rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
kama nimekukosea samahani ila kuna post ilitokakuhusu idadi ya misikiti iliyokuwepo dar niwie radhiRodrick...
Ikiwa umenikusudia mimi hilo swali nakusihi tuzungumze na kujadili kwa adabu.
Nikumbushe kuhusu hili la misikiti ya Dar es Salaam kwani sikumbuki kama nilipatapo kuwa katika mjadala huo.
Tujaalie nimesema jambo ambalo si sahihi hilo inawezekana lakini haiwi kudanganya.
Rodrick...kama nimekukosea samahani ila kuna post ilitokakuhusu idadi ya misikiti iliyokuwepo dar niwie radhi
Abdulhalim,Kazi imeanza ngoja nivute kahawa kabisa na biskut za mia 2 za Azam.
BTW, tembo kwetu sisi waafrika ni utamaduni wetu baada ya kazi nzito ya kujenga taifa. Warabu weusi endeleeni kusubiria ile ya akhera itakayokua inatiririka mtoni.
Endelea tu kupinga lakini ukweli ni kua makabila mengi ya kiafrika kama sio yote ambapo 'vyombo' vinapigwa.Abdulhalim,
Usijifakharishe kwa kukejeli kile alichotamka Mwenyezi Mungu hata kama wewe huamini Mungu au dini yako ni kinyume na ya mwenzio.
Huo si ustaarabu.
Lakini kubwa ni hatari ya kudhani unaweza kucheza na Mungu.
Hiyo ni hatari.
Abdulhakim,Endelea tu kupinga lakini ukweli ni kua makabila mengi ya kiafrika kama sio yote ambapo 'vyombo' vinapigwa.
Hoja hujibiwa kwa hoja si vitisho vya kwenye vitabu ambavyo huwezi kuvidhihirisha.
Hujakanusha kwamba habari za ardhi kukataa mwili wa Ataturk ni uongo.Kiranga,
Umekisifia kitabu cha cha Ataturk kilichoandikwa na H. C Armstrong, The Grey Wolf, Mustafa Kemal. An Intimate Study of a Dictator," kilichochapwa 1932.
Vitabu vinaishi na kufa kama binadamu.
Kitabu kimetoka Uturuki aliyoitaka Ataturk bado changa, Uturuki iliyopiga marufuku mila zote za Kiislam na kuleta Uzungu yeye akiamini Uzungu ndiyo maendeleo.
Yeye mwenyewe akitumia ulevi na kufanya mengi ya ufuska kinyume na Uislam.
Wametokea wengi wa kumpenda na kumuunga mkono na haishangazi
Haya wewe hukuyagusa umekisifia kitabu tu kuwa kinaeleza ukweli na umezungumza kuhusu dini kutumia uongo na kusema kuwa Ataturk anachukiwa na Waislam kwa kuukana Uislam.
Nitaanza na uandishi wa kitabu kwani hii ni fani yangu nikiwa mwandishi wa vitabu kadhaa na katika somo la historia kama alivyofanya Armstrong.
Ukweli wa kitabu hauwezi kutokana na msomaji mmoja inataka somo hili lifanyiwe utafiti na waandishi zaidi ya mmoja kutafuta hiyo kweli.
Kuna kitabu hapa hapa nyumbani kinaitwa Historia ya TANU 1954 - 1977 kimeandikwa na Chuo Cha CCM Kivukoni (1981).
Mimi nimeandika historia ya TANU (1998) somo hilo hilo lililoandikwa na Chuo Cha CCM Kivukoni.
Nakupa changamoto soma vitabu hivi viwili na ufananishe.
Sihitaji kukitaja kitabu changu kwani ni maarufu wengi hapa Majlis wanakifahamu na wengine wamekisoma.
Mfano wa kitabu cha Armstrong uliouleta hapa ni sawa na kutoa mfano wa kitabu chochote kilichoandikwa kokote katika nchi yeyote wakati wa uchanga wake.
Ukipenda unaweza ukakiangalia kitabu hiki, ''The Ottoman Empire The Classical Age 1300 - 1600,'' (1973) cha Halil Inalcik ili ukielewe zaidi kitabu cha Armstrong.
