee (tulizaliwa wawili tu) this Feb.
Sijajua bado namna sahihi ya kuprocess hii taarifa kichwani kwangu.
Ni kama nimeahirisha hivi uchungu, af hivyo.
Bado kama siamini, kama nimekata tamaa hatarudi tena, kama namsubiri arudi, kama sijakubali, kama nimekubai sana.

SIELEWI KWA HAKIKA kipi najiskia ndani yangu kuhusu hili swala
 
Je ukishakufa unaweza kuwa na kumbukumbu kwamba ulishawahi kuzaliwa na kuishi hapa duniani ? ili usije kuzaliwa tena na tena ?
 
Mimi nimefiwa na mdogo wangu pekee (tulizaliwa wawili tu) this Feb.
Sijajua bado namna sahihi ya kuprocess hii taarifa kichwani kwangu.
Ni kama nimeahirisha hivi uchungu, af hivyo.
Bado kama siamini, kama nimekata tamaa hatarudi tena, kama namsubiri arudi, kama sijakubali, kama nimekubai sana.

SIELEWI KWA HAKIKA kipi najiskia ndani yangu kuhusu hili swala
Pole saana mzee. Huu ndio ukweli mgumu zaidi kuukubali hapa duniani.
 
Kkk
 
9k
 
Mimi nimefiwa na mdogo wangu pekee (tulizaliwa wawili tu) this Feb.
Sijajua bado namna sahihi ya kuprocess hii taarifa kichwani kwangu.
Ni kama nimeahirisha hivi uchungu, af hivyo.
Bado kama siamini, kama nimekata tamaa hatarudi tena, kama namsubiri arudi, kama sijakubali, kama nimekubai sana.

SIELEWI KWA HAKIKA kipi najiskia ndani yangu kuhusu hili swala
Dah!very sorry
 
Dah!very sorry
Shukran.
Nahis watu hawanielewi.
Ni kama naonekana nimeheal haraka, kumbe ayarrabi hata sijajua nimeumia kiasi gani, let alone kuheal.
Unajua yule mtu ni best yako, babako(mana wazazi pia walifariki tukiwa wadogo) anakuona mamake, mnavaliana mpka raba, mashati (mi napenda kuvaa nguo za kiume kiume ) so mashati yake nilikuwa navaa yani.
Akitaka kula chakula kizuri anakuja kwangu anajua atafungu friji atakuta(alikuwa anasema my recipes reminds him his mother)
Ndani kwangu sijui kama kuna kitu niliwahi kununua yeye hakushiriki, aidha kufuata, kulipa au kupanga so kila kitu reminds me of him.
Nyumba yangu ni yeye alichora ramani akasimamia mafundi mpk imeisha.
Nilikuwa sijui hata risiti ya msumari mimi! Mungu anajua namna maisha yangu hayatakuwa sawa tena.
Niliumwa nikalazwa alikuwa anakuja hospitali kila siku alfajiri ndo aende kazini.

Mahali nikifanya biashara nikazinguliwa pesa, akija yeye ujue nitaipata.
ENH Mungu, katika pigo umeniweza ni hili.
SIJAWEZA BADO KUMLILIA KAKANGU! na hakika sijui nitalia machozi gani yafae!

ACHA niwe sina ninachofeel nachoweza kukielezea.

HAKIKA SIWEZI!

Mungu wa mbinguni anajua nataka kuandika nini!
 
Nakuelewa sana na namuelewa sana Deejay nasmile. Inaelekea kuwa mwaka wa pili sasa tangu tumpoteze last born wetu ghafla kwa ajali. Mwanaume nimelia, kwa sauti na kwa kugugumia. Nimefanya maombi binafsi na kwa viongozi wa dini ili uchungu, hudhuni na makiwa viishe lakini wapi.
Pirika za maisha kwangu zimepoteza thamani kabisa baada ya kuona kuwa hii dunia si yetu, ni hewa, huwezi kuishika, haina mdhamana. Fanya lililo la lazima tu mengine achana nayo.
Ni mtu tuliye share interest na ndoto nyingi tukiianza siku pamoja na kuimaliza pamoja.
Nimebaki njia panda, nikitekeleza ndoto zetu napata huzuni kwa kuwa nilitamani kufanikisha nae hayupo. Nikiacha nakuwa kama namsaliti kwa kutotimiza tuliyoyaota.
Nikiwa katikati ya furaha ni lazima nimkumbuke kwa sababu daima tungekuwa waote na hapo furaha inakata na napata hasira/huzuni kwamba mimi nafurahi wakati kaka yangu mdogo yupo udongoni.
Nakuwa na hasira juu ya kufa kwake halafu hata sijui namkasirikia nani?
Yaani hata sielewi hisia zangu. Ninachojua naungua na havitaisha mpaka naingia kaburini.
 
