Kifo cha Mustafa Kamal Ataturk laana za allah zimshukie

Kiranga,
Nimecheka.
Qur'an imeandikwa kwa lugha ya Kiarabu na ili uweze kufanya tafsiri ni lazima
uijue lugha hiyo vizuri vinginenevyo ndiyo hayo.

Mimi nitakupa mfano mmoja tu wala sina haja kukujibu yote hayo.
Nakupa mfano huu wa Kiswahili.

Mtu anamweleza mwingine anasema, ''Huyu si mtu.''

Tafsiri yake kama wewe si msemaji wa Kiswahili kama lugha yako maana yake si binadamu labda ni kiumbe kingine.

Lakini maana yake huyu ni mtu mbaya.

Mzungu anaivamia Qur'an kutafuta makosa anajikwaa yeye na kuwa kichekesho.

Huwezi kukitoa makosa kitu ambacho hukijui.
 
😀😀😀😀😀


 
Ukiona kitabu kinasema ni kitabu cha Mungu, mpaka hapo stuka kwamba unapigwa changa la macho.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote angekuwepo, asingehitaji kitabu kujitambulisha.

Angeweka kila kitu kwenye DNA ili kila mtu amje. Kwa nini aweke habari zake kwenye kitabu wakati watu wengine hawajui kusoma?

Kwa nini aweke habari zake kwenye kitabu cha Kiarabu wakati wengine wanajua Kimakonde tu?

Huyo Mungu gani anapendelea Waarabu na kubagua Wmakonde?

Hivi nyie Waafrika mnaojiita wasomi bado mmeshikwa katika huu ukoloni wa kidini?

Hamuoni habari za kumsoma Mungu katika Kiarabu na kuelekea Mecca kuswali ni ukoloni wa kiutamaduni na kidini tu?
 
Story nzuri ya kufikirika; nina hakika hi kitu imetungwa. Wafia dini (Sorry sio Mungu, nimesema wafia dini) wanazo story nyingi sana za kutunga na kuuhamasisha ulimwengu kwamba huo utunzi wao ni wa kweli. Mfano mmoja wapo ni hu, Nyerere alizuia waislamu wengi wasisome, halafu hua hawataki ijulikane kwamba ni Nyerere huyo huyo aliyenyang'anya shule za dini yake ili ziwe za serikali na tusio wa dini yake pia tusome; hilo hua hawataki kabisa lijadiriwe.
 
Kiranga,
Una haki ya kuamini utakacho muhimu ni ujizuie kutukana dini za wengine.
 
Kiranga,
Una haki ya kuamini utakacho muhimu ni ujizuie kutukana dini za wengine.
Siongelei imani, naongelea fact, ambazo hujazijibu.

Wanaoelewa imani ni nini, wamekaa kimya na hawawezi kujadiliana JF.

Na mimi kusema Quran imeandika uongo, katika mjadala ulioanzishwa na wengine, katika forum yenye kaulimbiu ya "Where We Dare To Talk Openly" si kutukana dini.

Mimi ningeitukana dini ya Uislamu kama ningekaa kimya na kufikiri "Waislamu ni wajinga, hawawezi kutetea dini yao".

Lakini, sikuitukana dini hii hivyo.

Nimeiweka kama dini ya watu wanaoweza kuitetea kwa hoja.

Sasa wewe ukitaka nisiseme ukweli wangu ninaouona, kwa kuniambia ukweli huo ni kuitukana dini yako, bila hata kujibu hoja, hapo utakuwa umejitukana mwenyewe na kunitukana mimi.

Umenitukana mimi kwa sababu umesema hoja zangu nilizozitoa kwa fact ni matusi.

Umejitukana mwenyewe kwa kusema hivyo kijumla bila kuweza kupinga hoja zangu.
 
Mazindu,
Mimi nataka tujadili na nakuwekea hapa bandiko tuanze mjadala:

''...lakini tuende kielimu. Ninayo ripoti ya mwaka huu. Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu. Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21. Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe. Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79. Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.

Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu. Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga. Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha. Mwalimu Nyerere alisema zamani ifanywe bidii ya kuwanyanyua waliokuwa chini. Sasa bidii hii siyo ya kuwanyanyua waliokuwa chini. Bidii hii ni ya kuwakandamiza waliokuwa chini...''
(Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo Bungeni 1999).

Mazindu,
Shule kweli zimetaifishwa lakini hali ndiyo hiyo hapo juu.
 
Kiranga,
Hapana neno unaweza kuamini upendavyo hii ni nchi huru mwananchi anaweza kuwa na imani yoyote hapana tabu.
 
Ukishashikiwa akili na kuambiwa lugha yako haifai, inayofaa ni Kiarabu, kwenu hakufai, kunakofaa ni Mecca, ni rahisi sana kuangushwa kwenye mengine mengi sana.

N akujiona unaonewa kila sehemu. kwa kuwa ushakubali kuwa dhalili.
 
Kiranga,
Hapana neno unaweza kuamini upendavyo hii ni nchi huru mwananchi anaweza kuwa na imani yoyote hapana tabu.
Siongelei kuamini, naongelea fact.

Quran ina contradictions.

Hii ni fact, si imani.

Ukisema imeandikwa Kiarabu, siielewi, hiyo nayo ni contradiction.

Itakuwaje Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aachie habari zake ziandikwe kwenye lugha inayoeleweka na watu fulani tu, na wengine wasizielewe vizuri?

Contradictions!
 
Ukishashikiwa akili na kuambiwa lugha yako haifai, inayofaa ni Kiarabu, kwenu hakufai, kunakofaa ni Mecca, ni rahisi sana kuangushwa kwenye mengine mengi sana.

N akujiona unaonewa kila sehemu. kwa kuwa ushakubali kuwa dhalili.
Kiranga,
Hakuna shida ndugu yangu.
 
Kiranga,
Hapana neno.
 
Kiranga,
Hakuna shida ndugu yangu.
Shida ipo, na wewe si hakimu wa kusema wapi pana shida na wapi hapana shida.

Shida ipo kwa sababu Quran ina contradictions na umeshindwa kuzipangua na unalazimisha hakuna shida.
 
Shida ipo, na wewe si hakimu wa kusema wapi pana shida na wapi hapana shida.

Shida ipo kwa sababu Quran ina contradictions na umeshindwa kuzipangua na unalazimisha hakuna shida.
Kiranga,
Sawa.
 
Kiranga,
Hapana neno.
Unalazimisha kuwa hakimu wa wapi pana neno na wapi hapana neno, wakati hujapangua contradictions za kwenye Quran.

Unasemaje hapana neno wakati contradictions za kwenye Quran hujazipangua?
 
Kiranga,
Sawa maneno yako unaweza kuamini utakacho sina haki ya kukukataza.
Siongelei imani, naongelea fact. Nimeeleza point hii mara kadhaa, naona unaikimbia hutaki kuigusa.

Mwenye kuelewa imani ni nini hawezi kujadiliana JF mjadala wa dini, wewe hata kuelewa imani ni nini huelewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…