Kifo cha Mustafa Kamal Ataturk laana za allah zimshukie

Kiranga,
Hapana neno unaweza kuamini upendavyo hii ni nchi huru mwananchi anaweza kuwa na imani yoyote hapana tabu.
Sasa Mzee.., sioni wapi huyu bwana ametukana Imani yoyote.., na Imani ni Imani unachagua unachoamini hakuna haja ya kuwa na proof.., ila jamaa amekuuliza iweje hii imani ambayo inatusaidia wote hata tusiojua kusoma iweze tu kueleweka kwa watu wa lugha fulani na si nyingine.., sisi wengine tumemkosea nini huyo muumba kama anatunyima opportunity ya wokovu...

Pili unapojibu sawa au kukataa kumjibu unakuwa hautendei haki ujuzi wako au utaalamu wako.., sababu unachagua wa kumuelewesha as well as kumwambia yeye humwabii yeye kama yeye bali wote ambao wanasoma platform hii..
 
Keyser
Hapana namjibu kuwa ana haki ya kuamini atakavyo mimi sina mamlaka ya kumpinga katika mjadala huu.
 
Ila kama mtu anayejua imani yake katika mjadala huu una kila sababu ya kumjibu kile ambacho unadhani hajui, kwa kujibu kile alichokiuliza.. (hata kama anakebehi) kumjibu yeye ni kuwajibu pia wanaosoma.., hizi imani zina paradox nyingi sana.... na mimi sina neno kwa kila anyeamini bali tu pale anapoona imani yake ni superior kuliko mwingine au anapoita imani ni sayansi.., au kuleta mambo ya kiroho kwenye mambo ya kidunia..., ukizingatia sisi ni wapitaji kwenye hii dunia ambayo sio yetu tu bali ni ya generation ijayo... (mchanganyiko huu ndio unaoleta maafa na watu wengine kuwachukia wengine i.e. wasafiri wenzao, pasi na sababu)
 
Keyser,
Nimeweka hapo juu mhadhara niliotoa Chuo Kikuu Cha Johannesburg mwaka wa 2006.
Usome kuna mengi ya kuzingatia katika mjadala kama huu wa Kiranga.
 
sasa mkuu karne hii ya watu wapo busy 24/7 waanze kusoma mhadhara wakati ungeweza ku-digest jibu kwa sentensi moja unadhani wangapi wana muda huo au hata bundle na mbs za kufanya hivyo
 
Mazindu,
Mimi nataka tujadili na nakuwekea hapa bandiko tuanze mjadala:

''...lakini tuende kielimu. Ninayo ripoti ya mwaka huu. Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu. Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21. Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe. Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79. Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.

Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu. Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga. Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha. Mwalimu Nyerere alisema zamani ifanywe bidii ya kuwanyanyua waliokuwa chini. Sasa bidii hii siyo ya kuwanyanyua waliokuwa chini. Bidii hii ni ya kuwakandamiza waliokuwa chini...''
(Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo Bungeni 1999).

Mazindu,
Shule kweli zimetaifishwa lakini hali ndiyo hiyo hapo juu.
Mkuu, we ulijuaje kama watahiniwa wale wa darasa la saba 71% ni waislamu? Maanake wale watoto walitumia namba and hence nambers hazina dini, how did you know? Isije ikawa ndio ule ule uongo unaotengenzwa maabara halafu unaletwa mtaani na sisi tunamezeshwa tu. HAlafu, tuweni wakweli, watoto 71% ni waislamu and then 29% ni Wakristo, so hakuna wapagani wala Budhha au dini zingine isipokua waislamu na Wakristo tu? Again, siamini kama Waislamu mpo wengi hivyo, nambie tu, ulijuaje hiyo % yao.
 
Mazindu...
Maswali hayo yalikuwa yaulizwe na Waziri wa Elimu ndani ya Bunge.
Hakuuliza na hadi leo hayakupatikana majibu.