Pole Mkuu,
Kazi ya Mungu haina makosa.

Kubali kuwa hayupo tena duniani,Na Mungu amempumzisha salama..Mshukuru Mungu kwa hilo pia.

Njia pekee ya kumuenzi ni kufanya mambo mema, na mazuri yote alivyokuwa akiyafanya.
Timiza mipango yenu mliyoipanga mkiwa wote.
Huko aliko atafurahi akiona umefanikiwa.

Mungu akupe faraja yake ambayo hakuna mwanadamu anaweza kuitoa.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Nakuelewa sana na namuelewa sana Deejay nasmile. Inaelekea kuwa mwaka wa pili sasa tangu tumpoteze last born wetu ghafla kwa ajali. Mwanaume nimelia, kwa sauti na kwa kugugumia. Nimefanya maombi binafsi na kwa viongozi wa dini ili uchungu, hudhuni na makiwa viishe lakini wapi.
Pirika za maisha kwangu zimepoteza thamani kabisa baada ya kuona kuwa hii dunia si yetu, ni hewa, huwezi kuishika, haina mdhamana. Fanya lililo la lazima tu mengine achana nayo.
Ni mtu tuliye share interest na ndoto nyingi tukiianza siku pamoja na kuimaliza pamoja.
Nimebaki njia panda, nikitekeleza ndoto zetu napata huzuni kwa kuwa nilitamani kufanikisha nae hayupo. Nikiacha nakuwa kama namsaliti kwa kutotimiza tuliyoyaota.
Nikiwa katikati ya furaha ni lazima nimkumbuke kwa sababu daima tungekuwa waote na hapo furaha inakata na napata hasira/huzuni kwamba mimi nafurahi wakati kaka yangu mdogo yupo udongoni.
Nakuwa na hasira juu ya kufa kwake halafu hata sijui namkasirikia nani?
Yaani hata sielewi hisia zangu. Ninachojua naungua na havitaisha mpaka naingia kaburini.
Umenisaidia kusema ninachowaza.

Kiukweli niko na hasira.
Ukweli ni kuwa ndoto zetu zinanidai, kuacha siwezi naendelea ila naumia mno!!
Na kinachoniumiza zaidi vitu vyote alivyotamani ndo vinatokea sasa.
Milango yote alipambana ifunguke ndo inafunguka sasa.
Machoni pa watu ni mafanikio.
Ndani yangu sivifurahii kabiiiiisa!

Najikuta tu sijui what to feel.
Nifurahie haya nayaachieve sasa au niumie kwa kuwa hayupo.

Do you feel kuwa yupo hapo pembeni?
Mimi kuna project tulianza kufanya!
Kila nikiisogelea, ni kama yuko pembeni anasema fanya hiki, mpigie Huyu!
Mwambie huyu afanye hiki.
Na ajabu ni kuwa kila ninachowaza angefanya angekuwepo au na kuimagine ananiambia nifanye hivyo.
Kinatick.
Sasa sielewi.

Am I hallucinating?
Or ni kweli he is around?
Sijui na sitaki kujua.
Nafkiri umeniambia ninachofeel.
NINA HASIRA!!
Mungu anisamehe!!

Tulipita nyakati ngumu sana pamoja.
Kwann haya mafanikio yanatokea yeye akiwa hayupo.
Just 4 months tu after his death.
Mungu sikuelewi!!!!
 
Mimi nimefiwa na mdogo wangu pekee (tulizaliwa wawili tu) this Feb.
Sijajua bado namna sahihi ya kuprocess hii taarifa kichwani kwangu.
Ni kama nimeahirisha hivi uchungu, af hivyo.
Bado kama siamini, kama nimekata tamaa hatarudi tena, kama namsubiri arudi, kama sijakubali, kama nimekubai sana.