Ningeweza kukupa mifano hai ya hapa nyumbani vipi waandishi wanavyoweza kwa makusudi kuvuruga historia na na mifano hii ni ya waandishi wenye majina kama John Iliffe (1970) na Alfred Tandau (1964) ambao wameandika historia na kuzipindisha.
Hadi leo kuna wanafunzi Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wanapewa rejea za waandishi hawa wanazisoma na kuziamini.
Kwa kuhitimisha nakupa ushauri ii ujenge uelewa wako katika masomo kama haya.
Ikiwa unataka kuelewa zaidi ''ubaya'' wa Waislam wenye siasa kali ambao Ataturk aliwatoa madarakani itakuwa na faida sana kwako ukaisoma historia ya ''Inquisition.''
Ho Chi Minh kama Ataturk na yeye hakuzikwa kama Lenin.
Unajua nini watu hawa kinachowaunganisha na kipi kinachowatofautisha?
Sipingi Uislamu, napinga uongo.Mpinga Uislam utaachaje kuwa upande wa mpinga Uislam?
Itakuwa ni maajabu.
Quote quran hukoWakorinto1; 11:7
Kiranga,Hujakanusha kwamba habari za ardhi kukataa mwili wa Ataturk ni uongo.
Ardhi ilimkataa au hajazikwa ardhini? Hayo ni mambo mawili tofauti, mbona mnalazimisha yawe moja?Kiranga,
Nimeeleza kuhusu ardhi kukataa mwili wa Ataturk.
Angalia post # 95 nimeandika:
''...tuje kwenye suala la Ataturk kuwa hakuzikwa ardhini.
Kweli hakuzikwa ardhini hadi leo yuko ndani ya jengo juu ya mgongo wa ardhi.
Waislam huzikwa na hii ndiyo sheria inavyotaka hata Mtume Muhammad SAW juu ya utukufu wake amezikwa iweje Mustafa Kamal asizikwe kwa ubora gani aliokuwanao kumshinda Mtume SAW?
Ndipo Waislam wanaposema kuwa ardhi imemkataa kwa ajili ya kibri chake...''
Huna undugu na mimi wewe wa aina yeyote na hautokuja kutokea, Biblia inatuambia hivi sisi tumtumainiae bwana vijana wa Kristo mshindi wa yote aliye hai.Udugu tulonao kati ya mie na weye ni udugu wa jinsi; wewe ni binadam na mimi ni binadam na asili yetu wote ni moja.
Wewe ulisema hayo maelezo ni aya na zurri akaja akathibitisha ukweli wa hayo maelezo lakini hakusema kuwa ni aya kama ulivosema wewe. Tatizo lilipo si kwenye maelezo bali ni asili ya maelezo, wapi yametoka!?? Je, ni aya au hadithi? Sasa wewe kwa vile unasukumwa na mihemko ukashindwa kumuelewa zurri alikuwa anakizungumzia kitu gani.
Hujui lolote wewe Muhammad sio kiumbe hai anza kwa kumtambua kama Marehemu MuhammadInaonekana umeyasoma hayo maandiko kishabiki, hebu yarudie tena!
Yakobo anaiba baraka!??? How???
Utaratibu wa kuwanyanyua viumbe wake wakiwa hai hauulizwi na kiumbe yeyote maana yeye mwenyewe (Mungu) ndio kaamua. Unaulizia kuhusu kutokunyanyuliwa kwa Muhammad (s.a.w) kama kipimio cha kuonesha uwezo wake Mwenyezi!?? Lol
Mustafa Kamal ataturk ni raisi wa kwanza wa Uturuki, atakumbukwa kuungana na dola za Uengereza na Ufaransa kuivunja dola ya kiislamu ya Khilafah tarehe 3 Machi 1924 , na kuigawanya dola hiyo vijinchi vidogo vidogo na kuweka vibaraka wao katika uongozi ili kuongoza kwa maslahi yao. Mmoja wa vibaraka wao akawa ni huyu Mustafa kamal aliyenzisha taifa jipya na kuliita Turkey.