Huwa sisi hatufanyi ubishani kwa yote ambayo labda umesikia yakisemwa wala mimi siko hapa kukutaka wewe uamini haya niliyoandika.

Unaweza ukabaki na fikra kuwa huu ni uongo.
 
sasa mkuu karne hii ya watu wapo busy 24/7 waanze kusoma mhadhara wakati ungeweza ku-digest jibu kwa sentensi moja unadhani wangapi wana muda huo au hata bundle na mbs za kufanya hivyo
Keyser...
Huna muda wa kusoma basi unaacha wenye muda wa kusoma na wanaotaka kujua na wana muda watasoma na wasiokuwa na uwezo ni bahati mbaya hizi ndizo changamoto za dunia.

Mimi ninapoandika huwa uwanja wangu ni zaidi ya hapa.
 
Sasa Mzee.., sioni wapi huyu bwana ametukana Imani yoyote.., na Imani ni Imani unachagua unachoamini hakuna haja ya kuwa na proof.., ila jamaa amekuuliza iweje hii imani ambayo inatusaidia wote hata tusiojua kusoma iweze tu kueleweka kwa watu wa lugha fulani na si nyingine.., sisi wengine tumemkosea nini huyo muumba kama anatunyima opportunity ya wokovu...

Pili unapojibu sawa au kukataa kumjibu unakuwa hautendei haki ujuzi wako au utaalamu wako.., sababu unachagua wa kumuelewesha as well as kumwambia yeye humwabii yeye kama yeye bali wote ambao wanasoma platform hii..
Labda uulize na wewe, mimi nimemuuliza naona kakimbia mjadala.

Hivi watu na akili zetu tunaambiwa kabisa kwamba, Mungu kashusha Quran Kiarabu, sisi Wamakonde hatuielewi mpaka tujue Kiarabu.

Na sisi Wamakonde tunakubali kweli?

Kwamba Mungu kashusha maneno ya kuelezea kumjua yeye katika Kiarabu?

Na sisi tusiojua Kiarabu na kushindwa kuwa na access sawa na Waarabu, tusipomjua Mungu tutaadhibiwa sawa na Waarabu?

Tunakubali Mungu kawachagua Warabu na katusahau sisi? Mungu gani mbaguzi hivyo?

Tunakubali tukiswali wote tusujudie Mecca, kama kwetu hakuna utakatifu Mungu katubagua, patakatifu ni Mecca tu?

Yani hizi habari watu na akili zao wanakubali mpaka leo 2019?

Halafu Ataturk aliposema hatuwezi kuendesha nchi kwa kufuata dini kusujudia Mecca, kwa sababu na sisi tuna nchi yetu, mnamsema kafanya vibaya?
 
Kiranga...
Mimi nikukimbie wewe?

Nimefanya mijadala kwingi tena kila nikiangalia hadhira ni sura sijapatapo kuziona hata siku moja na watu wajuzi.

Nije kukukimbia wewe niko hapa nyumbani kwangu?

1567436897697.png

Nimefanya vipindi kama hivi vingi vya maswali na majibu katika radio, tv ndani na nje ya Tanzania na mimi mwenyewe ni broadcaster nitafute You Tube kuna vipindi vyangu vingi nije nikukimbie wewe unaeandika umelificha jina lako?

1567437099662.png
 
Kiranga...
Mimi nikukimbie wewe?

Nimefanya mijadala kwingi tena kila nikiangalia hadhira ni sura sijapatapo kuziona hata siku moja na watu wajuzi.

Nije kukukimbia wewe niko hapa nyumbani kwangu?
Wasiokimbia huonesha hilo kwa vitendo.

Hata ukiandika hujakimbia, kama hujajibu hoja, umekimbia tu.

Hujajibu hoja.

Mpaka sasa, licha ya kujibu, umekimbia.

Sikusema umenikimbia mimi, nimesema umekimbia mjadala.

Na mpaka sasa umekimbia mjadala, kwa sababu hujajibu hoja zangu.