SIELEWI KWA HAKIKA kipi najiskia ndani yangu kuhusu hili swala
Pole sana mkuu
 
Nakuelewa sana na namuelewa sana Deejay nasmile. Inaelekea kuwa mwaka wa pili sasa tangu tumpoteze last born wetu ghafla kwa ajali. Mwanaume nimelia, kwa sauti na kwa kugugumia. Nimefanya maombi binafsi na kwa viongozi wa dini ili uchungu, hudhuni na makiwa viishe lakini wapi.
Pirika za maisha kwangu zimepoteza thamani kabisa baada ya kuona kuwa hii dunia si yetu, ni hewa, huwezi kuishika, haina mdhamana. Fanya lililo la lazima tu mengine achana nayo.
Ni mtu tuliye share interest na ndoto nyingi tukiianza siku pamoja na kuimaliza pamoja.
Nimebaki njia panda, nikitekeleza ndoto zetu napata huzuni kwa kuwa nilitamani kufanikisha nae hayupo. Nikiacha nakuwa kama namsaliti kwa kutotimiza tuliyoyaota.
Nikiwa katikati ya furaha ni lazima nimkumbuke kwa sababu daima tungekuwa waote na hapo furaha inakata na napata hasira/huzuni kwamba mimi nafurahi wakati kaka yangu mdogo yupo udongoni.
Nakuwa na hasira juu ya kufa kwake halafu hata sijui namkasirikia nani?
Yaani hata sielewi hisia zangu. Ninachojua naungua na havitaisha mpaka naingia kaburini.
How are you?
mnaendeleaje wenzangu?

mi kwangu hali bado tete!
 
KIFO NI KIBAYA SANA..NI BORA UFE WEWE KULIKO ATANGULIE YULE ULIMPENDA NA KUMZOEA.

Habari wakuu,poleni na majukumu

Najua kila mtu ameshawahi kusikia neno KIFO..ndio ni neno fupi lenye herufi chache tu,Herufi nne yaani K I F O.

Nadhani tukiongelea katika maneno ambayo yanaogopwa na hayapendwi na kiumbe yeyote,neno KIFO linaweza kuwa namba moja.

KIFO hakipendwi, KIFO kinaogopwa,KIFO kinachefua.Haijailishi ni KIFO cha kitu gani,KIFO cha kiumbe hai mfano Binadamu/mnyama au KIFO cha Kitu kingine mfano Biashara,kazi,uhusiano n.k

Hili neno lipo miaka na miaka, nadhani tangu kuumbwa kwa ulimwengu tumekuwa tunalisikia Au kuona kifo cha watu,mimea,wanyama na hata kifo cha biashara,kazi..Japo leo mada kuu ya leo ni kuhusu KIFO cha binadamu.

KIFO NI NINI??
Kifo ni fumbo kubwa sana ambapo hakuna mtu hata mmoja aliye hai anajua fumbo hili,ni fumbo ambalo Mungu amewafumbia wanadamu,viumbe hai,na utajua fumbo hili pindi utakapo kufa.

Japokuwa kuna baadhi ya watu kutokana na imani/akili au mawazo yao wamejaribu kusema maana tofauti tofauti kuhusu KIFO.Wengine wanasema ni KIFO ni Usingizi,ndoto N.k

Lakini maana iliyo kuu au maalumu ni kwamba KIFO ni hali ya kufarakana au kutengana kwa vitu au hali zinazofanya UHAI kuwepo.Ndio Ni tendo la KUKOSA au kutokuwa na UHAI.

Kwanini Kuna KIFO?
Hili swali nalo lina majibu mengi sana kutokana na imani au elimu zetu za duniani.
Kutokana na imani yangu naamini tunakufa ili Kurudi kule kwa MUUMBA WETU.Ndio huwezi kumuona muumba wako kama hujafa,lakini tu kama utatimiza kazi ile uliyotumwa na muumba wako ipasavyo .

KIFO hakina muda maalum ni wakati wowote kifo kinaweza kukumba,haijalishi u mzima au mgonjwa au umejificha mahali gani.