Baada ya Kuivunja dola ya kiislamu, Mustafa Kamal akapiga marufuku dini ya kiislamu nchini humo kama dini ya taifa hilo na kusema dini itenganishwe na maisha ya kawaida, na kupiga marufuku Lugha ya kiiarabu, kuadhiniwa kuadhiniwe kituruki, Quran ichapishwe kituruki, kalenda ya kiislamu ikatupiliwa mbali, wanaume wasivae kofia za kiislamu wavae za kimagharibi na tembo kuwa halali na baadhi ya misikiti kufungwa kama msikiti mkubwa wa Aya Sophia kufanywa makavazi.
Mwaka 1938, Mustafa kamal alianza kuuguwa ugonjwa wa maini uliyosababishwa na kunywa tembo kwa wingi, akawa anaugua akiwa kitandani katika kasri lake, Allah SWT Akamzidishia magonjwa ya kila aina hadi mwili wake mzima ukawa unawashwa kila mahali na kuhisi joto la ajabu mwilini.
Alikuwa akihisi mwili kushika moto hadi kupiga makelele mpaka kasri nzima inasikika kelele zake, Siku moja aliamrisha apelekwe katikati ya bahari ili apigwe na upepo wa bahari lakini haikuwa dawa joto likawa linazidi, mara yengine akaamrisha nyumba yake kumiminiwa maji na wazimamoto masaa 24 kupunguza joto analosikia lakini joto haliku tulia. Mara yengine anaamrisha wafanyikazi wake wamueke madonge ya barafu karibu na mwili wake pia haikumfaa.
Tarehe 26 Septemba 1938, alizidiwa hadi kupoteza fahamu kwa masaa 48 na kupelekea kupoteza akili, tarehe 9 Novemba, 1938 alipoteza fahamu tena kwa masaa 38 siku ya pili yake tarehe 10 Novemba akafariki dunia.
Mwili wake uliketi siku tisa bila ya kuoshwa baada ya mashekhe wote kukataa kuosha maiti yake hadi siku ya tisa alipokuja dadake kuwahimiza mashekhe kumosha na kumkafini.
Mwili wake ulipokuwa unaenda kuzikwa kaburini, MWILI WAKE UKAKATAA KUINGIA KABURINI NA ARDHI IKAMKATAA kila anapopelekwa hadi ikaamuliwa mwili wake kuhifadhiwa katikati ya majiwe ya aina ya Mar-mar na kuwekwa katika Makavazi ya kitaifa ya Etnagrafi katika mji mkuu wa Ankara, kwa muda wa miaka 15 hadi ilipofika mwaka 1953 mwili wake ukagurishwa na kupelekwa kuhifadhiwa katika Jumba moja juu ya mlima katika mji mkuu wa Ankara hadi leo hii viongozi mbali mbali pamoja na Raisi wa sasa wa Uturuki Erdogan wanakwenda kumzuru katika siku za makumbusho ya kifo chake.
Wanazuoni wa wakati huo walisikiwa wakisema, "Si ardhi tu ya Uturuki iloyomkataa mwili wake, bali hata ardhi ya ulimwengu mzima"View attachment 1193169
Kiranga,Sipingi Uislamu, napinga uongo.
Uwe kwenye Ukristo,Uislamu,Uyahudi,Ubudha,Ukomunisti, hata ukiwa kwenye kutoamini Mungu au dini yoyote.
Hujapangua hoja ya kwamba ardhi ilikataa mwili wa Ataturk ni habari za uongo.
Vitabu vya dini, vikiwamo Quran na Biblia, vimejaa uongo na contradictions. Napinga uongo popote ninapouona.
Sasa mbona unanishusha kwa kusema napinga Uislamu, wakati napinga uongo katika dini zote?
Kiranga,
Ningeweza kukuomba utaje uongo uliopo kwenye Qur'an lakini najua huna moja ulijualo kuhusu hilo.
Lakini kubwa ni kule kuchelea kufanya jambo ambalo Allah keshatufunza kuwa Muislam unatakiwa ujiweke mbali na mtu anapoicheza shere Qur'an hadi pale atakapoacha.
Wengi mfano wa wewe ndivyo walivyo kwa ajili ya ujinga hujiona hodari kumpinga Mungu na wameshapita wengi toka kuumbwa kwa dunia.
Lazima huyu jamaa leo aibuke na historia hii,mzee wa kuchimbua hata historia zilizofichwa mapangonisaid mohamed Karibu na huku pia