Badala ya kujibu hoja nilizoleta, unajitetea hujanikimbia (kitu ambacho sijasema, sijasema umenikimbia, nimesema umekimbia mjadala, unajua tofauti ya haya mawili?)

Unaelewa kwamba mpaka sasa bado umekimbia mjadala?
 
View attachment 1195921

Nimefanya vipindi kama hivi vingi vya maswali na majibu katika radio, tv ndani na nje ya Tanzania na mimi mwenyewe ni broadcaster nitafute You Tube kuna vipindi vyangu vingi nije nikukimbie wewe unaeandika umelificha jina lako?

View attachment 1195924
Sorry.

Wewe ni yupi katika hiyo picha?
 
Sorry.

Wewe ni yupi katika hiyo picha?
Jamaa badala ya kujibu hoja, anaweka picha kibao.

Kama vile picha ndiyo zinajibu hoja.

Hajui hapa watu tunaangalia hoja tu, hatuangalii picha.

Kuna watu wamehutubia United Nations General Assembly na bado wakasema ujinga.

Itakuwa yeye?

Hoja inajibiwa kwa hoja. Kutisha watu kwa picha zisizohusiana na hoja ni ujinga.
 
Hakuna lolote hapo,Mashekhe tu walifanya yao,Maduadua ya vitabu vyao ndio yamemkuta huyo Mheshimiwa,ila si Mungu aliye zuia
Kabisaaa, ingekuwa Mungu analipa kila ubaya anaofanyiwa basi hakuna mwanadamu aliyehai angeendelea kuishi ktk huu ulimwengu.
 
Jamaa badala ya kujibu hoja, anaweka picha kibao.

Kama vile picha ndiyo zinajibu hoja.

Hajui hapa watu tunaangalia hoja tu, hatuangalii picha.

Kuna watu wamehutubia United Nations General Assembly na bado wakasema ujinga.

Itakuwa yeye?

Hoja inajibiwa kwa hoja. Kutisha watu kwa picha zisizohusiana na hoja ni ujinga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hoja zako ulizotoa unadhani atajibu nini?

Lazima akimbie majadiliano.
 
Wasiokimbia huonesha hilo kwa vitendo.

Hata ukiandika hujakimbia, kama hujajibu hoja, umekimbia tu.

Hujajibu hoja.

Mpaka sasa, licha ya kujibu, umekimbia.

Sikusema umenikimbia mimi, nimesema umekimbia mjadala.

Na mpaka sasa umekimbia mjadala, kwa sababu hujajibu hoja zangu.

Badala ya kujibu hoja nilizoleta, unajitetea hujanikimbia (kitu ambacho sijasema, sijasema umenikimbia, nimesema umekimbia mjadala, unajua tofauti ya haya mawili?)

Unaelewa kwamba mpaka sasa bado umekimbia mjadala?
Kiranga,
Hapana mie si mtu wa mambo hayo.
Unaweza kuona upendavyo.

1567441742059.png

Al Jazzera Interview 2007
 
Jamaa badala ya kujibu hoja, anaweka picha kibao.

Kama vile picha ndiyo zinajibu hoja.

Hajui hapa watu tunaangalia hoja tu, hatuangalii picha.

Kuna watu wamehutubia United Nations General Assembly na bado wakasema ujinga.

Itakuwa yeye?

Hoja inajibiwa kwa hoja. Kutisha watu kwa picha zisizohusiana na hoja ni ujinga.
Kiranga,
  1. PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
  2. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
  3. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
  4. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
  5. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
  6. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
  7. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
  8. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
  9. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
  10. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
  11. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
  12. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
  13. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
  14. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
  15. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
  16. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
  17. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
  18. 14. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
  19. Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
  20. Awards: Several Awards
  21. Visiting Scholar: (2011)
  22. University of Iowa, Iowa City, USA
  23. Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
  24. Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.
  25. OTHER COUNTRIES VISITED
  26. Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
 
Back
Top Bottom