TURUDI KWENYE MADA

Mwaka huu 2021 kwa upande wangu ndio mwaka ambao nimejua uzito,maumivu na ubaya wa KIFO. Nilimpoteza Mtu muhimu. Mtu niliyezoea kumuona kwa miaka yote 30s niliyonayo.Mtu ambaye sikuwahi wala kuweza kuishi naye mbali kwa muda wa miezi mitatu bila kuonana nae.. Hata wakati nikiwa chuo kila mwisho wa semister lazima tu nitaenda kuhakikisha naonana nae,naongea nae,nacheka nae..kisha ndio naendelea na ratiba zingine.

Mtu ambaye hata nikifanya ukorofi,ujinga wowote alikuwa achoki kunitetea. Mtu ambaye nikiwa na huzuni analiwaza na kunipa ushauri HAKIKA nilijiona nina bahati mimi. Sikuwaza kumpoteza Mtu huyu.

Sio kwamba sikuwahi kusikia KIFO,au kuwahi kufiwa kabla.. HAPANA!!..Nilifiwa na Baba yangu mzazi,Bibi na Babu zangu,Mashangazi,Walimu,Marafiki N.k lakini sikuumia sana..

Najua utajiuliza KWANINI?
Je, nilikua siwapendi? HAPANA!
Nilikuwa nawapenda sana,lakini shida kubwa hapa ni ...

UPENDO NA MAZOEA
Wakati baba anafariki nilikuwa na miaka 4..kwa hiyo hapo utaona kuwa kwanza sikuwa na kitu HISIA na kujua nini kimetokea kutokana na umri wangu..Pia sikumzoea sana kutokana na kuishi nae muda mchache (4yrs)

Nilifiwa na marafiki,jamaa na ndugu wengine wengi. Hao wote niliumia lakini naweza kusema sio sana...au niseme maumivu/majonzi yaliwahi kuisha/kusahaulika mapema.

KWANINI?
Ni kwa sababu niliwapenda ila SIKUWAZOEA!!

Mwalimu ilikuwa ni mpaka nimuone shuleni/darasani tu,
Shangazi au Rafiki ni mpaka tukutane kwenye miadi,kikao,michezo au kwa shughuli flani.
Hivyo tukiachana hapo kila mtu anawaza yake anaendelea na mambo yake. Je? Hujawahi kuona unapata taarifa tu kuwa rafiki yako yule siku hizi Mbunge! Alafu ukawa hujui aliingia lini kwenye siasa,chama gani wala jimbo gani..??
Au shangazi yako amefariki !!! ukawa hujui ameumwa lini,au alipatwa na nini.

NDIO MAANA NAONA NI BORA NINGETANGULIA MIMI (MUNGU ANISAMEHE KAMA NAKOSOA KAZI YAKE)KULIKO YULE NILIYEMPENDA NA KUMZOEA!!!

MAMA! MAMA YANGU

Umeniachia pigo kubwa sana katika maisha yangu, sidhani kama nitakuja kuamini kuwa sitakuona tena..MAMA nilikupenda,ninakupenda na nitakupenda daima...SIO TU NILIKUPENDA LAKINI PIA NILIKUZOEA SANA.

Kuna muda natamani hata nisikanyage hapa nyumbani pale tu ninapokumbuka kuwa HAUPO tena humu ndani...NILIZOEA nikitoka huko mtaani nakuja nakusimulia story zote zinazoendelea huko mtaani,nikifanya jambo baya unaniita kwa upole,unanikalisha na kunifundisha namna nzuri ya kuishi.

Juzi timu yetu pendwa imepatwa na matokeo mabaya najua Tungeliwazana wenyewe.Lakini nasikitika hata hukupata nafasi ya kutazama timu yako pendwa japo uliipania sana Ile mechi..Na sio hayo tu kuna mambo mengi tulipanga but hayajakamilika bado na UMENIACHA mpendwa wangu.najua hata nikikamilisha peke yangu sitakuwa na fuaraha sana kama vile na wewe ungeona kile tulichopanga kimekamilika..sitakuwa na thamani nacho kama wewe HAUPO..

MAMA ni mtu ambaye kwangu mimi alikuwa ni kila kitu..Ilifika mahali nilisahau kabisa kama kuna KIFO..Na hata mara chache nilipokuwa nikikumbuka kuhusu KIFO nilijua ni mimi nitakufa,yule atakufa,wale watakufa ila sio yeye MAMA.sikawahi kujua watu wanapitia uchungu wa namna hii..Nilidhani wanajiliza tu kujifanyisha,niliwaona ni wajinga sio majasiri,lakini HATIMAYE pamoja na ujasiri wangu hatimaye NIMELIA MIMI, NIMELIA MBELE ZA WATU...MBELE YA WATOTO WADOGO.....Mtu NILIYEMPENDA NA KUMZOEA HAYUPO TENA..SITAMUONA TENA DAH!!!

HEBU FIKILIA YULE UNAYEMPENDA NA ULIYEMZOEA

1:ANAKUFA!

Yaan hana pumzi,haongei unamuuliza hakujibu,unatamani umpe kile chakula akipendacho lakini hawezi kula.Unaiona namba yake ya simu kwenye simu yako unatamani kumpigia lakini unakumbuka kuwa HATAPOKEA,Hatajibu sms...unawaza vipi niifute? HAPANA!! HAPANA!! Huko aliko ananiona nafuta namba yake...anasikitika kuwa namtenga ..SIWEZI kuifuta namba yake na sitaisahau Daima..

2:Mnamuweka kwenye JENEZA.
Marafiki zako,ndugu zako wanaenda kuchagua jeneza,huku wakisema HILI ZURI!! dah kuna JENEZA zuri??? unatamani uwatukane,unaona kama wanafanya ukatili..lakini BASI SASA!! Ndio utaratibu huo.

3:MNAMFUKIA chini ya ardhi..
Unawaza Vipi
Labda pengine Alilala tu na ameamka na kuzinduka kisha anatuita tumfukue lakini hatusikii na tunaondoka tu,
Mnamuacha peke ake makaburini,anakata tamaa..anajiuliza mpaka wewe kipenzi chake unamtenga?? humsikii??
Usiku vile unavotisha lakini unamuacha kule peke ake??...Lakini wewe umelala ndani,umejifunika shuka! umewasha taa! na umefunga milango..INAUMA SANA !!!

Ni MTIHANI MGUMU SANA KUMPOTEZA MTU ULIYEMZOEA...KUNA MUDA NAJIULIZA KWANINI NISINGEANZA MIMI AKABAKI YEYE...PUMZIKA MAMA YANGU

HITIMISHO:
NAJUA KILA MTU ANA MTU WAKE ANAYEMPENDA NA ALIYEMZOEA AMBAYE HAKUPENDA/HATAPENDA AFIKWE NA UMAUTI.LAKINI AMINI KIFO KIPO JAPO HATUKIPENDI,MIMI NIMEAMINI JAMANI KIFO KIPO.

MIMI KIFO CHA MAMA NI KIFO KINACHONIPA MTIHANI MKUBWA SANA WA KUSAHAU..SIDHANI KAMA NITAFAULU,WAPO WANAOMPENDA NA WALIOMZOEA
BABA YAO
MAMA YAO
DADA YAO
KAKA YAO
MKE WAKO
MUME WAKO
MTOTO/WATOTO WAKO
N.K
JE UTAFAULU MTIHANI WA UCHUNGU UTAKAOPITIA SIKU WAKITUTOKA?? SIKU KIKIWAKUMBA????

TUZIDI KUWAOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU KILA SIKU.SARA NI MUHIMU..
INAUMA SANA KUFIWA NA UNAYEMPENDA NA ULIYEMZOEA.

LAKINI PIA TUKUMBUKE KUWA SIO KILA KIFO NI KIBAYA KUTOKANA NA TULIVYOJIANDA SISI WENYEWE KWA MUUMBA WETU.

Tunapitia kipindi kigumu sana..

Ewe Mola, nisamehe dhambi zangu, dhambi za baba yangu, mama yangu, mke/mume wangu na wanangu na jamaa zangu na marafiki.
Ewe Mwenyezi Mungu , usiuchukue uhai wangu ila pale nitakapo kuwa tayari kukutana nawe.AMEENI

By nasmiletz
july 2021
nasmiletz@gmail.com
How are you?
unaendeleaje?
Mungu akutetee
 
Back
Top Bottom